cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 28,662
- 78,136
Makonda yupo juu kwa kukimbiza wengi.
Hapa kazi tu
Hapa kazi tu
Sio..hizo zinaitwa typing error...Ndo maana nikasema habari imekaa kiuongo anaposema anavyeti kumbe anamaanisha matokeo!!!Kuhusu kusoma Nyegezi ni kweli mzee wangu kamfundisha pale Fisheries
SawaHayo maandiko yako ya Kiroho unayotaka kunipa ningeshauri yabadilishe yawe fursa Kwako ili yaweze kukukomboa Kiuchumi na Kifikra na ukishaona umejikamilisha nayo basi ndiyo unipe na Mimi. Hizi dini ziwafanyeni mjue kufikiri na siyo kuwa wa hovyo hovyo kwani hata mwenye dini yake / neno lake Yesu Kristo wa Nazareth hakuwa wa hovyo hovyo Kichwani kama tunaojifanya kukariri maandiko.
Huo ndo ukweli tena Bashite aliingia Kwenye mfumo rasmi akiwa form three ... ndugu zangu ni wenyeji wa Misungwi wanajua in and out Gwajima kajipanga vizuri we subir utakuja kujua hata sababu ya kufagiliwa na Sitta utashangaa Muda ni msemaukweli sana
- Miaka hiyo mnasoma evening class nilishamaliza shule siku nyingi huo ufafanuzi hajautoa yeye kasema kasoma Pamba hiyo ya Taasisi wewe ndo unasema na kuhusu Cheti kasema anacho hajasema ni matokeo ya kwenye gazeti wewe ndo umefanunua sasa sijui hii Script umeandaa wewe umempa gwajima!!
Mchungaji gani anaacha kuchunga kondoo anafata siasa.Huyu mchungaji au kanyaboya
jina si lake, huyu jina sio lakeMbona kuna Mkuu wa mkoa mwingine naye alipata zero
Na Makonda alikuwa wapi asiseme mwenyewe kuwa anatumia vyeti vya mtu tena kilema mkazi wa Tabora.Walikua wapi kumsema kabla?wasitusumbue aisee.Movie yao imeanza kutuchosha
Vitu vingine ni minorGwajima kasema Ana cheti cha Makonda cha Form four Chenye zero. Sikiliza tena hiyo audio
Waliacha mwaka gan kuto kutoa hivyo.vyet??Kipindi cha nyuma walikua wanapewa cheti hata wale waliokua wanapata zero.
nadhani ana result slipsTokea lini div 0, akapewa certificate? Miaka hiyo anasoma Makonda mtu alipata div 0, kulikuwa hakuna cheti
Wewe Muongo unaongelea Pamba ipi?Tangu lini Pamba ikawa private?hebu jaribu kufikirisha kichwa basi kaka. uongo uko wapi hapo? kwani ukifeli darasa la saba huwezi kwenda sekondari? pamba sekondari ni shule ya binafsi (private). private school huwa hazichukui waliofeli darasa la saba?
Dawa ya moto ni moto...acha kijana afundishwe kufanya kazi kwa kutumia akili ......Kwa kupitia haya tutaona kama kweki nchi yetu inafata sheria au la....kumbuka wale waloitwa vilaza mwaka jana Udom na kutimuliwa na hawa wa juzi tcu wanao sema walikosea kuwa dahili...Inaweza kuwa ni kweli lakini sioni mantiki kwa anayejiita mtumishi tena wa Mungu kuendeleza vita. Siku zote watumishi wa kweli humkabidhi Mungu vita vyao. Daudi akasema Mungu pigana na wanaopigana nami...zaburi 35:1b
Kwani huyo mwanasiasa boss wako Makonda wakati anataka kumbambikia kesi hakujua kuwa Gwajima ni Mchungaji?Mchungaji gani anaacha kuchunga kondoo anafata siasa.
Kipindi hicho anasoma hicho chuo ndo inasemekana tayari ana cheti cha Paul makonda badala ya jina lake Daudi Bashite.Acha uongo miaka gani hiyo walikuwa wanatoa vyeti acheni uongo wa kijinga,Paul kasoma Nyegezi chuo cha uvuvi alitumwa jina la Paul Makonda na mzee wangu kamfundisha mwambieni huyo Gwajima aache wendawazimu