Mbunge wa Viti Maalumu aolewa na Maulid Kitenge

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Mtangazaji nguli wa Michezo Maulid Kitenge amefunga ndoa na mbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje.

Harusi hiyo iliyofanyika kwa usiri mkubwa katikati ya wiki iliyopita imeibua mjadala mkubwa kwa kile kinachodaiwa mtangazaji huyo mkongwe kutowaalika marafiki zake wa karibu ambapo watu saba tu ndio walihudhuria tukio hilo.

Hanje.jpg
 
Acha aoe,maana wanawake wanaotaka kusitiriwa ni wengi,na baadhi yao wanakwepwa.
Huyo Nusrat mwenyewe,kuolewa kwake inasemekana ni pigo kwa madereva wa wabunge na mawaziri,maana kumpatapata itakua siyo kama kabla hajachukuliwa na Kitenge.
 
Mtangazaji nguli wa Michezo Maulid Kitenge amefunga ndoa na mbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje.

Harusi hiyo iliyofanyika kwa usiri mkubwa katikati ya wiki iliyopita imeibua mjadala mkubwa kwa kile kinachodaiwa mtangazaji huyo mkongwe kutowaalika marafiki zake wa karibu ambapo watu saba tu ndio walihudhuria tukio hilo.
Hujawafotoa kapicha mkuu?, Nusrat Mashallah ana kitu!.
 
Mtangazaji wa WASAFI FM na Kada wa CCM Maulid Kitenge amedaiwa kufunga ndoa na mbunge wa viti Maalum ( Chadema) mh Nusrat Henje

Hongereni maharusi

Siasa siyo Uadui

Source Jambo TV

Nawatakia Dominica njema
Mke mwenza???
Ila rekebisha content yako.
Chadema hawana wabunge wa viti maalum.
Huyo ni mbunge wa tume ya uchaguzi na spika Tulia Ackson.
Waki lindwa na mahakama.
 
Back
Top Bottom