Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Huo ndo ukweli tena Bashite aliingia Kwenye mfumo rasmi akiwa form three ... ndugu zangu ni wenyeji wa Misungwi wanajua in and out Gwajima kajipanga vizuri we subir utakuja kujua hata sababu ya kufagiliwa na Sitta utashangaa Muda ni msemaukweli sana

halafu akijipanga inakuwaje mkuu?

RC anaondolewa? au Rais atakuwa alikosea vetting, hivyo usalama wa taifa utakuwa lawamani!
 
Umeisikiliza hiyo audio clip vizuri lakini? Kakuambia kuwa Yeye alifeli darasa la 7 ndipo kuna Mwanamke mmoja wa Kihaya akampa Cheti cha Nduguye ambacho Jamaa alikitumia kusomea Pamba Kidato O level hadi hapo alipozungusha Keep left ( Zero ). Yawezekana hapo katika Vyeti vya Division Zero Mchungaji alipitiwa tu ila nahisi alitaka kusema labda ana result slip yake ambapo ninaamini huwa zinapatikana huko Barazani au Shuleni hivyo hajakosea sana.

Kosa kubwa la RC Makonda ni kuanzisha vita ya mawe wakati kumbe Yeye Sterling mwenyewe anaishi katika Nyumba ya Vioo kitu ambacho ni hatari sana. Wahusika wasipoteze muda katika kulijadili hili kwani ni ukweli usiopingika kuwa RC Makonda kafoji Cheti na pia ni Mtupu Kichwani kwani wapo hata waliosoma nae wameshatoa Shuhuda zao nyingi tu katika platforms mbalimbali tena wakiwa na uhakika. Tuacheni kutetea upuuzi huku tukiwaona kila anayemsema RC Makonda humu basi ni Muuza Unga au ni CHADEMA wakati ukweli ni kwamba kuna ambao tupo humu tumesharidhika na Ungumbaru ( Umasikini ) wetu hivyo hatuna cha kupoteza na tupo CCM huko huko alipo Yeye na wala pia hatumkosoi labda tunakitaka Cheo chake tukiamini kuwa duniani hakuna Cheo Kizuri kama kuwa Muadilifu, Mwenye Nidhamu na Mkweli kwa kila jambo kitu ambacho kimsingi humfurahisha mno Mwenyezi Mungu.

Katika hili tuacheni Unafiki RC Makonda hatoshei Kiuongozi hasa kutokana na Kashfa hii kubwa na tunashangaa kwanini hadi sasa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli bado tu hajamtumbua.
kaka nikurekebishe kidogo. sio kwamba alinunua cheti baada ya kutokuchaguliwa kutoka darasa la saba kwenda sekondari. ni kwamba ukifeli la saba bado sekondari za private zitakuchukua bila shida nadhani hilo liko wazi. daudi bashite aliendelea pamba sekondari kwa jina hilohilo la daudi bashite na ndio amemaliza kidato cha nne kwa jina hilo. pale dauidi bashite akapata divisheni sifuri. afenyeje ili aendelee na elimu sasa ndio akanunua cheti cheti cha kidato cha nne kutoka kwa bwana Paul Christian M. akabadilisha jina lmwisho la cheti kipya kuwa Makonda ndio akaingia chuo cha uvuvi kwa jina la Paul Christian Makonda. mwenye cheti halisi bwana paul christian yeye akaendelea na high school na cheti chake. na hii inaleta ushawishi fulani kwani cheti hicho cha paul christian kina matokeo ya divisheni one. katika hali ya kawaida ungetegemea mtu huyu aendelee na high school moja kwa moja ili hata kama uvuvi ni hobi yake aende kuchukua digrii ya acquaculture ambayo ni kubwa kuliko certificate na diploma. mwenye cheti halisi ndiye aliendelea na high school. aliyekinunua yeye akala denge chuo cha uvuvi yawezekana ni mashart walioyopeana. maana utaona kabisa daudi bashite hakua na hobi ya kusoma uvuvi na ndio maana baada ya bagamoyo akabadili upepo kabisa na chuo cha ushirika moshi
 
Yetu macho na masikio
Pesa zote alizopewa kwa ajili ya operation unga na pesa za GSM sasa Makonda zinamkondesha bara-bara amegundua njia pekee ya kumuokoa ni Ndumba pamoja na Dua za BAKWATA ingawa baadhi ya mashehe wa BAKWATA hawataki kumsikia makonda
 
sasa hapo ndo home boy ajifunze kwamba you have to think before leap? yeye mbona alimchafua hoome boy tena mchungaji na ishu ya hatari kama ya unga??
Wapo wa kusamehe lakini mpenda sifa kama Makonda hafai kusamehewa milele.
 
Unakubali kuongozwa na Zero basi naww ni zero kabisa

kabisa mkuu!! kama uliruhusu system ikuchagulie huyu wa ziro, tatizo sio huyu mmoja

wanasiasa wote asilimia 70 ni failures.....kubali kataa

huyu wetu ngau anakuja na amshaamsha nzuri yu

ikiwamo madawa

wenye degree na first class hatuoni wanafanya nini
 
Huo ndo ukweli tena Bashite aliingia Kwenye mfumo rasmi akiwa form three ... ndugu zangu ni wenyeji wa Misungwi wanajua in and out Gwajima kajipanga vizuri we subir utakuja kujua hata sababu ya kufagiliwa na Sitta utashangaa Muda ni msemaukweli sana
Kwa nini sitta alimfagilia dogo.?
 
Tusiwe na double standard katika kudeal na watumishi wa umma, sheria ni msumeno, kama Makonda anatumia vyeti si vyake basi mama Ndalichako avisaidie vyombo husika kuchukua hatua.
Identity theft is a serious crime!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mbona kuna Mkuu wa mkoa mwingine naye alipata zero
Unamaanisha Chri Ole,huyu yeye walau ana ka D na hajafoji kutumia jina LA mwingine.Daud Bashite future yake kwisha kazi.Nasikia alikuwa na ndoto za kwenda kumuondoa Kitwanga ili awamu ijayo alambe chaka la uwaziri!!
 
Inashangaza sana kuona kimya cha Ndalichako na Magufuli kwenye hili.

Tusiwe na double standard katika kudeal na watumishi wa umma, sheria ni msumeno, kama Makonda anatumia vyeti si vyake basi mama Ndalichako avisaidie vyombo husika kuchukua hatua.
Identity theft is a serious crime!!
 
Back
Top Bottom