Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Serikali haindeshwi kwa mihemko na majungu ya Instagram..Safi sana Magu
 
Nahoji vitu vifuatavyo, kumekuwa na watu ambao ama hawajielewi au ni wenye ufahamu wa juu sana, nadhani nitapata majibu yakutosha,
1.Kumdai vyeti vyake vya shule Mh.Rc Makonda kupitia mitandao ya kijamii, je ni njia sahihi au ni upungufu wa uelewa au ni ushabiki wa kiitikadi, au nikufurahisha nafsi?
2. Je kama Mh.akiaamua kuleta vyeti avilete wapi? JF, FB, Instagram n.k?
3.Je hatumjui aliyemuajiri ? Kwanini tusimuombe Mwajiri wake ili tuvikague na kujiridhisha?
3.Je nani wa kuamini? Gwajima au Rais ambaye ni taasisi? Ambaye kabla ya ajira anatumia "Machinery" zake kupitia vigezo vyote vikiwemo na vyeti? Sasa iweje Gwajima peke yake adai Rc alifeli? Gwajima anadai anavyeti vya Makonda kuonesha kuwa alifeli nakupata Dv 0, sasa najiuliza Academic results alizipataje Gwajima wakati aliyepata Dv Ziro hana cheti anapata Living Certificate peke yake?
4.Gwajima kwa maelezo/madai yake namba 6 na 7 alidai kuwa Mh.Makonda alifeli std 7 mwaka 1996 na hakuchaguliwa lakini anadai kuwa mwaka 1997 akajiunga Secondary ya Serikali Pamba, sasa swali aliwezaje kujiunga sekondary ya serikali mtu ambaye alishaferi na hana TSM9? tena inadaiwa alijiunga kwa jina lake linalodaiwa kuwa ni Daud Albert Bashite, ambalo alikwenda nalo kidato cha iv ambako nako aliferi nakupata Ziro lakini bado akapata cheti ambacho Gwajima yuko tayari kuvionesha kwa umma, ambavyo hadi leo pamoja na kelele zote hajathubutu hata kuonesha kipande tu cha karatasi.
5. Gwajima aliwahi kudai kuwa alimpa fursa Makonda kuhutubia kwenye kanisa lake, na alimpisha kwenye mimbari ambapo ni mahali patakatifu, na watu watakatifu wapakwa mafuta peke yako ndio ambao huruhusiwa kusimama, je ilikuwaje Gwajima amruhusu mtu mchafu kiasi hiki tena mtu asiyekuwa na Elimu yeyote ile asimame mahali patakatifu na kunena na Watu wa Mungu?
6. Je ktk kitabu kitakatifu kuna mafungu yapi yanayoongelea Kolomije, Makonda, Bashite, Vyeti ,? Hadi iwe sehemu ya mahubili ya kila juma?
7.Je kanisa ni eneo sahihi la kumshitaki Makonda kwa kufoji Vyeti?
8.kwanini Madai ya Gwajima yanahitilafiana sana, tuamini ni uongo? Ametunga? Amefanya hivyo kutokana na tuhuma ya mihadarati? Kumbe tuhuma ilimkasirisha, ni yakweli? Kama ni uongo kwanini hakukaa kimya jamii ikayapuuza kama alivyokaa kimya Mh.Rc Makonda na sisi wana Dsm tumeamua kuyapuuza?
GWAJIMA JIBU KWANZA KASHFA YAKO NA F.MBASHA.
 
HUU Uzi hakuna shida
 
kuna kale kawimbo kwenye filamu ya Machete.......wanaimba!!

machete bashete macheete, machete bashete bashiteeee

cc. Mwl. wa Fiziksi km vip mwambie huyo Kofii olomide arudie kidato cha nne tu...mana hakuna namna tena!
 
Pamoja na Mkuu kuziba masikio, tusichoke, tuendelee kupiga kelele za kutaka vyeti. Kama kuna maelfu wako makaburini kwa shock za vyeti, wako mitaani kwa kufukuzwa kwa vyeti fake, tusinyamaze. Let us make history for future use!
 
Bashite asipokomaa hapo ulipo na akasalimu amri kwa kuachia wadhaifa wake huo alionao,kitakachofuata baada ya hapo ni kwenda mahabusu na tusisahau moja ya kosa lake analotuhumiwa kulifanya linatajwa kuwa halina dhamana.

Sasa hata kama ni wewe utafanyaje zaidi ya kujifanya kauzu?

Hata hivyo,anajidanganya tu maana jinai haifi na yeye wala hana kinga.
 
Kwa mtu mwenye akili timamu kwa sasa hawezi tena kuuliza swali kama hili maana kila kitu kimeshawekwa wazi mpaka majina ya watu aliosoma nao Msingi,Secondary na hata chuoni na wala yeye mwenyewe hajakanusha.
Amalizee utata atuwekee vyetii tuu ..mbonaa tutamwacha na life lakee cc hatunaa hata shidaa akishawekaa vyeti
 
Hivi haiwezekani "yule bwana" kupelekwa kule kilipo kivuko cha Kigamboni? Maana naona kama nae ana sifa za kifaa.
 
Back
Top Bottom