Mch. Gwajima: Mimi sio kama wale (kuhusu kashfa)

Mch. Gwajima: Mimi sio kama wale (kuhusu kashfa)

Ni kweli wewe ni Mkristu !. Hivyo,waacha wakristo na viongozi wao;kwani pilipili usiyoila inakwashia nini ?😛eace:

mkuu naomba nifafanue kuhusu maneno "kristo" na "kristu"neno "kristo" limetoholewa kutoka kwny neno la kigiriki(kiyunani) kristos likimaanisha Christ kwa kiingereza na neno "kristu" limetoholewa kutoka kwny neno la kilatini "kristus" likimaanisha Christ kwa kiingereza.Wamishionari wa kikatoliki walipendelea kutumia neno kristu ndo maana unaona wakatoliki hutumia neno kristu au mkristo na wamishionari wa kiprotestant walipendelea kutumia neno kristu ndo maana makanisa ya kiprotestant hutumia neno kristo au mkristo.Hivyo maneno kristu na kristo ni neno 1 na maneno mkristo na mkristu ni neno 1 na lenye maana 1.
 
Eti hawezi kufa mpaka amalize kazi..Hivi kumbe yeye anajua siku yakufa kwake..Hivi hii jamani si kufuru...

Hata mfalme Daudi aliwahi kuyatamka maneno hayo sasa wote humu tunakushangaa wewe.
 
Nilisahau kuandika "mwezi wa nane nitafanya mikutano kwa Helcopter nikianza na Iringa"

haters wananuna kweli wakiona post kama hizi
 
Kwa kuponda wakatoliki haoo ndio vinara. Wanajifanya holy spirit yuko kwao tu...!!!!!. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Mpende jirani yako kama nafsi yako
 

Attachments

  • 1403018403919.jpg
    1403018403919.jpg
    12 KB · Views: 267
Mkutano wa Mch. Gwajima mkoani Arusha....


DSCN8734.JPG
 
Moja ya semina za Mch. Gwajima nchini Japan mapema mwaka huu

10292220_631274136947650_1513847521387165280_n.jpg
 
Hoja ya imani inajibiwa na safari za japani

afdhali Issa Matona (RIP) alisema "babujinga inama ifikiri, mali yako inaliwa"
 
Mimi ni mkristu lakini watumishi dizaini ya gwajima,kakobe,mama lwakatare,mwingira siwakubali,
kama nakosea Mungu atanisamehe.
Kama wewe ni mkristu pole yako Gwajima sio mkristu
 
Mimi ni mkristu lakini watumishi dizaini ya gwajima,kakobe,mama lwakatare,mwingira siwakubali,
kama nakosea Mungu atanisamehe.

Wewe uwezi kuwakubali kwa sababu we ni mkristu, hata usipokubali, wengine wanamkubali hivyo aibadilishi, ata shetan wapo wanamkubali
 
uko wapi mola wetu watu wako tunaangamizwa na hawa ambao sijui kama kweli umewaita waje watulete kwako.

Tazama Bwana wetu wamegeuka kuwa wakuu wa kujisifu na wafalme wa majigambo njoo upesi baba utuokoe waja wako
 
Wale wanzanzibari....na sisi watanganyika...!!! Kiiiru!! Napita tu bwashee!!
 
Very charismatic con man. Hii ni mbinu nyingine ya kufukia habar mbaya, ni kuzua nyingine. Maelezo ya waJapan kuja au yeye kwenda na kujitangaza umaarufu wake ni ushahidi. Huu ni ujasiriamali wa injili - keji kubwa!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hata mfalme Daudi aliwahi kuyatamka maneno hayo sasa wote humu tunakushangaa wewe.

Nami Namuunga Mkono Mch.Gwajima A.K.A Baba Wa Uzinifu,ni Kweli hawezi Hadi Amarize List Yake Ya Kuwala Uroda Wake Za Watu.
 
Hivyo ndo yesu alivyotufunza ,kutoa maneno ya kebeh pindi unapokwazwa ?? anajitamba ametembea nchi zaid ya 53 zinahusiana vp tuhuma zilizopo..ndo kusema yeye ametembea sna kulko wengine ? ama yye ndoana ana hela sana !!
 
Back
Top Bottom