Mbunge wa Mbalari CCM ahamia CHADEMA

CCM wao hela wanazo wana miradi na wanachama wao wanajiweza, cdm wao wanamtegemea Sabodo (kada wa ccm) na ruzuku itokayo serikali ya ccm. Kwa maana hiyo bila msuli wa kifedha wa ccm , cdm wao hawana kitu !

ur so pathetic, why dont u call urself fu**nbrain instead?!
 
Mlango uko wazi kwa wabunge ambao wameshatia akili waje angalizo kwa CDM wabunge wajuaji na wenye jeuri wakataliwe tumejifunza mengi kwa shibuda machoni na moyoni yeye bado ni magamba hajaona nuru ya ukombozi kwani ana tatizo la upofu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom