Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Bavaria huu ujinga wa Makonda umeigharimu Serikali na Chama mambo mengi sana:
a)kashfa yake ya vyeti feki na jina feki limeshaiharamisha operesheni ya uhakiki wa vyeti!
Kwani wahakiki wakienda kwenye halmashauri,nao wataambia:"mbona fulani mmemwacha...kwanini sie tu!"?sijui watajibu nini
b)kashfa hii imetupokonya "kichaka" chetu tulichojifichiamo pale tulipoombwa ajira!hivi wananchi wakisema tuwape ajira,kisingizio kitakuwa ni nini tena?
c)ajenda za uhakiki wa vyeti na watumishi ni kama zishakufa kimtindo!kwani sidhani kama mtu serikalini mwenye ujasiri wa kuziendeleza,hasa baada ya kuona kibano cha Makonda!
d)kashfa hii imeleta picha ya kuwa mh rais alikosa umakini ktk uteuzi wake!na kwamba hata kukesha kwake usiku mzima ilikuwa ni kazi bure!
e)kashfa hii imemweka mh rais kwenye dilemma!akimwacha madongo kwa makonda yatazidi,na akimtoa,basi na gambo ajiandae!
In short makonda katuvua nguo baada ya kukichomba kichaka chetu!
Hivi tukiombwa ajira,madai,madaraja mapya,uhamisho na maboresho ya mishahara,tutasingizia nini?kichaka kipi tujifichiemo?dah!

Mwizi wa cheti ndo mshauri wa serikali.. ahaha
 
Kolomije iko Misungwi siyo Kwimba. Maelezo yako kuhusu jina 'Kolomije' ni sawa kabisa.

wilaya ya missungwi ilikatwa toka wilaya ya kwimba, sumve ni jimbo la mbunge ndasa liko ndani ya kwimba. kolomije ni kijiji ndan ya missungwi district
 
Acha uongo miaka gani hiyo walikuwa wanatoa vyeti acheni uongo wa kijinga,Paul kasoma Nyegezi chuo cha uvuvi alitumwa jina la Paul Makonda na mzee wangu kamfundisha mwambieni huyo Gwajima aache wendawazimu
sasa tatizo liko wapi unaloona wewe?? kwani ni nani kasema kuwa hakutumia jina la paul nyegezi?? kwanini asitumie jina la Paul hapo nyegezi wakati cheti alichoingilia nacho hapo chuo kina jina la Paul??. hii inakuingia akilini?? ulitaka aje nyegezi na jina la Daudi Bashite alilotoka nalo shule ya msingi na sekondari?? umeshaambiwa alinunua cheti baada ya kumaliza form four na kupata zero ili aendelee na elimu. cheti akauziwa na Paul Christian M (hilo jina la mwisho linaloanza na M sikiliza hiyo audio utalisikia) sasa ulitaka awalazimishe chuo wamsajili kama DDaudi Albert Bashite wakati cheti anachowaonyesha kimeandikwa Paul Christian M? sijaona unachobishia hapo ni nini? halafu unadhani wanunua vyeti huwa wanachukua majina yote ya kwenye cheti alichonunua? huyo si atakua mjinga? huwa lazima wapandikize jina moja ambalo ni la kwenye ukoo wao kwa taarifa yako. Daudi Albert Bashite kwao jina la Makonda ni jina linalotumiwa na mzee wake pia. kwahiyo yeye kile cheti alichonunua cha Paul Christian M akaamua ile M iwe makonda ili jina la ukoo wao lionekane kwenye utambulisho wake mpya. labda kama na wewe umeamua kutetea tu huku ukifahamu unatetea uongo.
 
Kuna mahusiano yeyote kati ya Daudi na Gwajima na kama hayapo inawezekana familia zao kujuana toka awali ?

Baada ya kuwa Mkuu wa Mkoa kuna mabadiliko gani ya ghafla yamefanyika kijijini hapo?

Kijiji hicho kina jumla ya wanakijiji wangapi na vipi kuna ripoti ya vichaa kwenye kijiji hicho?

Ukiacha Daudi na Gwajima ni nani mtu mwingine maarufu anaetokea kijijini hapo?

Familia ya Daudi ina jumla ya watoto wangapi na ni wangapi wapo hadi sasa hapo kijijini?

Daudi na Gwajima nani kajenga kwao (nyumba ya kufikia)

Umbali wa kutoka kwao Daudi na Gwajima ni mwendo wa dakika ngapi?

Wanakijiji wa kijiji hicho sifa yao kuu ni ipi?

Ukimaliza kujibu nitakuwa nimefahamu hicho kijiji na watu wake !!!!!
Maswali magumu haya sidhsn kama atayajibu
 
Swali ni.je atapata wapi vyet ambavyo.havitolewagi??

Au watafoji cheti cha DIV 0/Fail
Maana huwa havitolewi

My b kama unaushahidi mwingine ila chet cha form4 ambacho daudi alipata zero


Movie inaendelea tutashuhudia mengi kwa kweli

NGOJA siku nae makonda atapo amua kutamka au kujibu hoja kabla magu ajamchinjia bahalini

Naona mtumishi wa mungu kaingia kwenye siasa lasmi
Mkuu data zote zipo kinachofanyika ni kumbeep Makonda aingie kwenye mtego, ingawa Makonda kafanya jitihada za kumnunua Paul mwenyewe Mmiliki wa vyeti ili wafiche ushahidi lakini bado haamini kuwa itakuwa njia mwafaka ya kulikwepa janga la vyeti feki ndiyo maana yupo Kiimya anabuni njia mbalimbali zikiwemo za kutumia
Sangoma na BAKWATA akiamini watamsaidia kuzima moto wa Gwajima, Manji, Wema , mbowe na wemgineo ambao wameamua kwenda nae sambamba bila kuchoka.
 
Kuna kitu cha kufikirisha hapa ambacho Gwajima ameongea.

Unamtaja mtu jumatano kuwa anauza madawa, na unamtaja aripoti polisi siku ya ijumaa, ili muende kumsachi nyumbani kwake. Kama anayo hayo madawa nyumbani kwake, atashindwaje kuyatoa ili siku mkija kusachi msiyakute??

Hii inaipa nguvu hoja ya Gwajima kuwa kuna watu walikuwa "targeted" katika kadhia hii.


Pia, ukimya wa baadhi ya viongozi waandamizi wa ccm unaleta maswali yasio ma majibu. Kinana, Mangula, Pole pole na wengine.

Hawa wote wapo kimya jambo linaloleta maswali kama wanaunga mkono namna mambo yanavyofanywa au lah.

Suala la vyeti vya makonda linapaswa kumalizwa na mamlaka zinazohusika ili kuondoa sintofahamu. Eitha mamlaka zidhibitishe au zibatilishe madai haya, na hawa wenye ushahidi Basi waupeleke panapo husika.

Kufoji cheti ni kosa la Jinai, na hii inafahamika kabisa.

Iwapo kuna ukweli katika hili Basi Mkuu wa nchi achukue hatua kama ilivyokuwa kwa Kitwanga.
 
kwa kali ilivyo sasa ni bora Daud Bashite akae mbali na Paul christian Makonda, ili maisha yake yawe na amani
 
Kipindi hicho si kili kua cha division....kama cha sasa ukipata zero maana F masomo yote....na Necta uwa hawatengenez cheti cha MTU aliye pata zero....au ikoje wadau...?
result slip au Transcript. hiki ni cheti kinachoonyesha matokeo yako. kiasainiwa na kuwa na muhuri wa mamlaka husika. nadhani hata wewe unacho/unavyo na ulivutimia kuombea kuingia chuoni (kama umefika chuoni). hivi vyote ni vyeti tu ka ujumla wake. kwa hiyo result slip au transcript ya bwana Paul Christian Makonda (ambaye jina lake halisi ni Daudi Albert Bashite) ya form four inaonyesha alikwenda sekondari ku Fight For Food For Four years (F F F F F). that is all you need for your transcript to show division zero. hicho ndio cheti anachozungumzia gwajima. kwahiyo suala la cheti kinatolewa au hakitolewi lisiwatoe kwenye tuhuma usika
 
Shehe mkuu wa jijini Dsm Yaani mkuu wa BAKWATA sasa wanajitafunia pesa za Makonda kiulaini kwani Makonda anaamini watu pekee wa kumuokoa ni BAKWATA anaamini Dua zao pamoja na wale Sangoma waliopo kwake wataweza kumvusha kwenye pressure hii ya Manji, Mbowe, Gwajima na wema. amekariri kuwa hao baadhi ndiyo wanamtizama kwa jicho la tatu, kasahau kuwa wapo watanzania wengi hawapendi watu wanaotumia vyeti feki.
 
Olesendeka ilikuwa ni matokeo sio Cheti hata Mbowe watu wanajua alipata ziro ila hawasemi wanacheti chake ukipata Ziro hupati Cheti pumbavu zenu
Kwahiyo kinacho kuuma hapa ni cheti?
 
Sasa naanza kujifunza kwamba kwanni Yesu aliuawa japo alitenda mambo mengi mazuri!!
 
mkuu koromije haipo wilaya ya Kwimba ipo Misungwi
 
Back
Top Bottom