Duh,Kudadadeki walah......C C M Juuuuu.Sasa sijui uchungaji atauacha? maana uchungaji ni kazi ya ki utume!
I am confused!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
Imetulia.....suala la private life huwa silielewi elewi.....mbona Mitume wanaonegelewa ije kuwa hawa watawala.....Huyu mama mafaili yake ya jinsi alivyopata zile pesa basi itabidi hii thread ihamishwe au itafungwa kwani tutambiwa kuwa tunaingilia PRIVATE LIFE yake ndio maana kama mna moyo basi tusubiri aapishwe kisha hapo ndio tutafungua Pandoras box
Duh,Kudadadeki walah......C C M Juuuuu.
Usanii juu ya usanii,sidhani kama ataachia sadaka za kanisani atakula kote kote...atakuwa mzee wa kanisa ikishindikana kabisa
Nakuunga mkono Mwa-wa-kike
Tena imesemwa kwamba msifungwe nira na wasioamini, tokeni mkajitenge nao. Mnakumbuka kifo cha Yohana Mbatizaji?? Ni kwa kuwa alisimamia kweli dhidi ya mtawala, ja mama huyu alishawahi kusema ukweli wowote au kuusimamia?? i mean sijamsikia akikemea rushwa wala ufisadi, sana sana anahubiri kuhusu maisha bora na namna ufahari bila kuangalia upande wa pili. Ahubiri kuhusu kuchuma mali kwa hila wala nini....
Ooops nisije nikadhibitiwa bureee.. acha nifunge bakuli langu maana nikisema sana nitaambiwa naingilia praiveti za watu.
Ila mjue kuwa watu wengine wanatumia dini kama kichaka cha hulka na matamanio yao. Ili uwe mtu wa Mungu ni lazma uikane nafsi yako na uuze vyote ulivyo navyo kisha umfuate mungu.
eeeh mbona sinyamazi tuu...?
Pia angalieni sana siku za mwishi watatokea manabii wengi wa uongo wakisema Kristo yupo huku na watatokea hata makristo wengi ila msiwaamini maana yaacheni magugu na ngano vikue pamoja na mwisho magugu yatang'olewa na kutupwa motoni katika lile ziwa liwakalo moto wa kiberiti usiozimika....
Nikiendelea kusema najiua....
Huyu mama mafaili yake ya jinsi alivyopata zile pesa basi itabidi hii thread ihamishwe au itafungwa kwani tutambiwa kuwa tunaingilia PRIVATE LIFE yake ndio maana kama mna moyo basi tusubiri aapishwe kisha hapo ndio tutafungua Pandoras box
Sina haja ya kusema mengi sana lakini naweza kusema kuwa si kweli alianzia kwenye BIMBWI bali huyu yeye aliwahi tuu na mamabo yake ya NGO in 1989-1990 ambako alikuwa kipewa mitumba na makanisa ya wainjilisti like CHICAGO, USA.
Na katika kipindi hicho hico aliachana na MUMEWE ambaye kwa kweli alikuwa ni mzinzi tuuu(hilo simtetei yule mzee) lakini huyu mama kitu kilichomuinua ni GENOCIDE IN RWANDA na hapa ndipo itabidi tuingie deep na uhusiano wake na MOSHI MAJUNGU,ZILE INTL SCHOOLS ZAKE,dereva wake etc
kuna mengi sana ya kusema hapa na kama sikosei MWANAKIJIJI anamjua sana huyu mama ila najua kuwa hii ES atakuwa hana data nayo
Tusubiri aapishwe kisha ndio tutaanza kumchambua huyu Mchungaji turned Mwanasiasa
GT,
You are right on point. Umegusia baadhi ya njia alizochukua huyu mama kufika alipofika. Actually hiyo issue ya mitumba kutoka Chicago, ilianzia mwaka ule yalipotokea yale mafuriko ya Tanga. Hao wainjilisti wa chicago walituma kontena la nguo kwa mama huyo kwa ajili ya kutoa msaada kwa walioathirika na hayo mafuriko. Guess yule mama alifanya nini na kontena hilo.....
Kama Angekuwa Anaacha Uchungaji, Basi Angeshafanya Hivyo Zamani Wakati Anagombea Kiti Hicho Kupitia Viti Maalum, Ambapo Sasa Kakilamba Bwererere..cheche..
Dini Ni Deal, Mishule Na Miradi Mingi Ya Huyu Mama Inatisha Kuamini Kuwa Ni Muumini Wa Mungu, Na Kama Ni Hivyo Kwenye Siasa Anatafuta Nini????? Watanzania Tunaatiwa Pilipili Mdomoni Na Tunalazimishwa Kuila Wakati Tuna Uhuru Wa Kukataa Kuila Kwani Tunajua Wazi Kwamba Ni Chungu.
Nakumbuka mwaka 1992 gazeti la BUSINESS TIMES (enzi hizo lilikuwa refu kama mzalendo) lilitoa mlolongo wa tuhuma dhidi ya huyo mama na ile kesi yake na Mumewe.
Unajua pamoja na fitna zote hizo huyu mama mimi kwangu ni true definition of a HUSTLER...na kama nilivyosema hapo awali ile vita ya RWANDA ilimsaidia kwa kiasi kikubwa kwani aliwatumia vilivyo wale wakimbizi aliowajaza kwa MOSHI MAJUNGU... na wazungu wa CHICAGO lile liliwagusa mno na ukizingatia wengi wa wale wakimbizi walikuwa ni wakatoliki lakini huyu mama yeye hakujali na along the way wale ma evangelists toka CHICAGO waliona why not give her more money...na of course na yeye hapo akajipanga vizuri na zile TAX EXEMPTIONS alizokuwa akipata achilia mbali ukaribu wake na LUHIGO pale bandari ya Dar ambako of course alipewa misamaha ya kila namna
LEO ameingia kwenye Properties,dini, shule ya ST MARYS zinafanya vizuri tuu.
Sasa sijui nani kamwambia aingie kwenye siasa na namwonea huruma jinsi atakavyo vurumishiwa matusi na kashfa za kila namna...na kwa bahati mbaya huyu mama fitna anazozijua yeye ni za kuwapata hao wazungu lakini fitna za majukwaa kujibizana na akina CUF na CHADEMA sijui kama ataziweza
The bottom line siasa ni mchezo mchafu na rafu kwenye siasa ni norm sasa sijui kama atalast huyu na sijui kawapa CCM kiasi gani lakini hayo yote yatasemwa na wale aliogombona nao siju za nyuma ambao watataka kutumia nafasi yake ya kisiasa kulipiza
Kitu kingine ni wale watoto wake ambao wawili wana criminal recods sasa sijui atawaambia nini watu kuhusu maadili wakati yeye na dini yake kashindwa kuwafundisha maadili wanae. Lakini the bottom line kama pesa anazo na NGO zake zinawanufaisha WATANZANIA hiyo kwangu ni big PLUS sema asianze matusi tuu
Mshindwe Kwajina La Yesu Jamani Biblia Inasema Pamoja Na Kuwaita Mafisisadi Bado Tuheshimu Mmamlaka Ya Nchi,,sasa Kama Mungu Amemteua Mama Rwakatare Kwa Ajili Yenu Basi Naomba Tumheshimu Kama Biblia Isemavyo Ndio Hivyo Ashashika Mamlaka Tena
Ha ha ha umenikumbusha ghorofa la kwa majungu. Pale ndipo palikuwa kijiwe changu pale.
Anyway, unajua huyu mama alisota ile mbaya kabla hajafika alipofika. Aliteswa sana na mume wake mpaka akaamua kufungasha virago na kuhamia pale flat za Ilala. Pale Ilala alikuwa anaishi kwenye 1 bedroom apartment na watoto wake 4, ambao 3 kati yao ni wanaume. Alijuana na hao wainjilisti wa Chicago baada ya kwenda kusomea mambo ya uchungaji (sina uhakika) huko.
Sikumbuki kuandikwa na kwenye Business Times, lakini nakumbuka alishawahi kuandikwa kwenye Family Mirror na mhariri mmoja wa kizungu (Mama Tarimo)ambaye alikuwa anaishi jirani yake kule Mikocheni. Na issue iliyoandikwa kwenye hilo gazeti ilikuwa ni ile ya kontena la mitumba aliloliingiza nchini kwa ajili ya walio athirika na mafuriko ya Tanga.
Kuhusu wakimbizi wa Rwanda, ni kweli wale ndio waliompa breakthru. Alifanikiwa kuwashawishi baadhi ya Wanyarwanda wale kusali katika kanisa lake wakati huo lilikuwa linaendeshwa katika madarasa ya shule ya Ushindi, Mikocheni. Hapo ndipo wazungu wake waakanza kumwaga misaada. Wale wazungu walikuwa wanatuma kuanzia pesa, nguo, mpaka madawa. Speaking of madawa, guess yule mama alifanya nini na kontena za madawa?....Hint: Alifungua pharmacy yake pale kinondoni. You can guess the rest....
Wakati huo wa makontena ya madawa, kulikuwa na tetesi kwamba alikuwa anashirikiana na drug dealers wa kibongo kupenyesha madawa ya kulevya. Kuna dealer mmoja, ambaye alikuwa ni raia wa nchi mmoja West Africa (siikumbuki) alikuwa anaishi pale pale mikocheni. Na ilikuwa inasememkana kwamba yule dealer alikuwa anapenyeza mizigo yake ndani ya zile kontena. Na kwa sababu zile kontena zilikuwa zinaingizwa kupitia umbrela ya udini na kwa misaada ya wakimbizi, basi yalikuwa hayakaguliwi. Na kumbuka kipindi hicho tulikuwa na Bw. Rukhusa as our Head of State, plus MD wa bandarini alikuwa utahadhi Mzee Athumani Janguo. Hebu niambie mzigo gani ambao umgekumbwa na bughudha za kukaguliwa kama mwenye mzigo hataki uguswe?
Ile St. Mary alifungua na Filbert Bayi. Lakini down in the road, waligongana, basi yule mama akaamua kununua share zote za F. Bayi. Hapo ndipo F. Bayi akaenda kufungua shule yake. All in all, ni kweli kwamba ile shule inafanya vizuri as english medium school. But that's about it. Bado ina struggle ku fit in na curriculum ya standard education ya Tanzania. Watoto wengi wanaomaliza pale huwa hawana elimu ya kutosha (according to Tz curriculum) ku-tackle National Examination. Of course, hii issue inahusu shule zote zinazo claim International school titles. And this is a whole another topic.
I'm not gonna get into details about watoto wake na uchungaji wake. kifupi ni kwamba, kama kuna kitu ame fail basi ni ulezi. Kati ya watoto 4, 1 tu ndio afadhali. Na hiyo afadhali yake ni kasheshe.
Anwyay, kama ulivyosema GT, huyu mama ni true hustler. Siku zote huwa ninasema, kati ya mama wajanja Tz, huyu mama ni #1...yuko chini sana #2 au 3. Ni mmoja wa wabongo walichuma juani na kula kuvulini kisawasawa. Kwa bahati mbaya michezo michafu mingi imekuwa involved in the process. But that's what Tanzania ilivyokuwa na ilivyo hivi sasa, who can blame her?? Hopefully, tunakokwenda ni kuzuri.
WATU WA MIKOCHENI B UTAWAJUA TUUU
EBWANA INAWEZEKANA IKAWA TUNAJUANA
hivi unamkumbuka MUDI PANKI, JF NA KELENGE? EBWANA UNAJUA KAMA DARUSI KAWA GAY? HALAFU UNAMKUMBUKA YULE LINA HALF KASTI WA KINGUNGU NA KICHAGA WALIKUWA WANAISHI PALE PEMBENI YA LILE TITANIC AU JUMBA LA MOSHI MAJUNGU?
Ebwana wee kweli quick mover....talk about MWANAKHAMISI nilisikia MUDI PANKI aliamua kuchukua jumla jumla wakati JULIE MZUNGU kaka yake LINA mzungu pale jirani na kwa majungu ndio hivyo tena...hivi bado wanaendelea kufuga nguruwe pale? Omari sico nasikia yuko unyamwezini wakati pale kwa akina MTWATA nasikia kumekuwa baaa....chili makubeli naye nasikia yuko London na mfaume kimario nasikia naye yuko Unyamwezini...unajua lile gorofa la kwa majungu lilikuwa linaitwa TITANIC kama lile gorofa la Mtikila kule karibu na shule ya Ushindi
Hilo la darusi kuwa GHAY au GAY bado nashindwa kuswallow maana maishani kwangu sijawahi kuona kijana wa kichagga ambaye kawa shoga na kwa kweli hata sijui lawama apewe nani...haya vipi akina CLAIRE na SHUBIRA wale watoto wa pilot jirani na kwa akina Darusi wapo? Unamkumbuka HAMIDU MACHUPA mdogo wake OSCAR? ebwana jamaa nilikutana naye Brazil japo watu Bongo wanajua yuko South Africa...na sikuhizi anaitwa DLAMINI! je unamkumbuka Abdallah Mwenda?
Back to topic:
Mbona hujaleta za akina Humphrey na Tibe? vipi ulionana na
Rose? mwanzo nilisema kuwa alikuwa anafanana na Faith Evans nilikosea...actually Rose alikuwa anafanana na Tisha Campbell wa kwenye ile comedy ya Martin
GT,
. Mada ni mama Rwakatare na kuteuliwa kwake kuwa mbunge. Itakuwa hatuwatendei haki wanawe kwa kuwazungumzia kwenye hii mada. Nafikiri umenielewa. Ila kama una insist, basi tuwasiliane kwenye PM.
Ni watu wachache wanaoweza ku-appreciate jitihada na mafanikio ya Mch. Dkt. Lwakatare. Mimi nikiwa kama mtanzania ninampongeza sana Mch. Dkt Lwakatare kwa kuteuliwa kuwa mbunge wa viti maalum. Mwenyezi Mungu azidi kumbariki na kumwongezea moyo wa upendo.
Wapo wengi waliokuwa na pesa zao wakaamua kufanya biashara mbalimbali, lakini Mch. aliamua awekeze katika elimu, tena elimu ya watoto ambayo ndiyo urithi mkubwa kuliko urithi mwingine wowote.
Kwa jitihada zake, ana hudumia watoto yatima wapatao 2000 (naweza kusahihishwa) kuanzia malazi, mavazi, chakula na elimu. Wapo wengi wenye nafasi zao lakini hawajaweza hata kupita mahali kuwaombea msaada japo mtoto yatima mmoja.
Kwa vile hapa JF tunadhani kuongea ni rahisi, lakini tunasahau kwamba mwenye maneno mengi si mtendaji.
Kabla hujamsakama Mchungaji, jiulize, je wewe nafasi yako ni ipi katika jamii na umeifanyia nini jamii hiyo.
Kwa mara nyingine, nakutakia kila la heri Mchungaji Dkt Lwakatare.