mmbangifingi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 2,839
- 567
possibly, maana walikuwa na mivutano ya mara kwa mara na DC na watu/viongozi wengine ndani ya ccm ngazi ya Wilaya kaona "gutter politics" zinamzingua acha tusubiri uthibitisho
Pipooooz power! source: amplifaya ya milard ayo.
hatuna wasiwasi tutamsimamisha kubenea alirudishe jimbo kwa tiketi ya ccm!pipooooz power! Source: Amplifaya ya milard ayo.
Pipooooz power! source: amplifaya ya milard ayo.
Bw. Nawabu Mullah
Mullah? Majina mengine bana . . . utata mtupu.
lol!! ccj kunaafadhali labda CUFwatajivua mmoja mmoja, Bado vuvuzela Nape atahamia CCJ
Acha aende kwa wauaji wenzake cdm; maana ccm c mahala pa kutishia kuwaua wananchi!
Acha aende kwa wauaji wenzake cdm; maana ccm c mahala pa kutishia kuwaua wananchi!