Ndugu kuwa serious div zero unapewa results slip?Result slip ya mtu nayo ni cheti chake. Gwajima ana waumini ambao wanafanya kazi sehemu mbalimbali including National Examination Council hivyo ni rahisi kwake kupata baadhi ya documents
Tuhuma zisipojibiwa huwa ni ukweli.kauli ngapi zimekuwa zikikanushwa Na viongozi wa serikali Huku wakitoa ushahidi. Na Hili suala walimalize kwa makonda kutoa ushahidi wa vyeti vyake. Ili kupata kuwafungulia mashtaka vizuri wanaoleta habari Za uongo.Eti dv zero kweli anauza sembe uyo
Movie inabahati mbaya inaanza kubamba tu na sie tuliokuwa tunasubiria Designated survivor episode ya 11 ndio hiyoo March inarudi tena,sasa sijui Kolomije na Jacq Bauer watakuwa wanapeana nafasi ya airtimeHii movie natamani isiisheeeee kwakweli









ndio inaonyesha f zoteNdugu kuwa serious div zero unapewa results slip?
kama shule ni pamba, kulikuwa na shule mbili sehemu mojaHii ishu inachanganya jamani!!, inaonekna kama alinunua majina mara mbili!!!
Jina La lasaba na la Form four!!!!
Alimaliza la saba hakufaulu (hakuchaguliwa) akapata jina la daudi bashite nalo Form four akazungusha (akapata zero)!!! akanunua la Poul!!!
Ila Kama ni kweli bado naona anayo loop ya kuchomoka kwa sababu:-
*Vyeti vya zamani havina picha!!!
* kwa nafasi yake anaweza tengeneza cheti cha kuzaliwa chenye jina la Poul, na kufanana na vinginevyo, so kumshika ikawa ngumu!!!
Ukweli utajulikana iwapo:-
*Poul(mmiliki) mwenyewe atakiri kuuza cheti
*kupatikana kwa cheti cha ubatizo
*kupatikana kwa kadi ya clinick
*marafiki alio soma nao kueleza ukweli
*waalimu waliomfumdish kukiri AMA kudhibitisha umiliki wa jina
Huu mchezo mpaka sasa upo wawatu kununua majina, isipokua vyeti imedhibitiwa kidogo!!!
Na siku waki hakiki kwa mtindo wa majina, wengi wataacha kazi!!! Maaana wengi wamenunua majina ya watu wakayasomea
"POLE BASHITE"
Kama unaitumia D moja unapewaNdugu kuwa serious div zero unapewa results slip?
Kwa nini wasikupe cheti wakati ni haki yako?CDM hamna akili NECTA hawakupi Cheti ukipata DIV 0 huyo mwehu wenu hicho Cheti chenye Ziro kakitoa wapi
Hujaona Francis pale juu kaweka?? @ Chama fedhaUna ushaidi?audio?video clip?ebu funguka...
Pamba kulikuwa na wale wanaosoma jioni kaka.Hawa hawakuchaguliwaHii habari inauongo mwingi sana Kwanza anasema darasa la saba hakufaulu lakini akasoma Pamba kisha anasema anavyeti vya ziro form4
Mmmh cjaelewa kbsa unaweza usipate cheti bt ukapta result slip yenye matokeo ya zero?Itakuwa Results slip. Time will tell ukweli utajulikana tu!!