mbowe2008@gmail.com V/S mawasilianoikulu@yahoo.com

mbowe2008@gmail.com V/S mawasilianoikulu@yahoo.com

Hapa tatizo ni kwa Bunge.
Bunge ndio lilitakiwa lihakikishe kwamba kuna proper communication setup hata kwa wabunge wote
zenye mbowe@bungetz.org etc, lete communications za Chadema zenye fault ya namna hii nikupe shavu.

ama sivyo hii ni scrap
 
Nadhani natofautiana na wewe mkuu. Tunahitaji kuwasiliana na mkuu wa kambi ya upinzani bungeni directly siyo mawakala wake. Huo utaratibu wa mawasiliano kupitia kwa katibu mahususiii sijui nani ulipitwa na wakati long time. Kwa wale ambao ni wa miaka ya 47 kama hao wa ccm na serikali kuu basi ndio wanatumia wasaidizi.

Efficient communication is important, siyo urasimu usio na tija wa mwaka 47
Yaani unataka kusema kwamba wabunge hawana email za Bunge?? au bunge halina domain yake?? au bunge letu lipo kwa mfumo wa yahoo na gmail??

I mean tuko nyuma sana? yaani nyuma kuliko nyuma ya nyuma siyo??

Slidingroof has a very valid point........ ni comedy ya kijinga hadi leo watu wakubwa kama MWenyekiti wa chama au Mbunge wa bunge kukosa email ya kazi yake
 
Unajua siku za nyuma niliambiwa namwandama sana Salva lakini ukweli ni kuwa hata huko CHADEMA nako kumbe kuna problem ya PR

Hivi who is in charge of Communication and Media huko Chadema?

I mean mbowe2008@gmail.com

I mean letterhead ya bunge, ina email address ya mbowe na mwandishi ni Zitto Kabwe

and these clowns maana I cant even call them comedians kwani hata comedians get paid for their performances. Sasa these jokers wants us to take them serious?

why should Salva alone bear the brunt of my criticism halafu Freeman, Zitto and their entourage wakapewa free ride?

I mean how hard is it to set up say:

srweyemamu@ikulu.gov.tz

or

mawasiliano@ikulu.gov.tz

or

zittokabwe@chadema.org.tz

or

fmbowe@chadema.org.tz

or

chairman@chadema.org.tz

Zitto-stimulus-Package_Page_1.jpg

Zitto-stimulus-Package_Page_2.jpg

Asiyekuelewa hapa basi ana matatizo... siku hizi waweza hata kufungua email ya familia e.g. acid@mtm.com

dah
 
Nadhani natofautiana na wewe mkuu. Tunahitaji kuwasiliana na mkuu wa kambi ya upinzani bungeni directly siyo mawakala wake. Huo utaratibu wa mawasiliano kupitia kwa katibu mahususiii sijui nani ulipitwa na wakati long time. Kwa wale ambao ni wa miaka ya 47 kama hao wa ccm na serikali kuu basi ndio wanatumia wasaidizi.

Efficient communication is important, siyo urasimu usio na tija wa mwaka 47

akili yako kidogo nina mushkir nayo, unachojaribu kujibu si kilichowekwa dawatini, suala lililopo ni domain na si urasimu unaouzungumzia. kwani hawezi kuwa na domain ya chadema na email address ikawa ya mwenyekiti moja kwa moja... si kila kitu kinachofanywa na chadema ni sawa kuna vingine vinakosewa na humu ndio mwa kurekebishana...
 
Na wewe nahisi hujaelewa pia.
kasome tena uje... na kama nikuelewa, natakiwa nimuelewe slidingroof aliyeleta mada au wewe mkamap unayechangia?? or do you want me to believe mkamap ni slidingroof siyo??

my take to his post was authority ya portfolio, formal media of communciation and a right vehicle to it, the last one being central point... DOMAIN IS KEY THESE DAYS

poof
 
Shida yangu mimi huwa sipendi unafki, CHADEMA ilisema wakati wa uchaguzi kuna contena la vifaa vya kampeni limezuiliwa bandarini zikiwemo posters, bendera, na skafu, sina haja ya kupewa tshirt na kofia mimi sio ccm, lakini kilichonikera hivi Posters za mgombea urais kuwa chache namna hile ni sahihi? je lile contena liko wapi? nikirudi kwenye point, mtu akileta mawazo chanya ya kuikosoa CHADEMA asipingwe na asikilizwe na viongozi wa chadema wako humu wayafanyie kazi haya. wakati wa kampeni tulishuudia vituko wagombea wachadema wanatumia nembo ya chama kuomba michango ya kampeni lakini account wanatoa za kwao binafsi hawatoi account za chama, Zitto Kabwe ni miongoni mwao na nilimkosoa on the spoti kule facebook.
Tujisahihishe.
 
mKUU MBONA HII KAMA VILE SIO MAHALI PAKE?? AU UNATAKA KUIPOTEZEA HII POST KAMA ZILE ZA KUPENGE>?
 
my take to his post was authority ya portfolio, formal media of communciation and a right vehicle to it, the last one being central point... DOMAIN IS KEY THESE DAYS

Well said MTM.
Chadema ishukuru hii barua ya Zito kufika JF. Challenges zichukuliwe constructively. Mtoa mada na proponents wanaipenda CDM.
Domain ni muhimu, and it is cheap kwa CDM. Nadhani hawajaliangalia hili, wako bize na vita ya ukombozi wa Tanzania and we thank you CDM for it.
Inama kaza kamba za viatu. Rough road ahead.
 
Alipaswa kutumia account ya bunge (e.g. leaderopposition@parliament.co.tz) maana barua imeandikwa na Mbowe kama kiongozi wa kambi ya upinzani. WanaIT wa bunge walipaswa kumtengenezea account. Angeandika kama mwnyekiti wa chadema then angepaswa kutumia account ya ...@chadema.co.tz.
 
nadhani ni busara kwa wanachadema kuchukua ushauri wa GT....!
wakati mwingine ni busara zaidi kuweka siasa pembeni na kuangalia facts zenye tija na maslahi ya chama katika minajili ya kupunguza au pengine kuondoa kabia UNCERTAINITIES

NI HAYO TU
 
Naunga mkono! Ni hoja ya maana na CDM waipokee,wamshukuru alieileta (infact hata mie ningeipata hiyo document lazima tu ningeuona huo upungufu,upo wazi sana,...ila nadhani ningemtwangia mbunge wangu Mnyika fasta, si alitugea namba yake watu wake wotee, na nina uhakika alivyo msikivu angelipeleka mahala husika kabla akina kupeng'e na wenzake hawajaiona teh teh)...
Na pia nadhani idara ya ICT Bunge ingepaswa kufanya kitu hapo. Maana sikutegemea hata kama kungekua na fmbowe@chadema.org (hilo nalo si mahala pake sana).
As for mh Mbowe kutumia gmai badala ya chadema.org or something: mie si mtaalamu wa IT lakini nime-experience inaniwia vigumu sana kutumia e-mail yangu yenye domain name ya ofisi nikiwa nje ya ofisi,mpaka nitumie Webmail ambayo naona kama ina limitations fulani. So huwa natumia alternate mails za gmail or yahoo for ease nikisafiri.

All said, CDM malizeni hii kakitu fasta then tuendelee na mapambano!
Well said MTM.
Chadema ishukuru hii barua ya Zito kufika JF. Challenges zichukuliwe constructively. Mtoa mada na proponents wanaipenda CDM.
Domain ni muhimu, and it is cheap kwa CDM. Nadhani hawajaliangalia hili, wako bize na vita ya ukombozi wa Tanzania and we thank you CDM for it.
Inama kaza kamba za viatu. Rough road ahead.
 
Ujumbe umefika.
Tunajua kuwa tuna viongozi na wanachama waandamizi wa chadema hapa JF.
W.P.Slaa (PhD), Zitto, Mnyika, Regia wote ni wanajamvi. Your response will put this thread to rest. Please do something.
 
Nadhani natofautiana na wewe mkuu. Tunahitaji kuwasiliana na mkuu wa kambi ya upinzani bungeni directly siyo mawakala wake. Huo utaratibu wa mawasiliano kupitia kwa katibu mahususiii sijui nani ulipitwa na wakati long time. Kwa wale ambao ni wa miaka ya 47 kama hao wa ccm na serikali kuu basi ndio wanatumia wasaidizi.

Efficient communication is important, siyo urasimu usio na tija wa mwaka 47

makes you question inawezekana ikawa huko Chadema nako kuna ufisadi wa hali ya kutisha

maana pesa na budget za PR wanazo lakini naona wamekuwa complacent ...kwa nini Zitto anatumia stationery za Freeman?

how hard is it kuwa na domain name yenye email address yake?

sasa if they cant manage minute stuff like these kweli wanaweza kutupatia National ICT policy ambayo ni mbadala?

Mkuu umekurupuka.

Mtoa mada yuko sahihi kabisa. Anachotolea changamoto ni kweli. Kama tuliweza ikosoa Ikulu na kumshambulia Mkurugenzi wake mawasiliano kwa kuanzisha email kwa hizi public/free mail kwanini tusiwakosoe viongozi wa upinzani bungeni kama wanafanya kosa lile?

No!! Tumieni private email kwa faida ya nchi na usalama. CHADEMA ni taasi makin. Uongozi wa upinzan i Bungeni ni ofisi makin.

Mtoa hoja ana pointi ya msingi tu!
Mimi nina run kikampuni kidogo lakini ili kukapa heshima nina domain inayoukuwa hosted kwenye server ya local service provider wangu pungufu ya dola 200 kwa mwaka.
Sasa kwa sababu ya security concern CDM wanaweza nunua server yao kwa bei nzuri tu kwa kuanzia hata $10,000. Kutumia email inayoonekana kibinafsi zaidi huleta tafsiri ya hasi.

Ushauri wangu CDM wawe na server na domain yao (kama hawana) ili mawasiliano ya kawaida/jumla yaende huko. Kitu kama ni konfidensho sana ruksa kutumia email binafsi kama kuna wasiwasi na IT expert. Mbona hata simu za mkononi wakati mwingine hawa wakubwa wanakuwa nazo mbili (one known to the public).

CDM wachukue changamoto hii kwa mtazamo chanya

akili yako kidogo nina mushkir nayo, unachojaribu kujibu si kilichowekwa dawatini, suala lililopo ni domain na si urasimu unaouzungumzia. kwani hawezi kuwa na domain ya chadema na email address ikawa ya mwenyekiti moja kwa moja... si kila kitu kinachofanywa na chadema ni sawa kuna vingine vinakosewa na humu ndio mwa kurekebishana...

Yaani unataka kusema kwamba wabunge hawana email za Bunge?? au bunge halina domain yake?? au bunge letu lipo kwa mfumo wa yahoo na gmail??

I mean tuko nyuma sana? yaani nyuma kuliko nyuma ya nyuma siyo??

Slidingroof has a very valid point........ ni comedy ya kijinga hadi leo watu wakubwa kama MWenyekiti wa chama au Mbunge wa bunge kukosa email ya kazi yake

Duh, kweli nilichemka. Asanteni wakuu na samahani paalinaloteleza!
 
Internet Service Provider wengi wa Tanzania ni weaker security than gmail na Yahoo. Unaweza ukaamuka ukakuta email zote hazionekani. Hii ipo hata kwenye website. Unaweza ukaamuka ukakuta website does not display page. Kwa wale wanaojua hilo, ndo maana wanatumia gmail au yahoo au hotmail. Na wewe unayeshangaa angalia sasa kama upo Tanzania, website and email services hazina security ya kutosha. Adui zako wanaweza kuhack kiurahisi sana na kuchungulia siri zako.
 
Issue hapa sio Domain name, issue ni server zinazokutunzia siri zako zinamilikiwa nani. Huwezi ukawa na siri za chama za chadema wakati sehemu unapotunza mafaili ya siri ni kwenye ofsi za ccm.

Lazima viongozi watambue, na wajifunze kuajiri wataalamu wa idara zinazohitajika ili wawe wanawaelimisha ktk maeneo husika. Na kuelewa vulnerbilities zote zinazoweza tokea, na sio kufanya tu kama enzi za waluga luga.
 
Back
Top Bottom