Mbunge wa TARIME apigwa na wananchi

Mbunge wa TARIME apigwa na wananchi

typical chadema.supporte

....?? ina maana vyama vya upinzani tz ni cdm tu? yawezekana akawa cuf, nccr etc na hata ccm pia! huoni waliompiga mheshimiwa
ni wapiga kura wake? mi nadhani wewe ndo typical magamba
 
huyo mbunge aliingia kwenye mkutano wa kimila akiambatana na mabraza waliovalia uniform ya ccm walipomalizana naye walienda moja kwa moja kwenye mgodi kuuteketeza,teheeeetehee
source channel ten news
 
huyo mbunge aliingia kwenye mkutano wa kimila akiambatana na mabraza waliovalia uniform ya ccm walipomalizana naye walienda moja kwa moja kwenye mgodi kuuteketeza,teheeeetehee
source channel ten news
mmh mbona ueleweki
 
Sawa mkuu habari yako hujaibalansi sawa sawa, weka kila kitu ili mtu ambaye hajui hii ishu anapata wapi imeanzia na kwanini na wapi huyoimbunge amebondwa.
 
Ndio tunapandisha hapa Senkeke nilikua maeneo ya huko, yaani wale jamaa wana hasira kuliko hasira yenyewe ilivyo....nitawaanzisha thread kesho nikifika salama! Nimeona na kujifunza mengi toka kwao, akisema ninakukata ni kweli anachomoa kisu na kutimiza azma yake ila Nyambari nae si angerudi tu kwenye kazi yake ya kuchapisha vijarida na kuviita vitabu? kwanza chizi yule anachangia sana kudumaza elimu ya watoto wetu...
 
Nadhani watapigwa wengine. Jamani huko Tarime kuna uonevu wa hali ya juu. Watu wanapigwa na polisi weee acha mchezo. Nilibahatika kuona kijana mmoja anagombewa na polisi wa kanda maalum kama mpira wa kona wakati hakuwa na kosa. Nyamongo yao halafu hawaruhusiwi kupita japo kwa nje kwenye kambi ya North Mara Gold Mine. Hali kule ni ya hatari kwa kuwa hata wazungu wanaofanya kazi mgodini hawaruhusiwi kutoka nje ya kambi, wananchi wameonewa hadi wanawaona wazungu kama mashetani. Sasa kama Nyangwine amesahau ukurya kwa kukaa mchini na kuandika vitabu ngoja aonyeshwe. Nadhani hiyo ni stahili yake

Ila tuweke ushabiki pembeni hivi hakuna wataalama wakufanya uchunguzi wa kisayansi kwa nini watu wa mkoa wa mara hasa wilaya ya tarime ni so cruel kuliko jamii nyingine.

Kuhusu uonevu wa polisi ni kweli lakini unajua vijana wa kikurya wao wanajiita wajeshi kasoro magwanda tu. Nimesoma huko....... Kuna siku vijana wakikikutana na polisi wasiyemjua akiwa na bahati anarukishwa kichura chura akiwa ba bahati mbaya anapata kipigo. Polisi nao kwa hasira wakikutana na kijana au vijana wakibahatika kuwa tight nao wanaipa kisasi. ni kama cat and mouse game . Tofauti anyone can loose it depend on the day.

Tarime na mara ni another case .sishabikii Vyombo vya usalama wala wananchi but thorough research need to be done. My be kurudishwa na kutambuliwa kwa tawala za kimila ni suluisho.. binafsi nadhani Katika maeneo haya wazee wa kimila ndo wanaweza kucontrol vijana wao.

Wanazi wa chadema msichangie kishabiki shabiki tu kwa kuwa ni mbunge wa CCM kabla ya kuchangaa assume angekuwa mbunge wa CDM au CUF au NCCR...............
 
Sawa mkuu habari yako hujaibalansi sawa sawa, weka kila kitu ili mtu ambaye hajui hii ishu anapata wapi imeanzia na kwanini na wapi huyoimbunge amebondwa.

aliingia kwenye limkutano la kimila na jamaa waliovalia liuniform la ccm wakapewa mkon,goto na magari mawili kuteketezwa baada ya hapo wananchi wakaenda mgodini kuupiga kiberiti
 
huyo mbunge aliingia kwenye mkutano wa kimila akiambatana na mabraza waliovalia uniform ya ccm walipomalizana naye walienda moja kwa moja kwenye mgodi kuuteketeza,teheeeetehee
source channel ten news

mkuu mbona cjaelewa uzi umeanzia wapi? au uzi wako umekatika?
 
pia waziri kagasheki kasema kitendo cha maiti wanne kutokuzikwa kuna mkono wa chama fulani cha siasa, na anasema wananchi wana makosa kwani walivamia na silaha na chanzo eti ni chama cha siasa. hivi hii ndio kauli ambayo tulitegemea kutoka kwa viongozi wetu? Blame instead of taking responbility kwa nini wasitafute chanzo cha wananchi kuvamia? ni kweli ni majambazi mchana kweupe ?
 
Asome alama za nyakati. Mahitaji ya wananchi yanazidi kuwa magumu kupatikana na yeye anaenda kamaaa suti na kiyoyozi ndani ya vx v8. Aangalie kwa makini tafadhali, next time watamtoa roho
 
Haaaa kigogo kumbe tulikuwa wote mkwawa? mie nilikuwa magembe east.....wewe ulikuwa kongoro wa shaban robert au lumumba! laaah nimefurahi kukumbushwa mkwawa....nguyi ,mwangoka na kuleeeee mlikokuwa mnakimbizana nao nimepasahau jina....kuna pombe za kienyeji na minuso baaada ya main gate

mix with yours

Nakukumbusha jina la pale nje ya geti "Makanyagio" only to refresh your mind.
 
Ila tuweke ushabiki pembeni hivi hakuna wataalama wakufanya uchunguzi wa kisayansi kwa nini watu wa mkoa wa mara hasa wilaya ya tarime wako ni so cruel kuliko jamii nyingine.

Kuhusu uonevu wa polisi ni kweli lakini unajua vijana wa kikurya wao wanajiita wajeshi kasoro magwanda tu. Nimesoma huko....... Kuna siku vijana wakikikutana na polisi wasiyemjua akiwa na bahati anakurikishwa kichura chura aiwa ba bahati mbaya anapata kipigo. Polisi nao kwa hasira wakikutana na vkina au vijana wakibahatika kuwa taight nao wanaipa kisasi.

Tarime na mara ni another case .sishabikii Vyombo vya usalama wala wananchi but thorough research need to be done. My be kurudishwa na kutambuliwa kwa tawala za kimila ni suluisho.. binafsi nadhani Katika maeneo haya wazee wa kimila ndo wanaweza kucontrol vijana wao.

Wanazi wa chadema msichangie kishabiki shabiki tu kwa kuwa ni mbunge wa CCM kabla ya kuchangaa assume angekuwa mbunge wa CDM au CUF au NCCR...............
Angekuwa mbunge wa CDM asingekuwa upande wa polisi kama Nyangwine angeshasema polisi waliohusika wawajibishwe mara moja wala asingepopolewa mawe.
 
Back
Top Bottom