Mbunge wa Iringa mjini Jesca Msambatavangu amesema ubakaji na ukatili wa kijinsia kwa watoto umeongezeka kipindi cha hivi karibuni
Sababu ya kuongezeka huko mbunge huyo ametaja ni kutokana na wanaumne wengi njia zao za kujipatia kipato kuharibiwa na sera ambazo sio rafiki na kushindwa kupata fedha ambazo ndio ingekuwa kivutio kwa mwanamke,
Mbunge huyo ametaja baadhi ya sera hizo kama kuharibu sehemu za biashara za machinga na kununua nguzo za umeme nje ya nchi na hivyo wazalishaji wa ndani kukosa soko na kipato