Daniel Anderson
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 872
- 142
mkuu nimeipitia hiyo blogu na wala sijaipata habari hiyo. Inakuwaje hii?inawezekana habari hizi ni za ukweli maana hata ile blogu maarufu huko nyanda za juu kusini imeripoti swala hili
inaitwa Francis Godwin ni mzee wa matukio daima