Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 1,489
- 2,399
Hii taarifa sio sahihiMwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe amesema wito wao wa kwenda Ikulu kwa ajili ya kunywa chai na kufanya mazungumzo na rais Samia kuhusu mambo mbalimbali ya nchi umepuuzwa. Hivyo amesikitika sana.View attachment 1813401
Hakuna kesi ya kisiasa na ilishahibiwa na serikali. Nadhani unakumbukaKuna pressing issues. Watu wanasota magerezani kwa kesi za kubumba za kisiasa. Wale watu wana familia zao.
Wewe ukimuona muongeaji tu unafikiri utaathiri nini?Iwe ina chochote, iwe haina.... taarifa ni muhimu kama alivopokea zile nyingine.
Vinginevyo anaonekana muongeaji tu.
Mbowe anayeamini kuwa ,demokrasi ni kurithishwa chama na baba mkwe na kuwa mwenyekiti wa kudumu.Eti nae kiongozi.Itoshe kusema wewe una chuki binafsi na Mbowe na ndio maana hutaki kujibu hoja yake bali una mu attack yeye as a person.
Shows how nincompoop of a loser you are.
Lete ya kwako ambayo ni sahihiHii taarifa sio sahihi
Chadema wana roho za kishetani kabisaAlishakuona we ni tapeli we mzee kwenda huko.
Hafu huna shukrani pamoja na kumtengenezea mashahidi wa kubumba Sabaya bado unataka kumuendesha
Kwa JPM waliufyata mkiaMbowe acha upuuzi huwezi kumpangia raisi jinsi ya kukutana nae,ana majukumu mengi tuu.Wakati ukifika mtaitwa, si alishasema mwenyewe.Mbona wakati JPM yupo hamkuwa mnaroroka hivyo.
Wapuuzi sana baadhi ya viongozi wa upinzani,mwenyewe kaahidi kukutana nao halafu mnaanza maneno maneno.Kwa JPM waliufyata mkia
Mpuuzi tu Mbowe hana lolote,hana mamlaka ya kumshurutisha raisi,yule ana ratiba zake.Kiherere tuu kwani alisema atakutana na chadema au vyama vya upinzaniMbowe yupo sahihi maana amekomaa na issue ya 50/50 hakuna la maana anafanya.
Huyo ni rais aliyepatikana kwa wizi wa kura chini ya maagizo ya yule dhalimu aliyeko motoni.Mbowe h.ana ubavu wa kumpangia mama Samia Cha kufanya
Ubavu alionao ni kula ruzuku tu za chama bila makamanda kushtuka