TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,197
- 18,227
sio hivyo mkuu.... nilisikia redioni kwamba walim-arrest huko mbeyaUsichanganye na yule Ismail Rage...
au ndio walishajua jamaa anaondoka?
sio hivyo mkuu.... nilisikia redioni kwamba walim-arrest huko mbeyaUsichanganye na yule Ismail Rage...
sio hivyo mkuu.... nilisikia redioni kwamba walim-arrest huko mbeya
au ndio walishajua jamaa anaondoka?
Ni kweli hawatishii ila wanaua kabisa kama walivyofanya kule Igunga na ArushaAcha aende kwa wauaji wenzake cdm; maana ccm c mahala pa kutishia kuwaua wananchi!
well sasa nimeelewaMkuu, ukisikia mtu amekamatwa na Polisi hapa nchini ujue aidha hana connection au kama anazo basi ametibuana nazo hasa kama ni mtu wa magambani. Mpaka kufikia mbunge wao kukamatwa lazima ujue wanataka kumkomoa tu.
Hivi Rostam alijiuzulu kwa sababu gani vile? Malisa alisemaje vile kuhusu wana CCM hasa Nape? Ole Millya alisema jana pale kwenye kituo cha polisi? Hawa wote ni wnan Chadema. Masaburi in actionKama hizi habari ni za kweli, japo siziamini.. Namuonea huruma kwa kwenda Chama kisicho na dira. Kinachoendeleza siasa za kuzungumzia watu.
well sasa nimeelewa
kwahiyo jamaa walijua kwamba mshkaji hayupo upande wa mafisadi
Acha aende kwa wauaji wenzake cdm; maana ccm c mahala pa kutishia kuwaua wananchi!
sasa we unataka wananchi wasiambiwe ubaya wa Jk na magamba wake? Hata kama chadema wangezibwa midomo Mawe yangesema.
ni uchu wa madaraka hakuna lolote.
Nitawapinga magwanda kwa nguvu zangu zote.
Kama ndiyo kazi uliyojichagulia pole sana kwa sababu huo msalaba ni mzito, Mzee wangu.ni uchu wa madaraka hakuna lolote.
Nitawapinga magwanda kwa nguvu zangu zote.
Nguvu za keyboard.ni uchu wa madaraka hakuna lolote.
Nitawapinga magwanda kwa nguvu zangu zote.
Hii taarifa imekaaje hadi muda huu ? Huyu Mbunge ni kweli kaamua kuiangukia nuru au ni tetesi bado ?
mbona tunashangilia hata majambazi yakihamia chadema.... au sio
huyu sio yule aliyewekwa ndani kwa kutishia kuua?