Mchina aliyepata "A" tisa NECTA

Mchina aliyepata "A" tisa NECTA

Nawaza tuu, mchina anapata B ya kiswahili anasikitika lakini sisi PhD holder anashindwa kuzungumza kiingereza fasaha alichokitumia kusomea kwa miaka kadhaa mpaka kuhitimu na tunaona kawaida tuu
Hili Dongo limetupwa gizani...
 
Kwa wale ambao labda hawafahamu Bell Curve ni nini, hii ilipendekezwa na Wanasayansi wa Kimarekani waliokuwa wanafanya utafiti wa IQ (uwezo wa kufikiri na kutatua matatizo) kwa watu wa asili tofauti tofauti hasa nchini Marekani ambapo kuna watu wa jamii ya kila aina yaani Wazungu (Ulaya), Weusi(Afrika Kusini mwa Sahara), Waasia (Wachina, Korea, Japan &Co.) , lengo lao lilikuwa ni kutaka kujaribu kuelezea hali ya maisha ya jamii mbalimbali yaani kwa nini jamii fulani ni masikini klk jamii nyingine!

Hawa watafiti walikuja na hitimisho kwamba Wamarekani wenye asili ya kwetu Afrika wana IQ ndogo kulinganisha na Wamarekani wenye asili ya Asia na Ulaya na hii inaelezea kwa nini Wamrekani weusi wako kwenye ngazi ya chini ya Kimaendeleo ukilinganisha na jamii nyingine!
Walienda mbali zaidi na kufanya test IQ Dunia nzima na sisi huku kwetu tulikuwa wa chini kabisa wa kwanza wakiwa watu wa Asia (Japani, Uchina, Korea &Co.) wakifuaitwa na Wazungu wa Ulaya!

Hawa jamaa walipingwa sana kwamba ni wabaguzi, Je hili la Mchina kuwa wa Pili kwenye mtihani wa kidato cha nne TanZania nzima inasema nini?
Amepata B ya Kiswahili, lugha ambayo siyo yake na wala sia ajabu haiongei nyumbani amewapita watoto wengi sana wa Kiswahili,
najua kwamba data hazitoshi kuweza kuhitimisha chochote lkn labda kuna ukweli ndani yake kwamba watu wa Asia wana IQ kubwa klk wote Duniani kwa maana sijawahi kusikia Mwafrika diaspora akiongoza kwa kwenye mitihani huko aliko kama yuko naomba nisahihishwe!

Nikiangali kwa mfano kwa hali ya kawaida Raisi aliyeonyesha uzalendo kama Magufuli alipaswa kuungwa mkono sana lkn bado kuna watu wanaponda kilam jitihada anazofanya badal ya kuungana naye na kumsaidia kutatua mataizo, Je hii haipo kwenye IQ? Yaani uwezo wetu wa kufikiri na kujua ni mihimu na nini siyo muhimu!

Nitatoa mfano Raisi amepiga marufuku uagizwaji wa sukari nje mpaka pale yeye atakapotoa Kibali kwa kujidhihirisha kwamba kweli kuna sababu ya kufanya hivyo kuna watu wamejaza seva ya JF wanampinga Raisi kwamba amekosea, wkt Raisi ameseam lengo ni kukuza viwanda vya ndani ili viweze kuongeza Uzalishaji na kuanjiri Watz wengi zaidi, lkn watu wanapinga, sasa kama siyo tatizo IQ ndogo nini?

Toa jina kamili,mwaka uliohitimu masomo mf form 4,6 or chuo then tukwambie ni nama gan kwako pia hyo bell curve ilikuwa...kumbuka kuna weng wana ndgu,watoto na hata wazaz wamefanya hyo paper so umetukana raia kwa kias flan.....toa ahzo details tuone km kwako bell curve was escaped😀
 
sasa jaman kilasiku mlikuwa mnatusakama wasukuma mmeona sasa TO ni msukuma anaitwa BUTOGWA CHARLES SHIJA wachaga mpooooo
 
Attachments

  • 1455871888682.jpg
    1455871888682.jpg
    73.8 KB · Views: 50
Toa jina kamili,mwaka uliohitimu masomo mf form 4,6 or chuo then tukwambie ni nama gan kwako pia hyo bell curve ilikuwa...kumbuka kuna weng wana ndgu,watoto na hata wazaz wamefanya hyo paper so umetukana raia kwa kias flan.....toa ahzo details tuone km kwako bell curve was escaped😀

Ni wapi nilipomtukana mtu?
 
Acheni ubaguz yule ni mtanzania mwenye asil ya china.......mbna obama hamumuit mwafrika
 
Kwa wale ambao labda hawafahamu Bell Curve ni nini, hii ilipendekezwa na Wanasayansi wa Kimarekani waliokuwa wanafanya utafiti wa IQ (uwezo wa kufikiri na kutatua matatizo) kwa watu wa asili tofauti tofauti hasa nchini Marekani ambapo kuna watu wa jamii ya kila aina yaani Wazungu (Ulaya), Weusi(Afrika Kusini mwa Sahara), Waasia (Wachina, Korea, Japan &Co.) , lengo lao lilikuwa ni kutaka kujaribu kuelezea hali ya maisha ya jamii mbalimbali yaani kwa nini jamii fulani ni masikini klk jamii nyingine!

Hawa watafiti walikuja na hitimisho kwamba Wamarekani wenye asili ya kwetu Afrika wana IQ ndogo kulinganisha na Wamarekani wenye asili ya Asia na Ulaya na hii inaelezea kwa nini Wamrekani weusi wako kwenye ngazi ya chini ya Kimaendeleo ukilinganisha na jamii nyingine!
Walienda mbali zaidi na kufanya test IQ Dunia nzima na sisi huku kwetu tulikuwa wa chini kabisa wa kwanza wakiwa watu wa Asia (Japani, Uchina, Korea &Co.) wakifuaitwa na Wazungu wa Ulaya!

Hawa jamaa walipingwa sana kwamba ni wabaguzi, Je hili la Mchina kuwa wa Pili kwenye mtihani wa kidato cha nne TanZania nzima inasema nini?
Amepata B ya Kiswahili, lugha ambayo siyo yake na wala sia ajabu haiongei nyumbani amewapita watoto wengi sana wa Kiswahili,
najua kwamba data hazitoshi kuweza kuhitimisha chochote lkn labda kuna ukweli ndani yake kwamba watu wa Asia wana IQ kubwa klk wote Duniani kwa maana sijawahi kusikia Mwafrika diaspora akiongoza kwa kwenye mitihani huko aliko kama yuko naomba nisahihishwe!

Nikiangali kwa mfano kwa hali ya kawaida Raisi aliyeonyesha uzalendo kama Magufuli alipaswa kuungwa mkono sana lkn bado kuna watu wanaponda kilam jitihada anazofanya badal ya kuungana naye na kumsaidia kutatua mataizo, Je hii haipo kwenye IQ? Yaani uwezo wetu wa kufikiri na kujua ni mihimu na nini siyo muhimu!

Nitatoa mfano Raisi amepiga marufuku uagizwaji wa sukari nje mpaka pale yeye atakapotoa Kibali kwa kujidhihirisha kwamba kweli kuna sababu ya kufanya hivyo kuna watu wamejaza seva ya JF wanampinga Raisi kwamba amekosea, wkt Raisi ameseam lengo ni kukuza viwanda vya ndani ili viweze kuongeza Uzalishaji na kuanjiri Watz wengi zaidi, lkn watu wanapinga, sasa kama siyo tatizo IQ ndogo nini?
Kwa kiasi fulani naungana nawe mtoa hoja hasa kwenye suala la hizo tafiti na mengineyo mengi ila nina mambo mawili nataka kuyaweka sawa:

a) kuna uhuru wa kuwa na mawazo tofauti na hii ni haki kwa kila binadamu ilimradi havunji sheria. hata hayo mataifa makubwa viongozi na raia wake hawakubaliani kwa kila jambo, tofauti ya mawazo na fikra ndio vinatufanya tuwe na maendeleo. Kwa mfano si wamarekani wote waliofurahishwa na uamuzi wa serekali yao kupeleka majeshi vitani Iraq au Afghanistan.

b) Ufaulu wa somo la kiswahili hauwezi kuwa kipimo cha IQ ya mtu haza ukiiegemeza hoja yako kuwa kwa mchina ni lugha ya kigeni. Kiswahili kinachofundishwa shuleni na kutahini wanafunzi si sawa na kiswahili tuzungumzacho. Mtihani unatungwa kwa kuzingatia mitaala husika ambayo inalenga kumfanya mwanafunzi kuwa mahiri wa lugha hiyo hivyo nategemea hata mtanzania akienda kusoma Ulaya Kufaulu somo la Kiingereza kwa alama A au B si kitu cha kustaajabisha.

Mwisho natambua matokeo mazuri ya huyu mtanzania mwenzetu wa asili ya uchina na nampongeza kwa dhati ya moyo wangu ila masuala ya taaluma si mambo ya ushabiki, tuwapongeze basi na hawa vijana wetu waliofanya vizuri zaidi. Kipimo sahihi cha uwezo wetu kitakuwa sawa pale ambapo wanafunzi wote wa tanzania watasoma na kufundishwa katika mazingira yaliyo na uwiano sawa kitaaluma.
 
Wengine hawapendi kutangaza mambo yao yanaishia huko walipo. Lakini wapo naweza thibitisha.

Hili siyo swala la kujitangaza kwani huyu Mchina kajitangaza? Hili likitokea hutangazwa tu ndugu, hivyo kama yupo na unamjua ina maana alishatangazwa huko aliko hivyo unaweza tu kumtaja hapa!
 
Sijaelewa hapo kiini cha thread yako ni ipi! Ni IQ au Sukari au Mchina kuongoza kiswahili!? Au ni tangazo la Magufuli kustopisha sukari kutoka nje!?
Una IQ ndogo ndio maana hujaelewa..... Teh, teh, teh,
 
kaongoza msukumaa bwanaa BUTOGWA CHARLES SHIJA unaweza ukawa na A nyingi zikawa ni za 82 afu mwenzako akawa na A chache za 98 akakukalisha ..katika u T.O vigezo huwa ni wastani na si wingi wa A
 
Mkuu Barbarosa,kumpinga mtu au kupinga kitu au kuwa na mawazo tofauti kumbe ni IQ ndogo?
Pole sana kijana,siasa inakuharibu kijana.
 
Hii kali lakini yote ni mihemko tu ya kisiasa-kuna siku utapigwa picha unafuta viatu vya wakubwa kama DC wa kinondoni shauri yako,mada yako uliyoileta umeonyesha ni jinsi gani huna uwezo wa kufikiri na kuchambua mambo,IQ na sukari!!!!!!!puu!
 
Kwa kiasi fulani naungana nawe mtoa hoja hasa kwenye suala la hizo tafiti na mengineyo mengi ila nina mambo mawili nataka kuyaweka sawa:

a) kuna uhuru wa kuwa na mawazo tofauti na hii ni haki kwa kila binadamu ilimradi havunji sheria. hata hayo mataifa makubwa viongozi na raia wake hawakubaliani kwa kila jambo, tofauti ya mawazo na fikra ndio vinatufanya tuwe na maendeleo. Kwa mfano si wamarekani wote waliofurahishwa na uamuzi wa serekali yao kupeleka majeshi vitani Iraq au Afghanistan.

b) Ufaulu wa somo la kiswahili hauwezi kuwa kipimo cha IQ ya mtu haza ukiiegemeza hoja yako kuwa kwa mchina ni lugha ya kigeni. Kiswahili kinachofundishwa shuleni na kutahini wanafunzi si sawa na kiswahili tuzungumzacho. Mtihani unatungwa kwa kuzingatia mitaala husika ambayo inalenga kumfanya mwanafunzi kuwa mahiri wa lugha hiyo hivyo nategemea hata mtanzania akienda kusoma Ulaya Kufaulu somo la Kiingereza kwa alama A au B si kitu cha kustaajabisha.

Mwisho natambua matokeo mazuri ya huyu mtanzania mwenzetu wa asili ya uchina na nampongeza kwa dhati ya moyo wangu ila masuala ya taaluma si mambo ya ushabiki, tuwapongeze basi na hawa vijana wetu waliofanya vizuri zaidi. Kipimo sahihi cha uwezo wetu kitakuwa sawa pale ambapo wanafunzi wote wa tanzania watasoma na kufundishwa katika mazingira yaliyo na uwiano sawa kitaaluma.

Ndugu angalia kwanza CV ya huyo mtoto amekuja TZ akiwa na miaka 9 hajui Kiingereza wala Kiswahili, kumbuka hao watoto wa academy wanasoma Kiingeraza tangu cheke chea hivyo ina maana huyu binti ametumia miaka michache tu kuziba hilo pengo na bado ameongoza TZ nzima!

Kama niliyosema sijahitimisha chochote ila nimeuliza maswali kwa maana hili swala linajadiliwa Dunia nzima kwamba watu wa Waasia yaani Wachina, Wajapani, Wakorea, wana IQ kubwa klk binadamu wote hapa Duniani hata Marekani takwimu zinaonyesha kwamba Wamarekani wenye asili ya Asia (Ujapani, Uchina na Korea) ndiyo wanaongoza kwa ufaulu wakifwatiwa na Wazungu na sisi ni wa mwisho, asilimia 60 (60%) ya Wanafunzi walioko graduate schools Marekani kwenye Ivy league kama Princeton, Harvard, Yale, & Co. Uni ni asili ya Asia, wamewashinda Wazungu ambao ndiyo wengi kwa kiasi kikubwa tu!
 
jaman majina kumbe kweli yanamata,namkumbuka mwalimu wangu mkuu bwana Alfred Marya aliwahi kusema wale wenye majina kama Tabu,Chozi,shida,mkiwa,msiba na mengine ya dizaini hiyo wabadili majina yao mana ni sababu ya kupata misukosuko maishani.
 
Kwa hiyo kuwa jumbe ndio ndio kuwa na IQ kubwa?mbona kama umeongea kinyume?kutohoji ndio IQ ndogo
 
Back
Top Bottom