na mimi nimoja wa wanao sema hili ni la machange na si la ccm! Sisi tunawaza UKAWA warudi katiba ipatikane sahiz!
Thumb up Yoga.
1. Walau umeona japo kwenye 2-D, nadhani wanaoshabikia huu upuuzi wa Mchange hawafaham kabisa huge damage kwa ccm.
Nadhani tukienda mbali na kulitathimini kwenye 3-D, 2015 Nondo hizi zitatumika kuiangamiza ccm, ukiruhusu wapuuzi wajadili
wengine kwa upuuzi ukitaraji kufaidika, tarajia upuuzi huohuo kukumaliza.
2. kwa lilipo fikia hili jambo litamghalimu mchange hususani la mwangosi.
a) Kesi ipo mahakamani yeye anavunja sheria analipeleka majukwaani
b) Amedamage image na reputation ya Polisi na usalama wa Taifa hawatamwacha kirahisi hatakama ccm-imemtuma
c) Mtaani amejijengea mazingira magumu ya kuaminika, kukubalika na kueleweka, hususani kwa wenyeuelewa
3. Ameiweka STAR TV kwenye wakati mgumu, japo mmiliki ni wa ccm-Anthony Diallo lakini inaruhu kujadili kesi zilizo mahakamani-nikuvunja sheria.
Sasa hawa wengine wanaodhani
Mchange anaibomoa chadema, wanapotoka-
kwa mwendo huu anaijenga chadema nakuibomoa ccm kwa speed kubwa.
4. Amejiweka kama mshiriki kwa kila jambo, lengo lake awafanye polisi kuwawashughulikia viongozi wa chadema kwa ujumla wake nayeye akiwa ndani yake iliwakifika mahakamani akakiri uhusika wake na hao viongozi. Sheria sio nyepesi kihivyo, itamghalimu na kulighalimu taifa endapo polisi watachezacheza............................tusubiri siku iwadie.