Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

Mchange na Mnyika live on Startv asubuhi, Agosti 16, 2014

Ameamua kuwageuka maboss wake damu ya MTU sio mchezo kabisa

Tahadhari kwako Tony Gwanco, bado kidogo utasema ulishiriki, maana unasema mtapeleka ushahidi tena unaoneka kwa

mujibu wa posti zako kufahamu mambo flani ya Tarime na unasiri nzito.

Polisi wa upepelezi kama mpo humu jukwaani jamani hivi ndiyo vyanzo vya taarifa tafuteni huyu jamaa asaidie haki za

marehem na wafiwa kupatikana. Proxy na hata code za kuidentify mobile au compyuta za huyu kiumbe tafuten.

quote_icon.png
By Tony Gwanco

Ushahidi tutaweka mahakamani we unadhani mchange ni mjinga aseme kitu kizito kama hiking bila ushahidi.he is not fool like what you think

He has data
 
mwenzio kashapiga day-waka yake na wewe unamwambia aende mahakamani, akaumbuke!!
 
Ile CD ya mbowe ya olasiti iko wapi

Kama mnajua mchange karopoka nendeni amshtaki kwa udhalilishaji aje awaumbue

Huoni wenzako wanapitia mbali Huu Uzi hawatii mguu

Tulifika tarime tunasiri nzito kilichotokea

Unajua Hii ishu sio ya kitoto kama unavyosema

R.I.p chacha wangwe kila damu yako haitapotea bure

Huyu kumbe nimmoja wa wanoashiriki uhalifu ndo maana amekomaa akipindisha ukweli.
 
Nakushauri bwana Mchange uende mahakamani,uliyo yaongea yalifaa sana usaidie polisi wakati ule dola ilipokuwa inahangaika kupata ushahidi wa mauaji.Kukaa kimya wakati wote ule wakati unazo data ni ujinga na uaji mkubwa na zaidi umekosa uzalendo kwa nchi hii.Na kama unatumika ujue huyo aliyekutuma ndie atakumaliza kwani kibano kitakufanya upotezwe maana wanajua wewe si mwaminifu.Ni hayo tu bwana mdogo.

Wauaji wengine ni wale wenye ushahidi wa mabomu Arusha walioamua kwa maksudi kabisa kukaa nao ushahidi nyumbani kwao waangalie wao na wake zao.
 
Nakushauri bwana Mchange uende mahakamani,uliyo yaongea yalifaa sana usaidie polisi wakati ule dola ilipokuwa inahangaika kupata ushahidi wa mauaji.Kukaa kimya wakati wote ule wakati unazo data ni ujinga na uaji mkubwa na zaidi umekosa uzalendo kwa nchi hii.Na kama unatumika ujue huyo aliyekutuma ndie atakumaliza kwani kibano kitakufanya upotezwe maana wanajua wewe si mwaminifu.Ni hayo tu bwana mdogo.

nilikua na mtazama. yaani mwongo ujulikana hata ukimtazama machoni utamjua2. ninlichogundua chadema kijipime kwa watu kama mchange ni zaidi ya ebola uroho ulafi na tamaa ya madaraka ndio chimbuko la watu sampuli ya mchange. ushauri wangu kwa chadema kipitishe oparation tokomeza kisafishe wote ndani ya chama kwa kuwafukuza hata wakibaki watu 3 lakini ni watu wa hadilifu na wazalendo ndani ya chama kuliko kufuga ebola ndani ya chama.ni bora kuitwa dikiteta kuliko kuachia ebola ikiangamize chama.
 
Kama ni mahakamani, chadema walitakiwa waende sana kwa sababu kila kukicha wana tuhuma mpya. Watu kama akina MCHANGE ni muhimu sana kwa nchi yetu kwa sababu taarifa zao zinawafungua macho na masikio watanzania
 
Mkuu adolay,

Pole sana !

Naona umejitahidi sana ku-argue na jamaa. Atakakuchosha bure kwani kila utakapojaribu ku-reason naye ataleta upuuzi....Kuna watu hawako reasonable kabisa au mara nyingine wako reasonable ila wameamua kujitoa ufahamu na kazi yao ni kutibua pale ambapo unajaribu ku-reason naye....

Dawa ya watu wa aina hiyo ni ku-waignore tu !. Wapo wengi tu hapa JF.....

Kwa watu wa aina hiyo, ukisha-argue naye kidogo ukagundua ni un-reasonable, nashauri watu wawe wana-waignore....

Mimi kuna baadhi ya watu hapa JF huwa sijibu kabisa posts zao !

Sasa mimi nikusaidie tu.

1. Muda si mrefu mchange atageukwa na ccm-Kwa taarifa yako suala la mwangosi limeharibu kazi na mikakati yote ilopangwa

kuwachafuwa chadema. Hili la mwangosi limefanya nakuthibitisha tuhuma zote ni uwongo, propaganda na upotoshaji.

2. Kazi ya polisi imekuwa ngumu kupita maelezo, hawawezi tena kuwashughulikia cdm, maana nani atawaamini iwapo kila mmoja anafaham kilichomuwa mwangosi.......

3. Watanzania wengi nakutoka wavyama mbalimbali kwa taarifa yako kwa huruma tu wataipenda na kujiunga na chadema

yaani kisaklojia wanaona chadema inaonewa- kama huamini subiri hili varangati litakapo fireback hutaamini, ccm itajuta.

4. Huko mtaani Mchange amejimaliza, tena amejitowa kafara maana sio wote wanapenda kuchezewa akili kwa hoja za kupika

muda si murefu au siku chache zijazo utamsikia akilalama kuzomewa na watu nk nk.

Watanzania wa leo sio wa jana, juzi au enzi za mwl, wanatafakali, wanahoji na wanadai haki zao.
 
mwenzio kashapita day-waka yake na wewe unamwambia aende mahakamani, akaumbuke!!

Maneno ya Mchange siyo ya kupuuza hata kidogo kwa porojo kama hizi, nimemsikiliza sana, ameongea mambo mazito
 
Mkuu adolay,

Pole sana !

Naona umejitahidi sana ku-argue na jamaa. Atakakuchosha bure kwani kila utakapojaribu ku-reason naye ataleta upuuzi....Kuna watu hawako reasonable kabisa au mara nyingine wako reasonable ila wameamua kujitoa ufahamu na kazi yao ni kutibua pale ambapo unajaribu ku-reason naye....

Dawa ya watu wa aina hiyo ni ku-waignore tu !. Wapo wengi tu hapa JF.....

Kwa watu wa aina hiyo, ukisha-argue naye kidogo ukagundua ni un-reasonable, nashauri watu wawe wana-waignore....

Mimi kuna baadhi ya watu hapa JF huwa sijibu kabisa posts zao !

Asante mkuu kwa ushauri.
 
kwa mtu alie soma psychology haumpi shida kukujua we ni mtu wa aina gani;

1.una umri mdogo

2.bado una elements za uanafunzi

3.kama uko above 25 basi hauko well matured

4.ume athiriwa na maisha ya kijiweni

5.haukupata malezi yaliyo mema kutoka kwa wazazi wako kutokana na sababu nisizo zijua

6.una ubishi wa asili

7.uko addicted na ulevi

8.una msongo wa mawazo

9.una ujanja wa kuiga

10.Una abnormal ya kitu fulani ktk mwili wako.

kati ya haya mambo 10 kuna mahala una fiti na hilo halina ubishi.

Umesahau social factors,yawezekana jamaa amekuwa akidharauliwa kwamba amelegea legea kama mtoto wa kike,kwahiyo amepata mahala kwa kutolea kilichomjaa kifuani kwa miaka mingi!!
 
Hivi sheria inasemaje kwa mtu aliyeshiriki jinai na kuwa na ushahidi wote lakini kwa makusudi hataki kupeleka taarifa polisi ili sheria uchukue mkondo wake? Inakuwake mtu alietenda jinai anapita huku na kule akijinadi kuwa alishiriki kutenda jinai fulani na kuwatuhumu alioshiriki nao waziwazi kwenye vyombo vya habari lakini vyombo vya ulinzi na usalama visimkamate, hii inakuwaje? INA MAANA MACHANGE ANAMFUKO MPANA KIASI GANI MPAKA ANATAMBA HIVI?
 
Maneno ya Mchange siyo ya kupuuza hata kidogo kwa porojo kama hizi, nimemsikiliza sana, ameongea mambo mazito
mtafute mshauriane ili aende mahakamani, miaka yote hiyo mlikuwa wapi?
 
nilikua na mtazama. yaani mwongo ujulikana hata ukimtazama machoni utamjua2. ninlichogundua chadema kijipime kwa watu kama mchange ni zaidi ya ebola uroho ulafi na tamaa ya madaraka ndio chimbuko la watu sampuli ya mchange. ushauri wangu kwa chadema kipitishe oparation tokomeza kisafishe wote ndani ya chama kwa kuwafukuza hata wakibaki watu 3 lakini ni watu wa hadilifu na wazalendo ndani ya chama kuliko kufuga ebola ndani ya chama.ni bora kuitwa dikiteta kuliko kuachia ebola ikiangamize chama.
Utabiri wako unaweza kutimia, eti hata wakibaki wataru, sijui kama una maana ya SLAA, MBOWE na MNYIKA? wasipojirekebisha na wakasikiliza wahuni wa kwenye mitandao hakika watabaki watatu, wananchi mitaani wameshawachoka
 
Hivi sheria inasemaje kwa mtu aliyeshiriki jinai na kuwa na ushahidi wote lakini kwa makusudi hataki kupeleka taarifa polisi ili sheria uchukue mkondo wake? Inakuwake mtu alietenda jinai anapita huku na kule akijinadi kuwa alishiriki kutenda jinai fulani na kuwatuhumu alioshiriki nao waziwazi kwenye vyombo vya habari lakini vyombo vya ulinzi na usalama visimkamate, hii inakuwaje? INA MAANA MACHANGE ANAMFUKO MPANA KIASI GANI MPAKA ANATAMBA HIVI?
Sheria wale aliowaanika wakamatwe yeye akatoe ushahidi
 
Si kazi ya Mchange kwenda mahakamani. Aende kufanya nini? ni wajibu wa PoliCCM kumkamata na athibitishe na kutoa ushahidi wa yote aliyoyasema, kwa manufaa ya umma.

Au wale waliotuhumiwa ndio waende mahakamani na kufungua kesi ya kuchafuliwa. Otherwise tabia hizi za kila kukicha mtu anaibuka na tuhuma, zitaendelea
 
Inahitaji kuwa na akili za kawaida tu kuelewa kuwa Mchange hayuko sawa kiakili!!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Utabiri wako unaweza kutimia, eti hata wakibaki wataru, sijui kama una maana ya SLAA, MBOWE na MNYIKA? wasipojirekebisha na wakasikiliza wahuni wa kwenye mitandao hakika watabaki watatu, wananchi mitaani wameshawachoka

Wananchi wa mitaa ipi?
Sisi mtaani kwetu ni chadema mwanzo mwisho.
Huyo mchange hataturudisha nyuma.
Hiyo plan imefeli.
 
Back
Top Bottom