kATIKA mada yenye kichwa kinachosomeka "MIVUTANO YA BAADHI YA WANASIASA HADHARANI NI KWA MASLAHI YA NANI" inayoendelea STAR TV, katika studio ya TV hiyo katika kituo cha DAR ES SALAAM wageni waalikwa walikuwa ni TUNDU LISSU, HABIB MCHANGE, JOHN MNYIKA NA JOHN HECHE. katika hali isiyo yab Kawaida LISSU, MNYIKA NA heche wote wamekacha na yupo HABIB MCHANGE peke yake na hata walipopigiwa simu hawakutaka kuongea na mwandishi wa habari, JOHN HECHE aliomba atumiwe ujumbe, na alipotumiwa hakujibu chochote.
Hii maana yake nini? wamemuogopa MCHANGE na kwa maana hiyo tuhuma dihidi ya Mchange ni za kughushi?