Mbunge wa Mbalari CCM ahamia CHADEMA

Mbunge wa Mbalari CCM ahamia CHADEMA

Mmeua Ilemela, mmeua Igunga, mliua Kombe, Shija, KOLIMBA, SOKOINE, Baba wa Taifa, na wale unaowajua NI WAUAJI PERIOD. Ila kila muuaji na yeye atakufa

Walimwua mpaka Chacha Wangwe, kweli ccm wauaji watupu!
 
nadhani kuna haja ya kuwa na uhakika kwanza wa chanzo
wadau wenye access watufahamishe ukweli wa hili tukio
japo si la kushangaza lakini tungependa kuwa na uhakika kwanza
 
Sishangai akihama chama bse CCM wanamtenga vya kutosha kisa anawatetea wananchi kuhusu mashamba ya mpunga kule mbarali
 
Karibu katika harakati za kukomboa taifa lako Mr Kilufi... Mpiganaji mmoja akiongezeka wasaliti mia tano kama Nape wanapoteza mwelekeo
 
Wasalaam! Nimejaribu fanya mawasiliano na wananchi hapo mbarali, wameshindwa thibitisha kama ni kweli au la, lakini wakasema mkutano wa chadema siku za karibuni pale ulikuwa moto sana

pana nini pale? Kuna mvutano sana kati ya viongozi wote wa wilaya na mbunge, nasikia hata riz 1 nae anahusika, kwani ni mmoja wa wamiliki wa mashamba pale, zaidi tusubiri
 
Kama hizi habari ni za kweli, japo siziamini.. Namuonea huruma kwa kwenda Chama kisicho na dira. Kinachoendeleza siasa za kuzungumzia watu.
 
Kilufi you are most welcome to the ever best and couragous political party. Ningependa sasa wafuatao wasichelewe kujiunga. Ole Sendeka, Mkosamali, Kafulila, Machali, Kilango, Lembeli, Kigwangala.
 
...wauwaji ni wepi kati ya CCM na CDM? CCM wametulia wakala wetu huko Igunga,hapo unasemaje?
 
Kama hizi habari ni za kweli, japo siziamini.. Namuonea huruma kwa kwenda Chama kisicho na dira. Kinachoendeleza siasa za kuzungumzia watu.

sasa we unataka wananchi wasiambiwe ubaya wa Jk na magamba wake? Hata kama chadema wangezibwa midomo Mawe yangesema.
 
Mwalimu kilufi kama kafanya ivo anaitaji kupongezwa,na uhakika wapo wengi watamfata ila wanaogopa,titanic inazama iyo jamani magamba stukeni.
 
Kilufi you are most welcome to the ever best and couragous political party. Ningependa sasa wafuatao wasichelewe kujiunga. Ole Sendeka, Mkosamali, Kafulila, Machali, Kilango, Lembeli, Kigwangala.

-sendeka, -kilango. hao wengine cjui kiwango chao cha shule.
 
For what i know from him (huyo mbunge) hata kama habari hizi si za kweli....kakini piga ua galagaza huyu mbunge ni lazima ataondoka ccm,
kama si sasa hivi basi itakuwa mwaka 2015....maana hii mikasa yote inayomkuta huyu mbunge ni kwa hajili ya kuwatetea wananchi wake,wa
kati viongozi wa juu wa chama chake wanatetea hao wawekezaji uchwara katika mashamba hayo ya mpunga....so kuna msuguano mkali sana
baina ya wananchi wa Mbarari na serikali yao.....na huyu muheshimiwa yuko upande wa wananchi. So all in all hata kama hatahamia CDM lakini
ni lazima atahama tu! Let us wait....time will tell
 
Niko Na Ndovu BaridddddddmPlease Ng'wanangwa, Thibitisha hii Habari ili Nijipongeze
 
mbona tunashangilia hata majambazi yakihamia chadema.... au sio

huyu sio yule aliyewekwa ndani kwa kutishia kuua?
 
Back
Top Bottom