Mbunge Joseph Kasheku 'Musukuma' amtuhumu Mkuu wa Mkoa wa Geita kutafuna Tsh. Milioni 600

Hivi usimamizi wa pesa nchi hii ukoje mbona pesa zinaliwa na kupotea hovyo? Takukuru tunaomba hizi pesa zirudi na waliotoa pesa kwa Mkuu wa Mkoa ilikuaje kuaje sasa
Anayetaka kupata hela bila shida kama anauwezo wa ushawishi akashawishi aletwe Tanga.
Watu wanaenda kwa masangoma ili wasitoke Tanga.
Takukuru Tanga ofisi zingefungwatu maana serikali inapata hasara yaani watumishi wake wameungana na wezi
 
Mhe. Musukuma is 100% right. Miradi inatakiwa kutekelezwa na Halmashauri sheria gani inamruhusu RC kuingilia maamuzi ya Halmashauri?.
Lila mara nimekuwa nikisema hapo Jf, RC Geita, RC njombe, RC mbeya, RC tanga, ni watu hatari sana kwa uchumi wa nchi yetu. Na waliiba sana kipindi cha mwendazake.wakimsifia na kuiba
 
Lila mara nimekuwa nikisema hapo Jf, RC Geita, RC njombe, RC mbeya, RC tanga, ni watu hatari sana kwa uchumi wa nchi yetu. Na waliiba sana kipindi cha mwendazake.wakimsifia na kuiba
RC Tanga nichamtoto, mkurugenzi ndio baba lao kwa wizi , rushwa na ngono juu kwenye halmashauri.
Hali hiyo huwezi amini kama ipo kwaserikali inayojiita sikivu
 
Amemtuhumu RC wa Geita kwa kutafuta milioni 600.

Amelaani mamlaka aliyopewa RC kuamua matumizi ya fedha za Halmashauri.

Msikilizeni Musukuma kuanzia dakika ya 3:36 ktk video hapo chini.



Wafu huzika wafu
 
Back
Top Bottom