Mbunge wa Mbalari CCM ahamia CHADEMA

Hizi ndizo habari zilizomkimbiza nyakarungu jf na kwenda kulalamika fb. Tuacheni uongo basi.
 
CCM wao hela wanazo wana miradi na wanachama wao wanajiweza, cdm wao wanamtegemea Sabodo (kada wa ccm) na ruzuku itokayo serikali ya ccm. Kwa maana hiyo bila msuli wa kifedha wa ccm , cdm wao hawana kitu !

Kwa hiyo!!!
 
ni uchu wa madaraka hakuna lolote.

Nitawapinga magwanda kwa nguvu zangu zote.

Huu ndio ujinga wa wanaccm wa siku hizi wao ni kuipinga tu Chadema bila hata sababu! Hebu mjishulishe kufikiria basi! Unaropoka tu! Uchu wa madaraka kwa lipi?! Hv kama mtu ni mbunge atakuwa na uchu upi wa madaraka tena na kikubwa zaidi akiwa anaachia madaraka ya Ubunge?!
 
Acha aende kwa wauaji wenzake cdm; maana ccm c mahala pa kutishia kuwaua wananchi!
ccm ndo wauwaji wamemwambukiza huyu jamaa,fuatilia historia ya nchi hii utajua kuna mauaji ya watu mbalimbali wakiwemo wanaccm na hata viongozi wa serikali kupitia vyombo vya usalama au kwa kufanya njama na watu wa kawaida
 
Mkuu nimeipenda sana tena sana hiyo revolutionary statement kutoka Kamanda wangu anayeitetemesha CCM hadi tumboni!!!!!!!!!!!

Ni heri ya vita inayotafuta haki na usawa, kuliko amani inayopumbaza na kudhalilisha utu wa mwanadamu - Godbless Lema

Mkuu komaa naye anaweza kupokea!
 
ccm ndo wauwaji wamemwambukiza huyu jamaa,fuatilia historia ya nchi hii utajua kuna mauaji ya watu mbalimbali wakiwemo wanaccm na hata viongozi wa serikali kupitia vyombo vya usalama au kwa kufanya njama na watu wa kawaida

Wangwe mlimmaliza kwa kugombea madaraka , halafu nyie ndio mnataka mpewe nchi eti !
 
Jamani hakuna mwanaJF Mbarali kutuhibishia au kutukanushia habari hii, maana tumechoka na tetesi muda mrefu wote huu. Hebu mnaoweza kufanya hivyo fanyeni hima.
 
Mbona mheshimiwa mbunge mwenyewe tuko naye humu sasa hivi anafuatilia hii THREAD na kujiuliza 'VIJANA MNATAKA NINI' ?

Jamani hakuna mwanaJF Mbarali kutuhibishia au kutukanushia habari hii, maana tumechoka na tetesi muda mrefu wote huu. Hebu mnaoweza kufanya hivyo fanyeni hima.
 
Back
Top Bottom