Mbunge wa Jimbo la Igunga, tunashukuru kwa msaada wa Uniform lakini hapana

Wanaona aibu kuvaa hizo shati itakuwa siyo level yao watavaa za level zao, huko Igunga nikijijini hata nguo wanazovaa wanakijiji wengi ni old fashion Sasa asipochafua hivyo u aweza kukuta Hilo shati kalivaa mzazi au limevaliwa na jamii inayojiweza, Mimi nampongeza Ila Nampa ushauri yagongwe nyuma ya shati ili watoto wa wavae nguo safi na walafi wa nguo za misaada wakae pembeni.
 
Mheshimiwa Mbunge kulikuwa na haja gani ya kuweka muhuri mkubwa hivyo?

Nadhani hata usingeandika chochote wananchi wangekumbuka mchango wako

Kuweka hilo bango kwa sisi wengine ni fedheha, sawa tu na wale wanaotujengea matundu mawili ya choo na wanaandika kibao 'Donated by.....'

Gharama za kuweka huo muhuri ungeweza kuongeza mashati kadhaa.

5 tena.
 
Huu ndio ujinga wa siasa za kiafrika. Mbunge anajigeuza mfadhili na watu wanashangilia bila kujiuliza pesa anatoa wapi. Kesho msije kutulilia eti fulani fisadi.
 
Kuna msaada, halafu kuna matangazo ya biashara.

Haya ni matangazo ya biashara.

Tena ya gharama nafuu kwa mtangazaji.

Mlitakiwa kumtoza hela kwa kumtangaza.
 
Mheshimiwa Mbunge kulikuwa na haja gani ya kuweka muhuri mkubwa hivyo?

Nadhani hata usingeandika chochote wananchi wangekumbuka mchango wako

Kuweka hilo bango kwa sisi wengine ni fedheha, sawa tu na wale wanaotujengea matundu mawili ya choo na wanaandika kibao 'Donated by.....'

Gharama za kuweka huo muhuri ungeweza kuongeza mashati kadhaa.

Siasa za kiafrika
Waafrika sisi bado ni watu hovyo sana na huu ni mfano wa tabia zetu za hovyo
 
Sasa kama shule hairuhusu maandishi tofauti na nembo ya shule kwenye nguo za wanafunzi itakuwaje?

Mbunge kafeli.
 
Back
Top Bottom