Mbunge wa Jimbo la Igunga, tunashukuru kwa msaada wa Uniform lakini hapana

Kuna mwingine yupo arusha nae ana swaga hizo...kule muheza mwingine kajenga choo cha tundu moja kawaita waandishi wa habari tena n mawingu.
 
Usalipo usiwe kama mnafik lakink pia utoapo usipige Panda Kanuni rahisi kabisa Yesu anatufundisha.
 
Hivi mashati ya shule kwa shule za serikali si yanatakiwa kuwa meupe full bila maandishi yoyote isipokua nembo ya shule tu (sio lazima) size ya mfuko wa shati hilo,hili la msaada limepiteza sifa ya kuwa shati la shule,Mimi ningekua afisa elimu au mkuu wa shule nisingeruhusu hayo mashati kuvaliwa kama sarw ya shule.
 
Mheshimiwa Mbunge kulikuwa na haja gani ya kuweka muhuri mkubwa hivyo?

Nadhani hata usingeandika chochote wananchi wangekumbuka mchango wako

Kuweka hilo bango kwa sisi wengine ni fedheha, sawa tu na wale wanaotujengea matundu mawili ya choo na wanaandika kibao 'Donated by.....'

Gharama za kuweka huo muhuri ungeweza kuongeza mashati kadhaa.

HIZI NDO KAZI ZA MBUNGE?
 
Yupo sawa kufanya hivyo ili hizo uniform wavae wasioweza kununua hao watavaa kwa moyo mweupe, Ila asingeweka maandishi wangevaa watoto wa walimu na wenye uwezo, akili, akili , akili, kwa Kila Jambo, huyo mbunge nimempongeza sana.
 
Misaada ya kisiasa ipo kwa ajili ya kujijenga kisiasa na siyo sadaka unayotoa sirini, wao waendelee kutoa kwa wingi wao watavyoona na sisi tutaangalia Kila mmoja alivyotoa kwenye jamii maana ndo mitaji yao ya kisiasa kutusaidia kuwapa tusioweza kuwapa sisi kwani bungeni wanatuwakilisha wananchi Tena unakuta mwingine hata huko bungeni hachangii chochote na jamii yake nayo haijui anachosaidia.
 
Hivi mashati ya shule kwa shule za serikali si yanatakiwa kuwa meupe full bila maandishi yoyote isipokua nembo ya shule tu (sio lazima) size ya mfuko wa shati hilo,hili la msaada limepiteza sifa ya kuwa shati la shule,Mimi ningekua afisa elimu au mkuu wa shule nisingeruhusu hayo mashati kuvaliwa kama sarw ya shule.
Haya mashati yamenichekesha hasaa
 
Sasa kila mmoja akiamua kufanya hivi zitaitwa uniform kweli? Si itakuwa vurugu
 
Mheshimiwa Mbunge kulikuwa na haja gani ya kuweka muhuri mkubwa hivyo?

Nadhani hata usingeandika chochote wananchi wangekumbuka mchango wako

Kuweka hilo bango kwa sisi wengine ni fedheha, sawa tu na wale wanaotujengea matundu mawili ya choo na wanaandika kibao 'Donated by.....'

Gharama za kuweka huo muhuri ungeweza kuongeza mashati kadhaa.

Labda madarasa ya shule atahamishia kwenye hiyo ofisi yake
 
Back
Top Bottom