Mbunge Joseph Kasheku 'Musukuma' amtuhumu Mkuu wa Mkoa wa Geita kutafuna Tsh. Milioni 600

Amemtuhumu RC wa Geita kwa kutafuta milioni 600.

Amelaani mamlaka aliyopewa RC kuamua matumizi ya fedha za Halmashauri.

Msikilizeni Musukuma kuanzia dakika ya 3:36 ktk video hapo chini.

Hasira za kunyimwa tenda kwenye miradi, hahahaaa
 
RC wa Geita ajipime, msukuma ni unreasonable siku zote ukigombana nae ugomvi wa ngumi yeye anakuja na mapanga, mawe, visu, nyundo Yani balaa utaishia kukimbia.

Pia Geita ni mkoa mgumu sana hata history ya viongozi wanaopita hapo inaonyesha huwa hawakai sana. Angalia history ya RPC wote wa Geita na RC huwa kuna mushkeri.

Otherwise nakubaliana na hoja ya msukuma kuhusu RC kuingilia maamuzi ya matumizi ya pesa za Halmashauri, hahusiki kabisa. Ajipime kwakweli.
 
Huwa siamini kama Msukuma hajajiendeleza kielimu halafu akaficha vyeti vingine akaamua kutumia ulasaba ili tumuone na akili kumbe yaweza kuwa nyuma ya pazia kapiga short course na training mbalimbali.​
 
Majungu hayawezi kulisaidia taifa letu huyo Msukuma anainterest zake jiulize wakati JPM akiwa hai mbona hakuwahi kumlalamikia?
 
Nina mashaka na hoja ya msukuma coz RC sio mtendaji ktk Baraza la halmashauri ila ni mjumbe tu nahisi ni mgongano wa maslahi na cheap political popularity tu pesa za miradi ya maendeleo zinakua chini ya mkurugenzi huo uongo wa wabunge wa ccm ionekane wanasimamia selikari kumbe ni unafiki tu
 
Huwa siamini kama Msukuma hajajiendeleza kielimu halafu akaficha vyeti vingine akaamua kutumia ulasaba ili tumuone na akili kumbe yaweza kuwa nyuma ya pazia kapiga short course na training mbalimbali.​
Kwa hiyo akili zipo kwenye level za elimu?
 
Msukuma na uongozi wote wa mkoa watakuja kupigana visu siku moja.

Wagombane wagombanavyo sisi wananchi tunapata faida wanaposhikana mashati ya ufisadi, tunapata kujua jinsi wanavyozipiga.

Btw, kwanini hawampi hizo tenda anazozitaka huyu?
 
Tatizo mropokaji mno na hana brake. Si unamuona alivyo much know 🤷
 
Back
Top Bottom