Kama Kweli Apumzike Kwa AmaniNikweli kabisa mwamba kauga mwendo.
Ulitaka afe akiwa na miaka mingapi?Apumzike kwa aman
Bado mdogo sana huyu
MUNGU MWENYEZI ampokee kwake mbinguni
Kila mtu atakufa ila kifo hakijawahi zoeleka kamanda.Kwamba hatakiwi kufa au?
ChrissKwamba hatakiwi kufa au?
The way Mtu anavyoandika mada/comment ni kama vile ni kitu cha ajabu mtu fulani kufa.Kila mtu atakufa ila kifo hakijawahi zoeleka kamanda.
Dah ww kijanaThe way Mtu anavyoandika mada/comment ni kama vile ni kitu cha ajabu mtu fulani kufa.
Bora kuzalisha kama kuku ila wanwake ukiendekeza una kufa mapema una waacha watu wana ifaidi duniaChanzo ni presha ya ghafla,
Jamanii Ndoa hizi, woiiiiiiiiih!!
RIP MC pilipili. π’π’ππView attachment 3502848
Miaka ya kibiblia ni 70Ulitaka afe akiwa na miaka mingapi?
Shida sio wanawake, shida ni Ndoa.Bora kuzalisha kama kuku ila wanwake ukiendekeza una kufa mapema una waacha watu wana ifaidi dunia