Ziara ya Mbunge Ngassa Jimbo la Igunga

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
738
479
Baadhi ya Wananchi wa Kijiji cha Kining'inila waliojitokeza kwenye Mkutano wa Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa wakicheza kwa furaha kabla ya kuanza Mkutano wa kutoa mrejesho wa Bunge la Bajeti kwa Wananchi, Kusikiliza kero za Wananchi na kuzipatia ufumbuzi.

Aidha Mheshimiwa Ngassa (MB) anatumia ziara ya kikazi kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo vijijini na kuangalia ubora wa huduma unaotolewa kwenye taasisi za umma kama Zahanati, Shule za Msingi na Shule za Sekondari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom