Chizi siyo lazima avue nguo,na mjinga siyo lazima ambaye hajaenda shule kwani waweza kwenda shule kumbe ulikuwa kilaza wa miaka yote,,, huyu
jamaa aliyeandika hii post mie namkumbuka sana , pindi tulipokuwa tunasoma Pamba sec. alisababisha tufutiwe mtihani wa kidato cha nne
pale alipokuwa anatumia mda mwingi kuigilizia majibu na kibaya zaidi hadi jina aliandika la yule aliyekuwa anaangalizia majibu yake na hatimaye
wizara ya elimu ikatufutia majibu kwa kosa la huyu jamaa,,,kutojua kuchambua maana ya public email na personal email ndo kumenikumbusha kuwa huyu jamaa hakupata elimu bora ila alipata bora elimu,,,,, mungu amsamehe,,