Hawa uliowataja siwakubali kabisa kabisa! Wanaleta maswali mengi sana kwenye imani! Tuko sawaMimi ni mkristu lakini watumishi dizaini ya gwajima,kakobe,mama lwakatare,mwingira siwakubali,
kama nakosea Mungu atanisamehe.
Msimamo wa kukataa watumishi ndo uhuru wa kuabudu ambapo Mungu anasema mbele yako nimekuwekea mema na mabaya chagua hivi leo utakaye mtumikia!!Hawa uliowataja siwakubali kabisa kabisa! Wanaleta maswali mengi sana kwenye imani! Tuko sawa
Mimi ni mkristu lakini watumishi dizaini ya gwajima,kakobe,mama lwakatare,mwingira siwakubali,
kama nakosea Mungu atanisamehe.
Mimi ni mkristu lakini watumishi dizaini ya gwajima,kakobe,mama lwakatare,mwingira siwakubali,
kama nakosea Mungu atanisamehe.
Wewe ni mkristu na siyo Mkristo. Hao unaowakataa wao ni Wakristo. Hapo umenena vema.
nimependa sana hii picha
Mimi ni mkristu lakini watumishi dizaini ya gwajima,kakobe,mama lwakatare,mwingira siwakubali,
kama nakosea Mungu atanisamehe.
tema mate chin ndugu wala usikoment chochote kuhusu watumishi ww kaa kimya mungu anajua kama ndio au sio
ni kweli gide,japo hatupaswi kuhukumu.tunapaswa kuuona utukufu wa mungu ndani yao. Unyenyekevu,kujishusha,moyo wa huruma,nk sio sehemu ya mafundisho yao wala matendo yao,wao ni utajirisho ndo fundisho kuu