Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,005
Siku hizi mmeishiwa mara Wema mara Gwajima....yote haya ni kujipoozaDah! Magufuli kimyaaaaa kauchuna kama hasikii haya wakati anapita humu.
Siku hizi mmeishiwa mara Wema mara Gwajima....yote haya ni kujipoozaDah! Magufuli kimyaaaaa kauchuna kama hasikii haya wakati anapita humu.
Kujipinda kote unaandika utumbo?Biblia inatuambia jinsi ya kuwa tambua manabii wa uongo. Hii kideo tu ya haya mahubiri ya jumapili tuliyo bandikiwa hapa dakaki zote hamna nukuu hata ya Biblia.
Inapo fika mlolongo wa shule ya huyu mtumishi pamoja na kusema anatoja kijiji kimoja na mtuhumiwa na kutaja shule alizo pitia huyu mtuhumiwa yeye mtumushi hataji alizosomea wala performance yake si shuleni si chuoni. Kumnanga aliye zungusha kunatakiwa kusindikizwe angalau basi na umahiri wa shuleni wa mnangaji.
Lakini kwa nini kuteki advantage ya mazingira yaliyopo kutaka kuwaonesha waumini wake kwamba ana mamlaka ya juu ya nini mh Rais ata amua wakati anyone can tell kitakachofuata hapa. Yaani huyu mtumishi katengeneza mazingira kuwa uamuzi wowote utakapochukuliwa kuhusu
mtuhumiwa ionekane yeye kama mtumishi wa Mungu ndiye aliye shinikiza huo uamuzi ukachukuliwa kwa kupitia maombi. Atakuwa ndiye mwanzilishi wa hayo mapigo kwa mtuhumiwa. Eti from this time around kamsamehe or kamspare mh Rais kutopata mapigo, mpaka atakapoamua vinginevyo. Sasa ukitafakari mambo ya aina hii na ile misukule ya watu maarufu tuliyo ahidiwa enzi zile kwamba inge fufuliwa mtu unabaki na maswali mengi kuliko majibu.
Na kusema kweli watumishi wenye ndimi za aina hii ni hatari kwa usalama wa nchi. Inatakiwa kula nao sahani moja 24 kwa 7 kwa 365 na robo.
Na washawasha!
Ulitaka waseme lini? Wakati huu, better late than never!Walikua wapi kumsema kabla?wasitusumbue aisee.Movie yao imeanza kutuchosha
Subir pale vumbi linapotulia utajua alikuwepo faras au pundu!Gwajima ni daktari bingwa wa kutibu wendawazimu wanaobwabwaja hovyo.
Bashite kwisha jeuri yake, nilimuona mahali kapwaya sana...
Kuweni wavumilivu baada siku chache kila kitu kitakuwa peupe kwa mujibu wa Askofu GwajimaNaomba tukumbuke kuwa ukipata zero NECTA hawakupi cheti. Kwahiyo huwezi kusema una ushahidi wa cheti cha mtu kwenye zero. Unaweza kuwa na matokeo lakin sio cheti.
Na wakae kimya milele kuhusu uhakiki wa wafanyakazi hewa na vyeti fyeki, na wafanyakazi wapewe stahiki zao sasa zilizositishwa kwa kigezo cha uhakiki wakati wahusika wanakula naoHawez kufukuzwa
Lejea bandiko lako uliposema yeye Gwajima mbona hataji alikosoma na vyeti vyake,inshu ni utumishi wa serikali ya kutumbuana kwa wenye vyeti feki,Gwajima hata kama hajasoma Ndalichako hamuhusu
Hivi unaelewa kinachozungumzwa hapa?Acha uongo miaka gani hiyo walikuwa wanatoa vyeti acheni uongo wa kijinga,Paul kasoma Nyegezi chuo cha uvuvi alitumwa jina la Paul Makonda na mzee wangu kamfundisha mwambieni huyo Gwajima aache wendawazimu
Ohooooo!!!Si ndio maana matokeo mabaya ya form four Dar hayamsumbui kichwa.
Hujui maana ya muda ni muamuzi mzuri!?Walikua wapi kumsema kabla?wasitusumbue aisee.Movie yao imeanza kutuchosha
Sasa si usubiri siku ya siku ifike ukweli utajulikana tu
Kujipinda kote unaandika utumbo?
Sawa, lakin kama kuna jambo linapotoshwa hatuwezi kusubiri kesho maana ukweli haubadiliki. Mimi pia ningependa nipate ukweli wa jambo hili, lakin sitegemei kuonyeshwa cheti cha mtu aliyepata zero.Kuweni wavumilivu baada siku chache kila kitu kitakuwa peupe kwa mujibu wa Askofu Gwajima
Vitu vingine ni minor
inawezekana ana leaving certificate, kwani LC siyo cheti, je ukiwa na LC huwezi kujua matokeo yake?