Matokeo yote ya watahiniwa huwa yanabandikwa hata waliopata div 0, hata kama Gwajima hana cheti anaweza kuwa na vithibitisho vingine. Lakini siku ya siku ikifika kila kitu kitajulikana.Gwajima Anasema ana ushahidi wa Cheti cha Makonda cha Form four alichopata Zero! Hapa Mchungaji kasema Uongo. Necta hawatoi cheti kwa Wenye zero