Mchina aliyepata "A" tisa NECTA

Mchina aliyepata "A" tisa NECTA

Nisome vizuri labda utanielewa, najinukuu ukusadia ,,najua kwamba data hazitoshi kuweza kuhitimisha chochote lkn labda kuna ukweli ndani yake kwamba watu wa Asia wana IQ kubwa klk wote Duniani kwa maana sijawahi kusikia Mwafrika diaspora akiongoza kwa kwenye mitihani huko aliko kama yuko naomba nisahihishwe!
Naomba nikusahihishe nina mifano ya waafrika wengi waliongoza ktk nchi za watu tena ngazi ya vyuo vikuu na watanzania wakiwa wamojawapo tena lugha za ufundishaji ni lugha za kizawa kwenye nchi hizo ikiwemo nchi za bara la asia na wapo hata wa shule za awali ,kati, na juu kwa marekani.
 
Sukari ni mfano tu, unaelewa maana ya neno MFANO kwenye aya?
Huo mfano uliotumia hauwezi kuwa mfano mzuri kwenye issue iliyokuwa unaiongelea, siyo kila mfano anafaa kuwekwa mahali popote pale, ukifanya hivyo watu hawatakuwa na namna nyingine isipokuwa kudoubt IQ yako
 
NAMWAMINI SHIJA SANA TU YUKI FITA.NILIKUWA NAANGALIA ULINGANIFU WA MATOKEOYAO NAAMINI KAMA WATAHAKIKII

HUYU MCHINA ALITUONGOZA KATIBA TU AIRUHUSU MTU WA NJE KUONGOZA ...M

NAWAPONGEZA SANA WOTEBWALIOFALU
 
Ukijaribu kuangalia mleta uzi na wewe mmeungana katika hoja, sina shida na hilo ila sijui mnachoshangaa ni nini wakati mnasema waafrika weusi wana IQ ndogo ikiwepo na Magufuli. Sasa kama hilo ni kweli huoni hata huyo Magufuli akipingwa ni sawa kwani ni wazo la mtu mwenye IQ ndogo kutokana na rangi yake? Jamani mnajaribu kumsifia Magufuli mpaka mmefikia mahali mnaweka kashfa ili hoja zenu zikubalike za kumsifia Magufuli? Huwa mnashangaza sana, mnalazimisha kusifia tu, lakini akiambiwa ukweli kwamba ni kipi kikubwa alichofanya ambacho mwananchi anaweza kusema wangalau sasa anaona tofauti kwenye maisha yake, mnaishia kusema bado ni mapema!! Sasa kama ni mapema sana kwanini mumsifie kupita kiasi wakati bado ni mapema?
Sio ngozi nyeusi wote wenye IQ ndogo.
Alafu nyie mkiponda na kukosoa hata mazuri anayofanya, sisi tukisifia mazuri anayofanya na hata kusifia pia jitihada zake kuna tatizo? Mnataka tupande boti lenu? Nyie endeleeni kuponda na kukosoa, sisi tutakuwa positive kwa kuangalia ma kisifia mazuri na kumpa moyo rais kwa kuhudi anazofanya!

MSISAHAU WAJIBU WENU, kuwa wapinzani! Kosoeni ili ajue anapokosea, ila sio kukosoa hata mazuri au yenue nia nzuri.
 
Prof. Joseph Msambichaka ambaye ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Mbeya alimaliza akiwa best student among all civil engineering University graduates kwa zaidi ya 60 engineering colleges in India. Na jina lake lipo mpaka leo kwenye mbao za chuo kwa heshima yake na Taifa la Tanzania.

[QUOTE=" maana sijawahi kusikia Mwafrika diaspora akiongoza kwa kwenye mitihani huko aliko kama yuko naomba nisahihishwe!

Nikiangali kwa mfano kwa hali ya kawaida Raisi aliyeonyesha uzalendo kama Magufuli alipaswa kuungwa mkono sana lkn bado kuna watu wanaponda kilam jitihada anazofanya badal ya kuungana naye na kumsaidia kutatua mataizo, Je hii haipo kwenye IQ? Yaani uwezo wetu wa kufikiri na kujua ni mihimu na nini siyo muhimu!

[/QUOTE]
 
Huo mfano uliotumia hauwezi kuwa mfano mzuri kwenye issue iliyokuwa unaiongelea, siyo kila mfano anafaa kuwekwa mahali popote pale, ukifanya hivyo watu hawatakuwa na namna nyingine isipokuwa kudoubt IQ yako
huyo jamaaaaa chenga tu,
 
Kweli angalia IQ za ccm,museveni,kurunzinza utajua wanasema kweli au la
Ila nafikiri wafanyaji tafiti wa hizi IQ, wazungu, walifanya hitimisho WITH NO REASONABLE DOUBT kuwa IQ za waafrika weusi wengi ni za chini sana baada ya gia ya angani kubadilishwa.
Hapa walilidhika kabisa kuwa wako sahihi.
 
Kweli mimi yupo mdogo wa rafiki yangu ameongoza sheria huko Marekani
Naomba nikusahihishe nina mifano ya waafrika wengi waliongoza ktk nchi za watu tena ngazi ya vyuo vikuu na watanzania wakiwa wamojawapo tena lugha za ufundishaji ni lugha za kizawa kwenye nchi hizo ikiwemo nchi za bara la asia na wapo hata wa shule za awali ,kati, na juu kwa marekani.
 
Inasikitisha mleta maada akiwa anajiita Mtanzania, muafrika mzalendo anakuja na hoja kama hizi. Matatizo makubwa ya baadhi ya waafrika mfano wa huyu mleta mada ni mawili, mosi, kudharau uafrika wake na kutukuza wengine("white supremacy" and black inferiority) na pili ni kuamini mtawala hakosei ( divine rule).
Ripoti ya utafiti wa elimu nchini Uingereza inaonyesha kuwa wanafunzi wengi hufeli masomo ya Kiingereza na hisabati zaidi kuliko masomo mengine.
 
Kwa mada hii ya mchina ulemuongelea humu ndani nadhani ilistahili kumuongelea na yule mnigeria aliyepata GPA ya tano Russia yaan aliwabwaga warusi na wengineo wote waliokuwa wanasoma katika chuo hicho.
 
Theory yako italeta maana zaidi kama ukiweza kuthibitisha kuwa huyu mchina amehamia hapa (miaka michache iliyopita) akiwa hajui kiswahili...Ila kama huyu "mchina" amezaliwa hapa mjini na amelelewa hapa mjini, tofauti yake na watanzania wengine itakuwa ni rangi tu...
Mchina amehamia wakati hajui hata kuongea kiingereza akajifunza kingereza then badae kiswahili . huyu anaexceptional iq
 
Bad news is always good news Mkuu
Media na waandishi wa habari naona gumzo limekua mchina kushika nafasi ya pili na kupata B ya kiswahili, mbona mshindi wa kwanza hawamzungumzii au kwa kua yeye si mchina!?

Ulimbukeni huu jaman,mchina anapewa airtime sana kuliko mtanzania
 
Back
Top Bottom