Sasa mkuu kinacho mshinda huyo bashite kukitoa hadharani hicho cheti kama kweli anacho ni nini?? Ili huu mjadala huu uishe ni nini??? Kwani hapo ndipo watu wana kuwa na wasiwasi!! Wewe mtu akutuhumu kitu tena cheti ambacho ushahidi uko kwenye maandishi unakuwa mgumu kukitoa hadharani!! Je ungeambiwa wewe ni shoga si ndio mziki mnene ku dhibitisha?!! Hapa bwana kuna shidaaaaaaCDM hamna akili NECTA hawakupi Cheti ukipata DIV 0 huyo mwehu wenu hicho Cheti chenye Ziro kakitoa wapi
hawa ni vijana wa facebook na twitter, hawajui hayoNdugu,kipindi cha nyuma walikua wanatoa vyeti hadi kwa wale waliokua wanapata zero,uliza kwa wale waliomaliza zamani.
Sasa mkuu kinacho mshinda huyo bashite kukitoa hadharani hicho cheti kama kweli anacho ni nini?? Ili huu mjadala huu uishe ni nini??? Kwani hapo ndipo watu wana kuwa na wasiwasi!! Wewe mtu akutuhumu kitu tena cheti ambacho ushahidi uko kwenye maandishi unakuwa mgumu kukitoa hadharani!! Je ungeambiwa wewe ni shoga si ndio mziki mnene ku dhibitisha?!! Hapa bwana kuna shidaaaaaaCDM hamna akili NECTA hawakupi Cheti ukipata DIV 0 huyo mwehu wenu hicho Cheti chenye Ziro kakitoa wapi
duh ama kweli mtu ukiamua kutetea kitu unaamua kufumba macho. wewe kweli unaona kuna uongo hapo? mtu anatoa historia yake tangu kijijini darasa la kwanza. anasema alifika la ngapi akahama shule. anakutajia alikohamia. anakutajia jina la mama aliyemlea wakati akimalizia na shule ya msing na kuanza sekondari. (anakuthibitishia kua na namba yake ya simu anayo na yuko hai). anakutajia matokeo yake pale pamba seko (na cheti lakini nadhani kamaanisha result slip/transcript anayo). anakupa jina la aliyemuuzia cheti na kuthibitisha yuko hai. mwenye cheti hicho jina lake ndio hilohilo lilipo kwenye cheti cha makonda. bado unaona ni uongo? unataka ukweli wa aina gani. halafu kwa sasa mwenye kudai kuwa hayo ni madai ya uongo ni yeye mwenyewe Daudi Bashite na sio wewe au mwengine yeyote labda wazazi wake. kashfa nzito. makonda yupo. wazazi wapo unadhani kwanini hawajitokezi kujibu tuhuma na kuweza records sawa?? unajua maisha ya kijijini yalivyo. kijiji ni kidogo tena hasa kwetu usukumani ni kwamba kila mtu anaijua familia nyingine kwa undani. pale kilomije wanajua makonda anaitwa daudi albert bashite na sio paul christian makonda. pamba sekondari ukiwaonyesha sura watakwambia huyu anaitwa daudi albert bashite kwa mujibu wa records zao. chuo cha uvuvi ukiwaonyesha sura watakwambia huyu anaitwa paul christian M (hiyo M sio makonda) kwa mujibu wa records zao. sijui uongo wewe unauona wapi hapo.Cheti cha zero hakipatikani Ndio sababu hata CCM wakisema Mbowe Ana zero ya form six huwa hawa semi cheti wanacho. Ukiwa Miongo uwe na Kumbukumbu.
Wekeni hadharani hayo Matokeo halisi ya Makonda na ya kughushi!
Mtu Mwenye akili akisikiliza vizuri hiyo audio utasikia namna ya usanii wa Gwajima kwa mfano anajiepusha kwa kutumia Maneno Kama vile a Wana Yule au Kiumbe Yule au kujifanya kasahau Jina la Makonda then Waumini ndio wanataja kwa Sauti then yeye anaendelea kutoa Maelezo. Huu ni aina ya Uongo ambao unausambaza kwa Njia za Ujanja ujanja ili usiingie kwny Mikono ya Vyombo vya sheriay
Ivi kweli mkuu una amini gwajima akitaka hizo taarifa hapati?unajua waumini wake?raisi mwenyewe alishasali kanisani kwake na hata akienda kesho gwajima akimuambia simama utubu atasimama na kutubu, akiambiwa ondoka anaondokaWaliacha mwaka gan kuto kutoa hivyo.vyet??
Na.daudi alihitimu lini??
Makonda anaweza kuwa na.hali tere ila gwajima kama.ni kiki basi atadhaulika sana
Kwenye LC hawaonyeshi matoKVitu vingine ni minor
inawezekana ana leaving certificate, kwani LC siyo cheti, je ukiwa na LC huwezi kujua matokeo yake?
keohawa ni vijana wa facebook na twitter, hawajui hayo
Hata kama kafundishwa na mzee wako kama hakugundua Makonda kutumia jina feki basi huyo mzee nayeye lazima atakuwa na walakini.Acha uongo miaka gani hiyo walikuwa wanatoa vyeti acheni uongo wa kijinga,Paul kasoma Nyegezi chuo cha uvuvi alitumwa jina la Paul Makonda na mzee wangu kamfundisha mwambieni huyo Gwajima aache wendawazimu
Mwaka gani huo mtu akipata Zero anapewa Cheti,tajeni tu miakahawa ni vijana wa facebook na twitter, hawajui hayo
Umeamua kubisha ubishi usiokuwa na faida. Wewe unafikiri f4 kuna aina moja tu ya cheti cha matokeo.Kwenye LC hawaonyeshi matoK
keo
Yupi huyo mkuu?Mbona kuna Mkuu wa mkoa mwingine naye alipata zero
So?Cheti cha zero hakipatikani Ndio sababu hata CCM wakisema Mbowe Ana zero ya form six huwa hawa semi cheti wanacho. Ukiwa Miongo uwe na Kumbukumbu.
Wekeni hadharani hayo Matokeo halisi ya Makonda na ya kughushi!
Mtu Mwenye akili akisikiliza vizuri hiyo audio utasikia namna ya usanii wa Gwajima kwa mfano anajiepusha kwa kutumia Maneno Kama vile a Wana Yule au Kiumbe Yule au kujifanya kasahau Jina la Makonda then Waumini ndio wanataja kwa Sauti then yeye anaendelea kutoa Maelezo. Huu ni aina ya Uongo ambao unausambaza kwa Njia za Ujanja ujanja ili usiingie kwny Mikono ya Vyombo vya sheriay
Hapa mkuu naungana na wewe ngoja tuone mwosho wakeTokea lini div 0, akapewa certificate? Miaka hiyo anasoma Makonda mtu alipata div 0, kulikuwa hakuna cheti
Swali ni.je atapata wapi vyet ambavyo.havitolewagi??Ivi kweli mkuu una amini gwajima akitaka hizo taarifa hapati?unajua waumini wake?raisi mwenyewe alishasali kanisani kwake na hata akienda kesho gwajima akimuambia simama utubu atasimama na kutubu, akiambiwa ondoka anaondoka
Vuta subra utapata Data zote za Daud Albert ingawa yupo busy anatumia pesa nyingi kuficha ushahidi, watanzania wa sasa wapo makini wameshafunua hadi Uvunguni wapo wametulia wanasikilizia akijidai kukanusha ndipo wataanika A-Z .Mwaka gani huo mtu akipata Zero anapewa Cheti,tajeni tu miaka