Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Aiseeee hivi huyu Bashite alijiamini na nini?
Mtu mwenye makandokando namna hii unathubutu vipi kuishi kwa kiburu na kejeli namna ile?

Laiti kama angekeep low profile haya yote yasingetokea,kujikweza kubaya sana.
 
Aiseeee hivi huyu Bashite alijiamini na nini?
Mtu mwenye makandokando namna hii unathubutu vipi kuishi kwa kiburu na kejeli namna ile?

Laiti kama angekeep low profile haya yote yasingetokea,kujikweza kubaya sana.
Siku zote mtu kama huyo lazima aishi hayo maisha ya kuijadai na ubabe ili kuficha vilivomo nyuma ya pazia
 
Gwajima alete alivyonavyo kwanza viwekwe adharani tumechoka na kelele bila ushahidi
 
Aiseeee hivi huyu Bashite alijiamini na nini?
Mtu mwenye makandokando namna hii unathubutu vipi kuishi kwa kiburu na kejeli namna ile?

Laiti kama angekeep low profile haya yote yasingetokea,kujikweza kubaya sana.
Anaweka mambo swawasawa ukiwa kupata Vyeti Original. Cha kuzaliwa kam chenye jina la sasa japo Tanzania hajawahi kuzaliwa mtoto mwenye jina hilo. Christian Makonda hajawahi kuzaliwa bongo.
 
Nadhani katika dunia hii kuna baadhi ya watu siyo wa kuchezea, na kwa Tanzania Gwajima ni shida nyingine ambayo kwa sasa inawakosesha usingizi JPM na Bashite.

Kwa video hii tunamuomba anayejiita makonda atoe kifua aje aseme kama anasingiziwa.
Mzigo huu hapa.


Hana ya kumjibu askofu kichaa anayehangaika kujisafisha kupitia tuhuma hewa.
 
Tuhuma zinatosha kumuondoa ktk nafasi aliyonayo.....lkn kwa sababu ukada unapewa kipaumbele na visasi zidi ya wapinzani wa mkuu wa nchi bashite anaendelea na kazi yake,tawala hizi hazina tofauti na zilizopita na zile za akina sadam,Mobutu,idi amin,mubaraki,yahaya jame na wengineo ni hadi Mungu atakapoamua.....japo wananchi wengi wameumizwa kwa kesi km ya bashite lkn mkulu ameamua kufumbia macho,so sio utetezi wa msema kweli ila ni chuki za kisiasa lkn Mungu ndo mwenye maamuzi......uzuri itabaki ktk kumbukumbu daima.
 
Huyu jamaa sio muda ataomba likizo tena alijua Gwajima kamaliza kumbe ndo kwanza anaanza
 
Nimekuwa nikifuatilia kwa kina madai mbalimbali ya Mchungaji Gwajima, akidai vyeti vya Rc Makonda kuwa ni feki nakuwa hata Elimu yake nayo ni feki. Yafuatayo hapa ni mashaka yangu juu ya madai hayo;
1.Gwajima anadai kuwa Rc Makonda mwaka 1996 aihitimu darasa La 7 nakufeli mtihani wa kuingia kidato cha kwanza, lakini mwaka 1997 akajiunga kidato cha I Shule ya Secondary Pamba, hapa napata mashaka, aliwezaje kujiunga kidato cha Kwanza bila kuwa na TSM9?, kwani haupo utaratibu wa mwanafunzi kujiunga kidato cha kwanza bila kuwa na TSM9, hapa moja kwa moja madai haya yana mashaka na kwa kifupi ni ya uongo.
2. Gwajima anaendelea kudai kuwa Makonda alipofika kidato cha IV pia aliferi nakupata division zero.
Gwajima hapa pia anadai kuwa anao ushahidi wa vyeti vya Gwajima ambavyo vinathibitisha kuwa Makonda alipata Zero.
Mashaka yangu hapa nikuwa, inawezekanaje mtu apate Division Zero halafu apewe cheti? Na wakati huo huo cheti hicho original awe nacho Gwajima badala ya Makonda? Au Bashite kama yeye anavyodai?
Gwajima pia anadai kuwa Rc Makonda alibadili jina na kutumia la mtoto wa Mzee Sitta baada ya kuwa yeye alifeli nakupata Zero. Sasa vyeti original vya mtoto wa Sitta navyo anavyo Gwajima?je kila moja wao yeye anachukua vyeti vyao tena original kwa sababu zipi?
> Gwajima atueleze yeye kwavile kimsingi yeye ndiye anayetuhumu, na mtu akikutuhumu yeye ndiye wajibu wake kuthibitisha tuhuma badala ya kusubili mtuhumiwa athibitishe. Shida siyo ya Makonda, shida ni ya Gwajima na wote wanaodhani hoja ya Gwajima inamashiko. Makonda yeye tayari anaamini amesoma na vyeti vyake ni sahihi, na tayari ni Mkuu wa Mkoa wa Dsm, na Rais kamuamini vya kutosha na amethibitisha wazi kuwa nafasi aliyopewa anaiweza ndiyo maana kaanzia ukuu wa Wilaya hadi ukuu wa Mkoa na huenda akaenda zaidi ya hapo. Sasa nani mwenye shida? Gwajima au Makonda?
Kimsingi hapa ndugu zangu, kilichopo hapa ni chuki binafsi, mtu anapost nakudai kuwa eti watu wengine wameondolewa kazini chini ya usimamizi wa Makonda wakati wa zoezi La watumishi wasiokuwa na sifa. Sasa tujiulize kama ndugu yako alithibitika kuwa hana cheti sahihi, na akaondolewa bila hata kudaiwa fedha aliyokuwa akilipwa huoni kuwa ni nafuu? Kama unahakika kuwa Makonda anavyeti feki, kwanini usitumie mamlaka sahihi kumshitaki? Kuna haja gani kumtaka yeye ndiye athibitishe? Narudia yeye ana shida gani hadi ahangaike kuthibitisha?
Watu wooote wanaohangaika na kumtaka Makonda athibitishe, wanapoteza mda, haitakaa itokee, ikumbukwe kuwa Makonda ni mtu mstaarabu, mwelewa,anajiheshimu, ni kiongozi wa Mkoa, anayeifahamu kazi yake, asiyetishwa, jasiri, mpambanaji, na kuwa Vita dhidi ya Mihadarati itaendelezwa kwa kiwango cha juu na pengine kuzidi hapa. Wanaojaribu kuipunguza kasi hii humu wakivunga kuunga mkono, watashindwa bila kutarajia. Mungu mbariki Makonda, Mbariki Waziri Mkuu, Ibariki Serikali, Ibariki Tanzania.
 
Nyie ndio wale mlotumwa kwenda Koromoje?
Halafu unajua watu wastaarabu wakoje? kama yeye haonyeshi na wengine wanafungwa mika 28 kwa kosa kama la Bashite wengine walikuwa wamebakiza mwaka wastaafu mafao yao yote wanakosa ila kwa sababu ya double standards blood fool wewe huyaoni yote hayo? Halafu mnamalizia kwa kusema msema kweli mpenzi wa Mungu! and God is watching you in 3D.
 
huu ni uzushi tu, kila siku NECTA wanatoa matangazo yakusaidiwa wawatafute watu wenye vyeti feki wanaotumia vyeti. Kama Gwajima anaushahidi kua Bashite anatumie vyeti visivyo vyake why asiripoti NECTA anaripoti instagram/youtube

Tena credibility ya anayeripoti ni mbovu zaidi ya anayeripotiwa
 
Back
Top Bottom