Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Nashangaa kuona wanaojiita wasomi na wenye madaraja ya juu ya ufaulu wanaona Mange na Gwajima ndo Refference zao. Amkeni kwani mnazani Huyu Bashite Mnaye mtaja aking'atuka Gwajima ndo atakua mkuu wa mkoa? Acheni maneno tulijenge Taifa
Uko nje ya maada bro. Swali ni kwamba jamaa anacheti au hana? Mengine siyo ya muhimu kwa sasa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa mtu mwenye akili timamu kwa sasa hawezi tena kuuliza swali kama hili maana kila kitu kimeshawekwa wazi mpaka majina ya watu aliosoma nao Msingi,Secondary na hata chuoni na wala yeye mwenyewe hajakanusha.
Dah.... Mashtaka yake yapo mahakamani Ipi?
 
Mbona povu mwaya, ila nimecheka ulivyoandika inaonekana unajifunza kusoma na kuandika. Kama sikosei ni walewale kinabadhite, bidada jipange unatia aibu kutokujua kuandika vizuri
Jesca nilijizuia kumjibu lolote huyu muuza miguu na utumbo wa kuku kwa mtogole, lakini umenifurahisha ulivyomjibu
 
Vyeti hana ndugu RC kwasababu vyeti vyake vilichukuliwa NECTA na Gwajima kama alivyosema mwenyewe na vyeti NECTA huwa hawatoi zaidi ya Mara moja hata ukipoteza imekula kwako.
Sasa kwa kuwa Mchungaji alisema anavyo vyeti nafikiri tumdai yeye mwenye vyeti. Maana kusema ana vyeti vya mtu na alivichukua NECTA anamaanisha mwenye vyeti hana vyeti kwa kuwa havitolewi Mara mbili.
La si hivyo huyu Mchungaji ni muongo na hivyo vyeti hana anatufanyia utapeli kweupeeee
 
.....
....Mkuu umevunja bendi
 
Na kama anacho ni kipi kinamsababisha apate uweweseka na kushindwa kukiweka hadharani ili kumaliza hili sakata linalomuandama kwa zaidi ya wiki sasa!?

Uko nje ya maada bro. Swali ni kwamba jamaa anacheti au hana? Mengine siyo ya muhimu kwa sasa.
 
Mmeambiwa mlete ushahidi wa vyeti ila mmekalia maneno ya taarabu tu.
Hapo kwenye taarabu ndiyo kuna kizungumkuti.
Magu mwenyewe anaicheza hiyo taarabu na hapo kawekwa kingi akichomoa analiwa asipochomoa analiwa.
Huu ni mzimu wa mwendokasi.

Magu akimtumbua, Bashite anakula Pingu asipomtumbua mdomo wa mwendokasi hana ingawa itakuwa ni fadhila za kisukumanization ingawa Magu si Msukuma halisi.
Ampangie kazi nyingine lkn bunge linamsubiri, Manji, Mbowe, vyeti sijui atatokea wapi
 
Lete ushahidi kuwa kaghushi chochote.
Tatizo lenu huwa mnawafanya watu wajinga, huyo Bashite tunamjua sana na ni kweli kuwa kasomea cheti cha mwingine, na ingelikuwa ni tuhuma angelikuwa amejitokeza kupinga siku nyingi na serikali isingekubali idhalilike hivi, mwambie huyu mtu wako kuwa ni mfungwa anaetembea huwezi jua lini huyo anaemkingia kifua atadondoka.
 
Amalizee utata atuwekee vyetii tuu ..mbonaa tutamwacha na life lakee cc hatunaa hata shidaa akishawekaa vyeti
Endeleeni kusubiri hivo vyeti hapo hapo Subirini, muwe wavumilivu kuendelea kusubiri
Cheti
cf2cb8d5b5c79e4a0432b4ea68a5c5aa.jpg

Mnalialia nini mwambieni aoneshe cheti bana alaa.
 
Ina maana Bashite na uwezo wake wote wa kuongeea kashindwa kujitetea? Atumie hata ubabe kufuta hii soo. Inamchafua yeye pamoja na kiti chake. Inamchafua na kumshusha hadhi hata mkuu wake.
 
Hakuna kilichowekwa wazi.

Kilichopo ni maneno tu.

Hata huyo anayedaiwa kuwa ndo Paul Makonda mwenyewe sura yake haijulikani.

Hayo majina ya watu unaodai walisoma naye hayajathibitishwa na mwingine yeyote zaidi ya wapinzani wake ambao hawawezi kuaminika kivile.

Hata huyo Gwajima wenu licha ya kudai anavyo vyeti vya Makonda huko ofisini kwake bado hajatuonyesha kama kweli anavyo. Na anaweza kabisa kuwa anatudanganya tu.

Na yeye Makonda kutokukanusha chochote mpaka sasa hivi [kama unavodai] si ushahidi wa chochote wala lolote lile.

Bado kabisa sijaiona hiyo jinai unayodai kaitenda. Sisemi kuwa hajatenda jinai. La hasha. Nasema kuwa sijaona ushahidi wowote ule wa kunishawishi kuwa katenda jinai. Maneno yenu pekee si ushahidi wa kunishawishi mtu kama mimi.

Na hii mada yako wala haina jipya zaidi tu ya kujaribu kuipa uhai habari ambayo inaelekea kaburini.

Mwambieni Gwajima wenu atuonyeshe hivo vyeti alivyonavyo ofisini kwake maana Makonda mwenyewe hataki.
Acha ushabiki rejea scandal ya Obama kuhusu cheti cha kuzaliwa pale US, we unataka kiongoz wa umma anayelipwa kodi toka ktk Mifugo ya maskini atuhumiwe na nani ili athibitishe ukweli!? Kiongozi WA umma hatakiwi kuwa na tuhuma zozote hata km angetokea raia mmoja tuu Kuandika kuwa anawasiwasi na mkuu ilibid ajisafishe kuweka kumbukumbu sawa na kulinda hadhi ya serikali na aliyemteua maana alichofanya ni issue ya kiinterejensia.
Hii inaweza tokea Tz tuu ila mfano hata hapo Kenya tuu habari yake ingeisha.
 
Hapa kazi tu! Piga kazi uliyotumwa kufanya ktk mkoa wa Dar. Achana na kelele za milango za waropokaji wa siku zote. Ignore all fake stories. Be calm. Chapa kazi iliyotukuka kama kawaida yako. Na huhitaji kuwajibu chochote. Wao siyo waajiri wako. Who are they? Waganga njaa tu.Watazoea. Ni upepo tu huo utapita. Katika maisha lazima kuwa strong. Hongera sana Makonda kwa kazi nzuri. Nchi hii inahitaji viongozi majasiri kama wewe.
 
Fine and dandy.

But where is the proof, apart from people blabbing, that he is not who he says he is?

Because remember this, just saying it so doesn't make it so.

So where's the proof?
Proof iko tu. Hata brightest person sio rahisi ku cover kila kitu, sembuse huyu
 
Hapa kazi tu! Piga kazi uliyotumwa kufanya ktk mkoa wa Dar. Achana na kelele za milango za waropokaji wa siku zote. Ignore all fake stories. Be calm. Chapa kazi iliyotukuka kama kawaida yako. Na huhitaji kuwajibu chochote. Wao siyo waajiri wako. Who are they? Waganga njaa tu.Watazoea. Ni upepo tu huo utapita. Katika maisha lazima kuwa strong. Hongera sana Makonda kwa kazi nzuri. Nchi hii inahitaji viongozi majasiri kama wewe.
Ni jasiri hasaaa.....uitwe jina ambalo sio lako afu ukaitika.....yataka roho ya chuma hasa.....
 
Back
Top Bottom