Hajakwambia umuamini, kasema Ndalichako afanye uhakiki wa cheti feki.ngwajima huwa simuamini sijui kwanini . kabla ya yote aanze na stori ya Mbasha hapo nitamwelewa
Kuna mtu anajiita Askofu,anaongopea watu kupitia madhabahu kuwa "ana vyeti vya kutoka NECTA" vyenye daraja sifuri.Kama kuna mwenye taarifa hizi,ni lini NECTA wameanza kutoa vyeti kwa wanaopata daraja sifuri? au yupo kwenye arosto?
Ndalichako sio mjinga kufanyia kazi kauli za huyu mchungaji kibwetereHajakwambia umuamini, kasema Ndalichako afanye uhakiki wa cheti feki.
Anachokifanya ni sawa tu.Inaweza kuwa ni kweli lakini sioni mantiki kwa anayejiita mtumishi tena wa Mungu kuendeleza vita. Siku zote watumishi wa kweli humkabidhi Mungu vita vyao. Daudi akasema Mungu pigana na wanaopigana nami...zaburi 35:1b
Labda kama alimaanisha result slip
mfuma auna ulimikipindi cha nyuma walikua wanatoa vyeti hadi kwa wale waliokua wanapata zero,uliza necta
Acha kubadilisha Mjadala Anazungunziwa Daudi MashiteIla hata kama umepata zero unaweza kupata result slip hahaa! Miti inateleza kama imemwagiwa Castrol!
Gwajima tupostie vyeti vya mtu yule kidadeki siafu kakamata korodani za daudi bashite tuone kama hatavua nguo amtoe
Mimi macho kodo nione utupu wa Daudi

Hajasema kama alikua na chet au laaaTokea lini div 0, akapewa certificate? Miaka hiyo anasoma Makonda mtu alipata div 0, kulikuwa hakuna cheti
Sijui huyu mtuhumiwa ana nini ambacho ni spesheli!!!Dah! Magufuli kimyaaaaa kauchuna kama hasikii haya wakati anapita humu.
Hivyo vyeti vya mtu mwingine anavyomiliki ofisini kwake kuvipata wapi? Halafu kuna muhaya kweli anaitwa Muyenji!?adai Ana ushahidi Daudi bashite aka ..RC alipiga zero.
movie inaenda patamu