Mch. Gwajima: Mimi sio kama wale (kuhusu kashfa)

1404516_10152047944048856_819595337_o.jpg
Naona hapa ni Mrs Gwajima (Mama Mchungaji) kushoto akiwa na mke mwenza (Flora Mbasha) katikati huku mumewe Emanuel Mbasha akiwa haelewi kinachoendelea. Si Mbasha ama Mama Gwajima aliyekuwa anaelewa kilichokuwa kinaendelea kati ya wawili hawa (Mch. Gwajima na Flora). Wanapewa deal la kwenda kuimba mikoani wanafikiri kwenye mikutano wanachekelea kumbe mshikaji anabanjua kwa kwenda mbele.
 
he he he ila hiyo siku alianguka mchawi hapo uwanjani, Arusha kulikuwa na mob balaaa walitaka kumuua huyo mchawi..
 
Back
Top Bottom