mbowe2008@gmail.com V/S mawasilianoikulu@yahoo.com

Hivi hadi leo CHADEMA hawa website??

kwahiyo wameishia kwenye IPAD tu??

i thought vinaendana
 
Naona hapo kuna tatizo. Mi Mwanachadema ila nashukuru kwa kutukosoa. Hapo mbowe ibadirishwe kutoka kwenye email ya chama kama Organization na si kama kampuni ya Familia ya Mbowe. Huo ndo ukweli. Chadema ni Taasisi na si miliki ya mtu fulani. Ila ni lzima tukiri kuwa Mbowe na wapiganaji wengine wachache chama wamekitoa mbali sana.
 
kweli wewe ni PAA LINALOTELEZA.
Na ndio maana hata hapa ameteleza tumsamehe.Hivi akitumia Domain ya Chadema kama anavyopendekeza,sasa Upinzani mle ndani kwani ni Chadema peke yao?NCCR,CUF,TLP na UDP je siwataona kichefuchefu?Labda ungesema domain ya Bunge sawa,Kumbuka Ikulu ni sahihi maana ile haina Chama na Watanzania wote au?Ni Kiongozi wa Kambi rasmi ya upinzani,lakini hata hao waliokataa bado ni Upinzani,wakitaka Correspondence officially watamuona Mbowe tuuuuuuuuu kama Kiongozi.

Lakini hata usalama jamani,Angalieni Midomain Servers ya Miwizara yenu ya CCM michovu KILA SIKU taarifa zinavuja,japo nyingine ni manual documents,lakini softcopy(yaani Hacking imekuwa kubwa mno)Bora hata kutumia hizo za mbele kama gmail au yahoo inakuwa salama zaidi.Mimi naona kwa technolojia ya Kibongo sio issue sana,Hoja ya msingi taarifa na urasimu unaondolewa sio wakuuuu?

Unaposema mf.[ fmbowe@chadema.org.tz] huoni hii inahusu mawasiliano Kichama zaidi kuliko Kiserikali jamani?Kumbuka uongozi wake wa Kiupinzani Mjengoni ni Serikali na sio Chadema jamani.Wewe mzee wa utelezi hebu icheki tusahihishane hapa hamna vita au sio mkuu!!
 
hapo inahitaji maelezo kutoka kwa wahusika au watu wa karibu.
 
Okay, enough said. Wahusika wa CHADEMA, CCM, CUF, NCCR-MAGEUZI... na wengine wote wanaohitaji wanitafute (PM) niwasaidie kwa hili.
 
Okay, enough said. Wahusika wa CHADEMA, CCM, CUF, NCCR-MAGEUZI... na wengine wote wanaohitaji wanitafute (PM) niwasaidie kwa hili.

Naomba nijiquote mwenyewe! CHADEMA naona tayari, ni ishu ya ku-update letterheads zao tu. Hao wengine sijui. Mbowe na Zitto in RED below:

Anwani ya Makao Makuuinfo@chadema.or.tz
S.L.P. 31191, Dar es Salaam, Tanzania
Mtaa wa Ufipa, Kinondoni
Simu/faksi: +255-22-266-8866

JinaWadhifaAnuani pepeSimu
Abama, MwanamrishoMbunge Viti Maalumabama@chadema.or.tz
Abwao, ChikuMbunge Viti Maalumchiku@chadema.or.tz
Arfi, SaidMbunge Mpanda Katisaidarfi@chadema.or.tz
Baregu, LaurentMjumbe wa Kamati Kuubaregu@chadema.or.tz
Benson, SingoMkurugenzi Oganaizesheni na Mafunzokigaila@chadema.or.tz0787 383167
Chitanda, AliAfisa Mwandamizi Baraza la Vijanachitanda@chadema.or.tz0784 227440
Kabwe, ZittoMbunge Kigoma Kaskazinizitto@chadema.or.tz0713 730256
Kathau, Sophiasophia@chadema.or.tz
Kimesera, Victorkimesera@chadema.or.tz
Kiwanga, SuzanMbunge Viti Maalumsuzan@chadema.or.tz
Kiwelu, GraceMbunge Viti Maalumgrace@chadema.or.tz
Komu, MaulidahMbunge Viti Maalumanna@chadema.or.tz
Komu, AnthonyMkurugenzi Fedha na Utawalakomu@chadema.or.tz0713 615603
Lissu, TunduMbunge Singida Masharikilissu@chadema.or.tz
MagaziKatibu Mjini Magharibimagazi@chadema.or.tz
Makani, BobMwenyekiti Taifa Mstaafumakani@chadema.or.tz
Massay, LameckMwenyekiti Halmashauri Karatumassay@chadema.or.tz
Mbowe, FreemanMbunge Haifreeman@chadema.or.tz
Mdee, HalimaMbunge Kawehalima@chadema.or.tz
Mnyika, JohnMbunge Ubungomnyika@chadema.or.tz0754 694553
Mrema, JohnMkurugenzi Bunge na Halmashaurimrema@chadema.or.tz0784 845666
Mtei, EdwinMwenyekiti Taifa Mwanzilishimtei@chadema.or.tz
Mtemelwa, MsafiriMkurugenzi Kampeni na Uchaguzi (Kaimu)mtemelwa@chadema.or.tz0713 442791
Mzee, Saidmzee@chadema.or.tz
Ndesamburo, PhilemonMbunge Moshi Mjinindesamburo@chadema.or.tz
Ruhwanya, MhongaMbunge Viti Maalummhonga@chadema.or.tz
Shelembi, PhilipMwenyekiti Shinyangashelembi@chadema.or.tz0784 282782
Shija, ErastoKatibu Baraza la Wazeeshija@chadema.or.tz0754 241907
Slaa, WillibrodKatibu Mkuuslaa@chadema.or.tz0784 666995
Tumbo, ErastoMkurugenzi Habari na Uenezitumbo@chadema.or.tz0713 474707
Yussuf, HamadNaibu Katibu Mkuu Zanzibarhamad@chadema.or.tz0747 473290
 
Na ndio maana hata hapa ameteleza tumsamehe.Hivi akitumia Domain ya Chadema kama anavyopendekeza,sasa Upinzani mle ndani kwani ni Chadema peke yao?NCCR,CUF,TLP na UDP je siwataona kichefuchefu?Labda ungesema domain ya Bunge sawa,Kumbuka Ikulu ni sahihi maana ile haina Chama na Watanzania wote au?Ni Kiongozi wa Kambi rasmi ya upinzani,lakini hata hao waliokataa bado ni Upinzani,wakitaka Correspondence officially watamuona Mbowe tuuuuuuuuu kama Kiongozi.

Lakini hata usalama jamani,Angalieni Midomain Servers ya Miwizara yenu ya CCM michovu KILA SIKU taarifa zinavuja,japo nyingine ni manual documents,lakini softcopy(yaani Hacking imekuwa kubwa mno)Bora hata kutumia hizo za mbele kama gmail au yahoo inakuwa salama zaidi.Mimi naona kwa technolojia ya Kibongo sio issue sana,Hoja ya msingi taarifa na urasimu unaondolewa sio wakuuuu?

Unaposema mf.[ fmbowe@chadema.org.tz] huoni hii inahusu mawasiliano Kichama zaidi kuliko Kiserikali jamani?Kumbuka uongozi wake wa Kiupinzani Mjengoni ni Serikali na sio Chadema jamani.Wewe mzee wa utelezi hebu icheki tusahihishane hapa hamna vita au sio mkuu!!

na hili ndio jibu sahii kwa mtoa mada.
 
Sijakuelewa hasa kwenye red: Ina maana mbowe2008@gmail.com imekaa kiserikali zaidi kuliko fmbowe@chadema.org.tz?
 
Okay, enough said. Wahusika wa CHADEMA, CCM, CUF, NCCR-MAGEUZI... na wengine wote wanaohitaji wanitafute (PM) niwasaidie kwa hili.
Whizkid,
Nimependa avatar yako. Naomba na mimi unitafutie avatar itakayonikaa kaa vizuri.
 
Kama masiliano yanflow vizuri hakuna shaka hapa hata kama yangepita kwa mtu yoyote yule hakuna matatizo
 
Mimi naona leo washirika mmekosa la kujadili. what about EPA, MEREMETA, KAGODA, MAFUTA, DOWANS, UDA, TRILIONI 3, RITHMONDULI, RADA, KIKOMBE CHA BABU, UMEME, TRL, ATC, BARRICK WANAVYOUA WATZ WENZETU KIMYA KIMYA, MAGAMBA, ETC. ETC. ETC...

TIME IS MONEY
 
tukiwambia cdm ni kampuni ya watu mnabisha sasa oneni madudu hayo.
 
Unajua siku za nyuma niliambiwa namwandama sana Salva lakini ukweli ni kuwa hata huko CHADEMA nako kumbe kuna problem ya PR

Hivi who is in charge of Communication and Media huko Chadema?

I mean mbowe2008@gmail.com

I mean letterhead ya bunge, ina email address ya mbowe na mwandishi ni Zitto Kabwe

and these clowns maana I cant even call them comedians kwani hata comedians get paid for their performances. Sasa these jokers wants us to take them serious?

why should Salva alone bear the brunt of my criticism halafu Freeman, Zitto and their entourage wakapewa free ride?

I mean how hard is it to set up say:

srweyemamu@ikulu.gov.tz

or

mawasiliano@ikulu.gov.tz

or

zittokabwe@chadema.org.tz

or

fmbowe@chadema.org.tz

or

chairman@chadema.org.tz

Zitto-stimulus-Package_Page_1.jpg

Zitto-stimulus-Package_Page_2.jpg

CHADEMA NI KAMPUNI YAO WALA USISHANGAE NA TUKIWAKABIDHI NCHI TU,mambo yatabadilishwa kama ifuatavyo:
ikulu...mbowe rest house.
bunge.... mtei investment co.limited.
mahakama...lisu tundu only.com
idara nyeti.....ndesambulo chambers and doughters company.
sector binafsi....slaa.@facebook.com
 
Kuna aina nyingi sana za Viwavi,sasa sijui wewe ni KIWAVI gani?Nina uhakika wewe sio kiwavi JESHI maana sio mhangaikaji na mfuatiliaji wa mambo.Website ya chadema ni hii [ http://www.chadema.org.tz ] .Karibu sana ndugu.Utawaona hata wale Mafisadi 11 na reserve mmoja.
we ndio kuku kabisa

hebu fungua kama inafunguka.... server not found!!

au nayo iko lunch bungeni?
 
Nadhani natofautiana na wewe mkuu. Tunahitaji kuwasiliana na mkuu wa kambi ya upinzani bungeni directly siyo mawakala wake. Huo utaratibu wa mawasiliano kupitia kwa katibu mahususiii sijui nani ulipitwa na wakati long time. Kwa wale ambao ni wa miaka ya 47 kama hao wa ccm na serikali kuu basi ndio wanatumia wasaidizi.

Efficient communication is important, siyo urasimu usio na tija wa mwaka 47

Gurudumu

HUJAMWELEWA anazungumza nini. Hazungumzii suala la mawasiliano kwa mtazamo wako, ila, suala la hizi email addresses. Kwa nini Kurugeni ya Mawasiliano ya Ikulu watumie email yenye anuani ya "mawasilianoikulu@yahoo.com" wakati upo uwezekano wa kuwa na anuani ya "srweyemamu@mawasilianoikulu.go.tz"? Upo hapo? Hivyo hivyo kwa CHADEMA!

Usikimbilie kujibu mambo KABLA ya kusoma na kujitosheleza kwamba UMEELEWA! Au vipi?

Tunaelimishana mkuu!

./Mwana wa Haki
 
BTW, nimefanikiwa kupitia hiyo website

thanks wote.... ngoja nipitie ya ccm
 
Back
Top Bottom