Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,240
Cheti
Kwa mtu mwenye akili timamu kwa sasa hawezi tena kuuliza swali kama hili maana kila kitu kimeshawekwa wazi mpaka majina ya watu aliosoma nao Msingi,Secondary na hata chuoni na wala yeye mwenyewe hajakanusha.
Pozi matata la Call Me J au Korimjee!!Cheti![]()
We kiboko Nyuzi ya bashite ikitupiwa tu humu hata kama umelala usingizi usiku wa manane utashtuka kuja kumtetea, inaonekana hii kazi inakulipa si mchezo.😀Nenda kajipige mabao jitambue kama umekosa maisha, unaandika kwa hasira kama vile Kiongozi Jembe ndie alikuweka kwenye aisha unayoishi.
Eti nani na nani mna majina yao? Eeeeh kituko cha karne zote. Si muwaite mapaparazi waongee mubashara au?
Je pakuripoti pamefungwa milango 24/7?
Kweli akili timamu zilishasepa
Mvivu, mjaa wivu, pundwa, njaa kali, tamaaa inahusu
Nimeipenda hiyo kauli "jinai haifi.."..naongezea hivi "jinai haifi na anaekupa kiburi ana miaka nane tu imebakia kabla nae kugeuka kuwa nyoka wa kibisa a.k.a "mzee"Bashite asipokoma hapo ulipo na akasalimu amri kwa kuachia wadhaifa wake huo alionao,kitakachofuata baada ya hapo ni kwenda mahabusu na tusisahau moja ya kosa lake analotuhumiwa kulifanya linatajwa kuwa halina dhamana.
Sasa hata kama ni wewe utafanyaje zaidi ya kujifanya kauzu?
Hata hivyo,anajidanganya tu maana jinai haifi na yeye wala hana kinga.
Imebidi nicheke sana !Cheti![]()
Hii nchi INA wenyewe mkuuu we uza mitumba yako familia iende chooni utapotezwwBashite asipokoma hapo ulipo na akasalimu amri kwa kuachia wadhaifa wake huo alionao,kitakachofuata baada ya hapo ni kwenda mahabusu na tusisahau moja ya kosa lake analotuhumiwa kulifanya linatajwa kuwa halina dhamana.
Sasa hata kama ni wewe utafanyaje zaidi ya kujifanya kauzu?
Hata hivyo,anajidanganya tu maana jinai haifi na yeye wala hana kinga.
Huku ni kujitoa ufaham. Nyani is too clever to pose this question.Kwani katenda jinai gani mpaka sasa?
Masahihisho - amebakiwa na miaka mitatu tu , siyo 8 , hawezi kushinda uchaguzi wowote mwingine , chukua hili andiko mkuu , Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !Nimeipenda hiyo kauli "jinai haifi.."..naongezea hivi "jinai haifi na anaekupa kiburi ana miaka nane tu imebakia kabla nae kugeuka kuwa nyoka wa kabisa a.k.a "mzee"
Hata unishikie bunduki , huyu Makonda hajawahi kuwemo katika wenye nchi hii , acheni kumpa sifa asizokuwa nazo .Hii nchi INA wenyewe mkuuu we uza mitumba yako familia iende chooni utapotezww
Msalimie bandugu Daudi Bashite.Nenda kajipige mabao jitambue kama umekosa maisha, unaandika kwa hasira kama vile Kiongozi Jembe ndie alikuweka kwenye aisha unayoishi.
Eti nani na nani mna majina yao? Eeeeh kituko cha karne zote. Si muwaite mapaparazi waongee mubashara au?
Je pakuripoti pamefungwa milango 24/7?
Kweli akili timamu zilishasepa
Mvivu, mjaa wivu, pundwa, njaa kali, tamaaa inahusu
Acha ubishi wa kitoto jooHakuna kilichowekwa wazi.
Kilichopo ni maneno tu.
Hata huyo anayedaiwa kuwa ndo Paul Makonda mwenyewe sura yake haijulikani.
Hayo majina ya watu unaodai walisoma naye hayajathibitishwa na mwingine yeyote zaidi ya wapinzani wake ambao hawawezi kuaminika kivile.
Hata huyo Gwajima wenu licha ya kudai anavyo vyeti vya Makonda huko ofisini kwake bado hajatuonyesha kama kweli anavyo. Na anaweza kabisa kuwa anatudanganya tu.
Na yeye Makonda kutokukanusha chochote mpaka sasa hivi [kama unavodai] si ushahidi wa chochote wala lolote lile.
Bado kabisa sijaiona hiyo jinai unayodai kaitenda. Sisemi kuwa hajatenda jinai. La hasha. Nasema kuwa sijaona ushahidi wowote ule wa kunishawishi kuwa katenda jinai. Maneno yenu pekee si ushahidi wa kunishawishi mtu kama mimi.
Na hii mada yako wala haina jipya zaidi tu ya kujaribu kuipa uhai habari ambayo inaelekea kaburini.
Mwambieni Gwajima wenu atuonyeshe hivo vyeti alivyonavyo ofisini kwake maana Makonda mwenyewe hataki.
Evidence zipi?Huyo Mch Gwajima amefurahi sana kutajwa jina ktk sakata la madawa maana ndiyo kama limempa kick nyingine ya Ku earn more and more baada ya kuwakamata watu akili zao na kuwaendesha kama anavyotaka.
Sasa hivi yeye Gwajima anatoa tu episode kila jpili na kuwatengenezea mazingira kwa kuwapa ahadi ya nini ataongea next jpili baada wafuasi wanaongezeka kila kukicha.
Mpaka sasa nasikia tu hawa walisoma naye,Mara huyu alimpa cheti,Mara huyu ni Dada yake Mara huyo ni Mwl wake Mara sijui huyu katoka kijijini kwake ili mradi ni story tu zisizokuwa na kichwa wala miguu.
Hakuna hata mmoja anayetuwekea ushahidi wa hiyo JINAI ilifanywa hata mmoja hakuna aliyethibisha kuweka hizo evidence.
Ngoja tusubiri next episode ya Gwajima INA nini!!?