Hongera Maulid Kitenge na Nusrat Hanje kufunga ndoa

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,525
7,375
Nusrat Hanje_Maulid Kitenge.jpg

Nawapongeza Maulid Kitenge na Nusrat Hanje kufunga pingu za maisha japo waliamua kufanya ndoa ya siri.

Chumvi kapata chombo ya ukweli.
---
NUSRAT HANJE JIKO JIPYA LA MAULIDI KITENGE
Mtangazaji nguli wa Michezo Kutoka Wasafifm Maulid Kitenge amefunga ndoa na Mbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje.

Harusi hiyo iliyofanyika kwa usiri mkubwa katikati ya wiki iliyopita imeibua mjadala mkubwa kwa kile kinachodaiwa mtangazaji huyo mkongwe kutowaalika marafiki zake wa karibu ambapo watu saba tu ndio walihudhuria tukio hilo.

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram wa Mbunge Nusrat Hanje amethibitisha Hilo Kwa Kuweka Post "Happy birthday Mume Wangu" Huku akiambatanisha Picha ya Maulid Kitenge
 
Ndoa zina siri kubwa sana, mtu (bwabwa) anamsuka mwanamke wafunge ndoa ya mkeka ili kupotosha umma na kumpa huyo mwanamke ruksa ya kuliwa na wengine huku yeye akiliwa na kupakatwa na wenzake huko mitaani. Si kila afungae ndoa ni rijali kweli, ona Ben Kinyaiya kwa mfano.
Kweli kuna jamaa hapa jirani yangu, tetesi zilikuwa zikidai kuwa jogoo wake hawiki, mimi nilipuuza maana anao hadi watoto ila hana mke,niliwahi kumuuliza juu ya kuoa akasema yeye hawezi kuoa maana wanawake ni wasumbufu sana.

Nimekaa baada ya muda nikawa naona anaishi na mwanamke,sikumuuliza, na yule mwanamke alikuwa mjamzito,mimi nikajua ameamua kuoa,hatari zaidi kuna siku huyo mke wake mjamzito alikuja kuvurugana na mwanamke mwingine ambaye inasemekana alikuwa hawara wa huyo jamaa,na nilikuwa namuona akija hapo( walikuwa wanamgombania huyo jamaa).

Sasa nikawa najiuliza mbona watu wanasema jamaa jogoo wake hawiki,je huyu mwanamke mwenye mimba kulikoni,je huyu mwanamke aliyekuja kupambana na mwanamke mwezie sababu ilikuwa ni nini ikiwa jamaa hawezi ku.t.o.m****.

Sasa bahati nzuri mke wajamaa pamoja na mke wangu wakawa marafiki na huyu mwanamke mwenye mimba ambaye ni mke wa jamaa,kuna siku akadokeza huyo mke,bwana mimi niko na huyu jamaa ila hii mimba si yake,na usimuone hivyo hana uwezo wa kusimamia show hatab nusu sekunde,kiufupi mtalimbo uko dolo toka kuzaliwa,ila anawivu sana asikuone umesimama na mwanamme.
 
Back
Top Bottom