Lokissa
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 7,445
- 2,509
kaendela kudai yeye aliedna kuwapa pole,jana ndio kapanda ndege kuja jimboni mwake,ilikuwa awaambie ataunda tume kuchagua wawakilishi wao 4 wanaowaamini ili amani irudi tariiiiiiime.Chanzo cha mauaji kwa mujibu wa Nyangine anasema kuna mgodi wa North Mara wananchi hawakuridhika na fidia na hela zikaisha wakatumia mbinu za kuvamia ili kuchukua dhahabu,na wameenda wengi 500 na zaidi,polisi ikabidi watumie nguvu.....haya maneno nimemkariri yeye mwenyewe akiongea kwa njia ya simu