Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

hata kama..ila dogo ana busara na anajua uongozi!!! nawahakikishia ataendelea kuwa kiongozi
Hizi tuhuma zimemkalia vibaya zaidi mkuu wa nchi, hili jambo likiachwa lipite hivi hivi litamletea shida huko mbele ya safari!
 
Mchungaji Dr.Josephat Gwajima, leo kanisani kwake mbele ya umati wa waumini akiwaita wanafamilia wake, ametoa maelezo yakinifu juu ya tuhuma zinazomkabili ndg. Paul Makonda na katika clip inayosambaa kwa kasi mitandaoni.

Askofu Gwajima amedai anaoushahidi wa kutosha kua ndg. Makonda alitumia vyeti visivyo vyake.

Katika clip hiyo mchungaji Gwajima amesema ana vyeti vinavyotoa ushahidi kua Makonda alitumia vyeti vya mtu mwingine.

Swali: Je, Rais atamwacha Makonda na kulifumbia macho hilo suala?

Hawa walivyopigwa search havikupatikana
 
Nimeona hyo kamvua nguo zote walalh huyu dogo imekula kwake sujui atagombea nn na vyeti vyake feki ni pingamizi tu atendelea kuteuliwa viti maaluum tu na sizonje wake
Kinachombeba kwa sasa ni kabila lake tu angekuwa wa kutoka AR au MBY siku nyingi sana angesharudi kulima na kuitwa lile jina alilowaita wale wanafunzi waliofukuzwa
 
Biblia inatuambia jinsi ya kuwa tambua manabii wa uongo. Hii kideo tu ya haya mahubiri ya jumapili tuliyo bandikiwa hapa dakaki zote hamna nukuu hata ya Biblia.

Inapo fika mlolongo wa shule ya huyu mtumishi pamoja na kusema anatoja kijiji kimoja na mtuhumiwa na kutaja shule alizo pitia huyu mtuhumiwa yeye mtumushi hataji alizosomea wala performance yake si shuleni si chuoni. Kumnanga aliye zungusha kunatakiwa kusindikizwe angalau basi na umahiri wa shuleni wa mnangaji.

Lakini kwa nini kuteki advantage ya mazingira yaliyopo kutaka kuwaonesha waumini wake kwamba ana mamlaka ya juu ya nini mh Rais ata amua wakati anyone can tell kitakachofuata hapa. Yaani huyu mtumishi katengeneza mazingira kuwa uamuzi wowote utakapochukuliwa kuhusu
mtuhumiwa ionekane yeye kama mtumishi wa Mungu ndiye aliye shinikiza huo uamuzi ukachukuliwa kwa kupitia maombi. Atakuwa ndiye mwanzilishi wa hayo mapigo kwa mtuhumiwa. Eti from this time around kamsamehe or kamspare mh Rais kutopata mapigo, mpaka atakapoamua vinginevyo. Sasa ukitafakari mambo ya aina hii na ile misukule ya watu maarufu tuliyo ahidiwa enzi zile kwamba inge fufuliwa mtu unabaki na maswali mengi kuliko majibu.

Na kusema kweli watumishi wenye ndimi za aina hii ni hatari kwa usalama wa nchi. Inatakiwa kula nao sahani moja 24 kwa 7 kwa 365 na robo.

Na washawasha!
 
Biblia inatuambia jinsi ya kuwa tambua manabii wa uongo. Hii kideo tu ya mahubiri ya jumapili dakaki zote hamna nukuu hata ya Biblia.

Inapo fika mlolongo wa shule ya huyu mtumishi pamoja na kusema anatoja kijiji kimoja na mtuhumiwa na kutaja shule alizo pitia huyu mtuhumiwa yeye mtumushi hataji alizosomea wala performance yake si shuleni si chuoni. Kumnanga aliye zungusha kunatakiwa kusindikizwe na umahiri wa shule mnangaji.

Lakini kwa nini kuteke advantage ya mazingira yaliyopo kutaka kuwaonesha waumini wake kwamba ana mamlaka ya juu ya nini Rais ata amua wakati anyone can tell kitakachofuata hapa. Yaani huyu mtumishi katengeneza mazingira kuwa uamuzi utakapochukuliwa kuhusu
mtuhumiwa ionekane yeye kama mtumishi ndiye aliye shinikiza huo uamuzi ukachukuliwa yeye kupitia maombi ndiye mwanzilishi ya hayo mapigo kwa mtuhumiwa. Eti form this time around kamsamehe or kamdpare mh Rais kutopata mapigo, mpaka atakapoamua vinginevyo. Sasa ukitafakari mambo ya aina hii na ile misukule ya watu maarufu tulia ahidiwa enzi nzile ita fufuliwa mtu unabaki na maswali mengi kuliko majibu.

Na kusema kweli watumishi wenye ndimi za aina hii ni hatari kwa usalama wa nchi. Ni kula nao sahani moja 24 kwa 7 kwa 365 na robo.

Na washawasha!
Kwani Gwajima ni mtumishi wa serikali? Na je unajua nini maana ya kuhakiki vyeti? Porojo zako hazina mashiko
 
Ni sawa mkuu lakini mtumishi wa mungu si anatakiwa aseme ukweli? Kama hizi tuhuma zikithibitika ni kweli af mchungaji aje aseme nilijua si mtasema mnafiki

Pili bashite mwenyewe ndo alianza kumu attack akati hana ushahidi mlitaka ajisafishe vipi mbele ya waumini wake?

This is war. remember there is no rules
 
Nadhani hata sinema ya kitwanga Gwajima anaijua kuliko tunayoijua
 
Kwani Gwajima ni mtumishi wa serikali? Na je unajua nini maana ya kuhakiki vyeti? Porojo zako hazina mashiko

wewe ndiye mwenye porojo za ajabu ajabu nani kasema Gwajima ni mtumishi wa serikali. Kabla huja andika ungetafakari hata kidogo, je serikalini kuna watumishi waitwao manabii wa uongo?

Na washawasha!
 
Aisee hii issue inaweza kua kweli
Japo wahusika hawataki kuongelea
 
Ina maana makonda unamfananisha na yesu?
Ni kufuru kumfananisha hata chembe makonda na kiongozi mkuu na mwanzilishi wa imani ya Ukristo.
Yesu hakutafuta kuombewa na viumbe nk
 
Gwajima ndio Nani mpaka umfanye reference hapa?

Tunahitaji ushahidi wa Matokeo ya zero ya na hayo ya kufoji kwanini mzunguke sana Mara sijui Nina namba ya aliempa Vyeti Mara Nina address ya alipokaa wakati anasoma hayo yote ya nini?

Weka vyeti vyake vya Zero hadharani Mchezo uishe
Hivi ni nani mwenye jukumu la kueleza ukweli, gwajima au makonda? Nadhani ni makonda kujikosha
 
So what? Uteuzi wa rais ni wa kisiasa? Au kielimu.. Hao wenye masters wamethubutu kufanya nini? Kikubwa?! Nitamshangaa pia JPM akisikiliza ushauri kama huu.
Kwani aliyetoa ushauri wa kuhakiki vyeti ni nani?Kwani nani alisema hataki vilaza udom?
 
wewe ndiye mwenye porojo za ajabu ajabu nani kasema Gwajima ni mtumishi wa serikali. Kabla huja andika ungetafakari hata kidogo, je serikalini kuna watumishi waitwao manabii wa uongo?

Na washawasha!
Lejea bandiko lako uliposema yeye Gwajima mbona hataji alikosoma na vyeti vyake,inshu ni utumishi wa serikali ya kutumbuana kwa wenye vyeti feki,Gwajima hata kama hajasoma Ndalichako hamuhusu
 
Naomba tukumbuke kuwa ukipata zero NECTA hawakupi cheti. Kwahiyo huwezi kusema una ushahidi wa cheti cha mtu kwenye zero. Unaweza kuwa na matokeo lakin sio cheti.
 
Back
Top Bottom