We hamnazo kweli.Hazina ukweli, jamaa hata sasa hivi ana shati la kijani na limeandikwa CCM. Hazina ukweli
watajivua mmoja mmoja, Bado vuvuzela Nape atahamia CCJ
mkuu ng'wanangwa make sure habari kama hizi una uhakika nazo
unajua mimi binafsi naheshimu sana comment zako,kama sio kweli nitaongea na mods private
Ng'wanangwa tupe habari kamili sio nusu nusu
Unapozungumizia mawe, unanikumbusha kipindi kile wananchi waliochoka na utawala wa kikwete walipoamua kumpiga mawe ya kichwa Kikwete pale Mwanjelwa Mbeya na Vyombo vya habari kuagizwa kuto toa habari hiyo, maana ilikuwa aibu sana.
Nimepita tu, nitarudi baadae.
bado ni tetesi tu?
jamaa akigombea kupitia CDM tutahitaji gharama ya mil. 20 tu kulichua lakini magamba watapaswa watumie bil. 12 na watalikosa pia.wakuu kama ni kweli ndiyo tunaenda uchaguzi mdogo tena? duh jamaa zetu bado wana mahindi ya msaada kibao sasa sijui itakuwaje wananchi wa huko Mbalari.:focus: hivi lile soo lake na mapolisi? si alikuwa lupango huyu mweshimiwa?
Pipooooz power! source: amplifaya ya milard ayo.
jamaa akigombea kupitia CDM tutahitaji gharama ya mil. 20 tu kulichua lakini magamba watapaswa watumie bil. 12 na watalikosa pia.