Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Masahihisho - amebakiwa na miaka mitatu tu , siyo 8 , hawezi kushinda uchaguzi wowote mwingine , chukua hili andiko mkuu , Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
Unadhani atashinda nani badala yake. Tupe mawazo yako. Lakini usituletee majina ya watuhumiwa wa ufisadi na mafisadi hapa. Chunga sana mdugu
 
Hakuna kilichowekwa wazi.

Kilichopo ni maneno tu.

Hata huyo anayedaiwa kuwa ndo Paul Makonda mwenyewe sura yake haijulikani.

Hayo majina ya watu unaodai walisoma naye hayajathibitishwa na mwingine yeyote zaidi ya wapinzani wake ambao hawawezi kuaminika kivile.

Hata huyo Gwajima wenu licha ya kudai anavyo vyeti vya Makonda huko ofisini kwake bado hajatuonyesha kama kweli anavyo. Na anaweza kabisa kuwa anatudanganya tu.

Na yeye Makonda kutokukanusha chochote mpaka sasa hivi [kama unavodai] si ushahidi wa chochote wala lolote lile.

Bado kabisa sijaiona hiyo jinai unayodai kaitenda. Sisemi kuwa hajatenda jinai. La hasha. Nasema kuwa sijaona ushahidi wowote ule wa kunishawishi kuwa katenda jinai. Maneno yenu pekee si ushahidi wa kunishawishi mtu kama mimi.

Na hii mada yako wala haina jipya zaidi tu ya kujaribu kuipa uhai habari ambayo inaelekea kaburini.

Mwambieni Gwajima wenu atuonyeshe hivo vyeti alivyonavyo ofisini kwake maana Makonda mwenyewe hataki.
Uko sawa Mkuu....waache Maneno walete ushahidi....na siyo anaetuhumiwa kuleta ushahidi....nyambafu.
 
2020 mkulu atapopolewa mawe, michanga, vinyesi vya kopo, mikojo iliyosindikwa kwenye makopo yaan " canned urine", matusi atapokea ya kutosha hasa kanda hii ya ziwa na kwingineko nimjuavyo alivyo na hasira ataruka samasoti akitua atasema; "Sasa nyie waSENGErema na ma.fa.la mimi ndie rais mpende msipende!" msulini yaan kwa wat
 
Kwani katenda jinai gani mpaka sasa?
Unapojaza application forms lazima kuna sehemu ya wewe kukiri kwamba unachojaza ni cha kweli.
Jinai ya kwanza: wazazi/ walezi walipoamua mtoto asirudie shule na kumhamishia shule nyingine. Hapo lazima uongo uwe umetumika. Lakini siamini Kama records zitaonyesha. Naamini hapo ndipo wazazi walivyoamua destiny ya mtoto wao. Alikuwa hana msingi mzuri wa elimu.
Ya pili: sekondari aliendaje Kama alifeli (naamini alifeli na siyo kutokuchaguliwa). Sec ya serikali au private?
Ya tatu: kujiunga na chuo cha uvuvi kwa kutumia cheti ambacho sio cha kwake.
Ya nne: kubadilisha jina kutoka jina ambalo si lake (kwa kiapo) kwenda jina jingine
Ya tano: kujipatia hati ya kusafiria na vitambulisho vya kura na taifa kwa njia ya udanganyifu
Ya Sita: kuajiriwa kwa kutumia documents ambazo si zake kihalali.

Kuna wakati one small lie inazaa lies kubwa zaidi mpaka mwenyewe unajiaminisha kwamba maisha yako ni ya kweli, ukakosa unyenyekevu. Kumbe it is just a big fat lie, hujui hata utafanyaje one lie after another.

Kwa jinsi hii inabidi ukae kimya.
 
Uko sawa Mkuu....waache Maneno walete ushahidi....na siyo anaetuhumiwa kuleta ushahidi....nyambafu.
Wiki sijui ya ngapi hii wanapiga kelele za Bashite na Makonda lakini hakuna chochote wanachotuonyesha zaidi ya maneno tu.

Hata huyo jamaa anayedaiwa kuwa ndo Paul Makonda original hata sura yake hatuijui.

Kama anaishi Tanzania hii hii ina maana imeshindikana kabisa kumpata aulizwe kulikoni?

Na kama yupo kweli, sasa hivi yeye anatumia jina gani wakati jina lake halisi linatumiwa na mkuu wa mkoa wa Dar?
 
Nenda kajipige mabao jitambue kama umekosa maisha, unaandika kwa hasira kama vile Kiongozi Jembe ndie alikuweka kwenye aisha unayoishi.

Eti nani na nani mna majina yao? Eeeeh kituko cha karne zote. Si muwaite mapaparazi waongee mubashara au?

Je pakuripoti pamefungwa milango 24/7?

Kweli akili timamu zilishasepa

Mvivu, mjaa wivu, pundwa, njaa kali, tamaaa inahusu
Mbona povu mwaya, ila nimecheka ulivyoandika inaonekana unajifunza kusoma na kuandika. Kama sikosei ni walewale kinabadhite, bidada jipange unatia aibu kutokujua kuandika vizuri
 
Unapojaza application forms lazima kuna sehemu ya wewe kukiri kwamba unachojaza ni cha kweli.
Jinai ya kwanza: wazazi/ walezi walipoamua mtoto asirudie shule na kumhamishia shule nyingine. Hapo lazima uongo uwe umetumika. Lakini siamini Kama records zitaonyesha. Naamini hapo ndipo wazazi walivyoamua destiny ya mtoto wao. Alikuwa hana msingi mzuri wa elimu.
Ya pili: sekondari aliendaje Kama alifeli (naamini alifeli na siyo kutokuchaguliwa). Sec ya serikali au private?
Ya tatu: kujiunga na chuo cha uvuvi kwa kutumia cheti ambacho sio cha kwake.
Ya nne: kubadilisha jina kutoka jina ambalo si lake (kwa kiapo) kwenda jina jingine
Ya tano: kujipatia hati ya kusafiria na vitambulisho vya kura na taifa kwa njia ya udanganyifu
Ya Sita: kuajiriwa kwa kutumia documents ambazo si zake kihalali.

Kuna wakati one small lie inazaa lies kubwa zaidi mpaka mwenyewe unajiaminisha kwamba maisha yako ni ya kweli, ukakosa unyenyekevu. Kumbe it is just a big fat lie, hujui hata utafanyaje one lie after another.

Kwa jinsi hii inabidi ukae kimya.
Fine and dandy.

But where is the proof, apart from people blabbing, that he is not who he says he is?

Because remember this, just saying it so doesn't make it so.

So where's the proof?
 
An
I'm actually going notches way up higher by demanding to see proof that shows he is not who he says he is.
And you will have saved the nation so so much if your clansman Mr Daudi could have just done that!! No body is asking beyond that broda.!
 
Mchungaji kasema Ana vyeti viwili kimoja cha Daudi A. Bashite ambacho alipata zero na kingine cha Paul c. Muyenga, swali dogo hapo, Je mwanafunzi akipata zero o-level anapewa cheti!
Anapewa "Living Certficate" aka Cheti
 
An

And you will have saved the nation so so much if your clansman Mr Daudi could have just done that!! No body is asking beyond that broda.!
Gwajima said he has the proof.

So why won't he release what he claims to have?

And clansman? The hell is that...?
 
Nashangaa kuona wanaojiita wasomi na wenye madaraja ya juu ya ufaulu wanaona Mange na Gwajima ndo Refference zao. Amkeni kwani mnazani Huyu Bashite Mnaye mtaja aking'atuka Gwajima ndo atakua mkuu wa mkoa? Acheni maneno tulijenge Taifa
 
Mchungaji kasema Ana vyeti viwili kimoja cha Daudi A. Bashite ambacho alipata zero na kingine cha Paul c. Muyenga, swali dogo hapo, Je mwanafunzi akipata zero o-level anapewa cheti!
Hakuna cheti kinatolewa kwa mwanafunzi aliyepata div 0.

Ila kwasababu kuna MTU ana vyeti vya watu ktk makabati yake Mch Gwajima basi atuwekewe hapa ili tujue muhusika atasemaje?

Tumechoka na hizo episode zake za kila jpili
 
Back
Top Bottom