Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
Ukristu wako una mashaka,kwa kuwa hawa ni watanzania wenzako ndio maana huwakubali?Kwa nini hicho unachokiamini unakiamini?Maana hata hapo katika dhehebu ulilopo leo ni afadhali hawa usiowakubali,tafakari vzuri hata kama husali kwao jivunie kuwa nao.Mimi ni mkristu lakini watumishi dizaini ya gwajima,kakobe,mama lwakatare,mwingira siwakubali,
kama nakosea Mungu atanisamehe.
Huyo Emanuel is a thousand miles away hayupo hapo kanisani hata kidogo
hebu wekeni sura ya huyo nabii mi namsikia tu
Mume wake flora naona hana hata raha..kaamua azuge zuge tu na kisimu chake,pembeni namwona :evil:![]()
A thousand miles kimawazo sio physically! Ukimwangalia unaona kama yuko hapo body yes, mind no.Anhaa kumbe ni kivuli chake sio? Basi kitakua chenyewe ndio kilibaka maana kimefanana nae kweli.
Mimi ni mkristu lakini watumishi dizaini ya gwajima,kakobe,mama lwakatare,mwingira siwakubali,