mbowe2008@gmail.com V/S mawasilianoikulu@yahoo.com

Uzuri wa CDM watachukua hii kitu ka changamoto na kuifanyia kazi, hao sio kama wavua magamba watabisha weee halafu baadae wanajivua gamba.
 
Uzuri wa CDM watachukua hii kitu ka changamoto na kuifanyia kazi, hao sio kama wavua magamba watabisha weee halafu baadae wanajivua gamba.
 
CDM hawataacha kufanya makosa as they go along with freedom fighting endeavor, cha msingi ni kuyakubali makosa, kuyasahihisha haraka na kumove on. That's what we call dynamism.
 
tuwashauli juu yahili ninaimani wanashaulika bado mii siwafananishi nawaleeee wenyemacho lakini hawaoni wanamasikio lakini hawasikii cdm msifanane nawo
 
ahh well...CHAMA MBADALA

they cant spin themselves out of this

Hawawezi!

Mkuu umeua, naona zile crap, nonsense sijui what what hazipo sasa!

Unajua wakati tunataka kuindoa CCM madarakani ni muda muafaka wa kuwa assess wale wanaotaka kwnda ikulu, kitu ambacho wengi huwa hawapendi

CDM is likely to be another super CCM, if and only they will not change
 
Inasikitisha kuwa bunge linayo mail server lakini wabunge wetu hawataki kuitumia. Lakini inasikitisha zaidi kuwa wakati hiyo mail ina address hofu ya kuliwa mabilioni ya shilingi katika kile tulichoambiwa ni stimulus package, kuna watu wanataka kututoa huko kwenye mabilioni tuamini kuwa swala la email ya Mbowe ni muhimu kuliko mabilioni yanayoliwa!
 
Waberoya,

...unajua tunapotaka kuwaondoa CCM madarakani ni lazima tuwa asses hawa....

Salaam. Maneno yako ndio fikra zako. Hilo naliamini kwa sababu nakuamini. Swali langu ni;

Tunapotaka.....hapa ni wewe na nani?

Hawa....ni kina nani mnaowa-asses wewe na huyo/hao wengine?

Uelewa wangu ni kwamba kwa matamshi yako kuna nyinyi mnaotaka kuitoa CCM madarakani, kuna CCM, kuna wanaotaka kuingia Ikulu ambao labda CDM wanahusika pia.

Umejivika jukumu la kuiondoa CCM madarakani na pia kuwa-asses wengine. Hili si jukumu dogo. Ni kubwa sana. Sijui unalifikiaje wewe pamoja na wenzako. Nielimishe kiongozi.

,
 
Waberoya,

...unajua tunapotaka kuwaondoa CCM madarakani ni lazima tuwa asses hawa....

Salaam. Maneno yako ndio fikra zako. Hilo naliamini kwa sababu nakuamini. Swali langu ni;

Tunapotaka.....hapa ni wewe na nani?

Hawa....ni kina nani mnaowa-asses wewe na huyo/hao wengine?

Uelewa wangu ni kwamba kwa matamshi yako kuna nyinyi mnaotaka kuitoa CCM madarakani, kuna CCM, kuna wanaotaka kuingia Ikulu ambao labda CDM wanahusika pia.
Umejivika jukumu la kuiondoa CCM madarakani na pia kuwa-asses wengine. Hili si jukumu dogo. Ni kubwa sana. Sijui unalifikiaje wewe pamoja na wenzako. Nielimishe kiongozi.,
Am interested, Waberoya respond
 
Ni kweli hapa cdm wamekosea sana hv ni vichekesho! FANYENI MAREKEBISHO WAKUU HII AIBU KUBWA!
 
Hiyo Headed inaonekana ni ya Office ya Bunge kambi ya Upinzani. Nionavyo mimi Bunge lilitakuwa ndio liwe na Email System ambayo wabunge wote kama individuals and kama group kwa mfano individual address zitto.kabwe@bunge.go.tz group address kambi.upinzani@bunge.go.tz [Email ikitumwa kwa kambi.upinzani@bunge.go.tz itakuwa forwarded automatically kwa individual addresses za wabunge wote wa upinzani], utaratibu kama huo kwa vyombo vyote vya bunge na tawala zake.

Kwa hivyo pale kwenye headed kungekuwa na address kiongozi.upinzani@bunge.go.tz. kwa maana kwamba emails zote kwa kiongozi wa upinzani zitakwenda kwa individual address ya mbunge aliye kiongozi wa upinzani labda na kwa naibu wake. kiongozi anapobadilika administrator anachofanya ni kuhamisha ile forward instruction kuhamia kwa address ya kiongozi mpya aliechaguliwa.
 
Unajua siku za nyuma niliambiwa namwandama sana Salva lakini ukweli ni kuwa hata huko CHADEMA nako kumbe kuna problem ya PR

Hivi who is in charge of Communication and Media huko Chadema?

I mean mbowe2008@gmail.com

I mean letterhead ya bunge, ina email address ya mbowe na mwandishi ni Zitto Kabwe

and these clowns maana I cant even call them comedians kwani hata comedians get paid for their performances. Sasa these jokers wants us to take them serious?

why should Salva alone bear the brunt of my criticism halafu Freeman, Zitto and their entourage wakapewa free ride?

I mean how hard is it to set up say:

srweyemamu@ikulu.gov.tz

or

mawasiliano@ikulu.gov.tz

or

zittokabwe@chadema.org.tz

or

fmbowe@chadema.org.tz

or

chairman@chadema.org.tz

Zitto-stimulus-Package_Page_1.jpg

Zitto-stimulus-Package_Page_2.jpg

SlidingRoof,

Point taken. This will get to the responsible authorities and will be rectified. Thank you for the critique and observation. Now and always CHADEMA will grow.
 
katika hili ni lazima tukubali mapungufu jamani Mwenyekiti Mbowe hebu rekebisha haya mambo...!!

Unajua siku za nyuma niliambiwa namwandama sana Salva lakini ukweli ni kuwa hata huko CHADEMA nako kumbe kuna problem ya PR

Hivi who is in charge of Communication and Media huko Chadema?

I mean mbowe2008@gmail.com

I mean letterhead ya bunge, ina email address ya mbowe na mwandishi ni Zitto Kabwe

and these clowns maana I cant even call them comedians kwani hata comedians get paid for their performances. Sasa these jokers wants us to take them serious?

why should Salva alone bear the brunt of my criticism halafu Freeman, Zitto and their entourage wakapewa free ride?

I mean how hard is it to set up say:

srweyemamu@ikulu.gov.tz

or

mawasiliano@ikulu.gov.tz

or

zittokabwe@chadema.org.tz

or

fmbowe@chadema.org.tz

or

chairman@chadema.org.tz

Zitto-stimulus-Package_Page_1.jpg

Zitto-stimulus-Package_Page_2.jpg

It would interesting kuona audited accounts za Chadema

maana naamini wanatenga pesa za PR na stationery lakini cha kujuliza pesa zinafanya kazi gani?
 
Serikali na Chadema hiyo nia aibu kutumia gmail na yahoo,mmeshindwa nini kumilki domain yenu wenyewe kama moja ya kuonyesha ukomavu kwenye tekenolojia.

Aibu Chadema na Salva Rweymamum
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom