Njilembera
JF-Expert Member
- May 10, 2008
- 1,496
- 610
CDM mtapata taabu sana! Ni kipi hao Polisi wamefanya kinachoweza kutufanya tuamini kwenye deadlines wanazotoa!? Kuna uharaka gani wa kupata huo ushahidi kutoka kwa Mbowe? Kama kuna uharaka huo basi wamwombe JK aharakishe kuundwa kwa tume huru, au aamrishe CDM watoe huo ushahidi!
Lakini kwa nini wasiende Mahakamani tu ili Mahakama itoe amri ya kutolewa kielelezo hicho. Maana hata Polisi wakikipata hawana kazi nacho- watadai wanaenda kuchunguza- hakuna haja, acha mahakama ikione ikikubali na kama watakuwa na mashaka watawapa Polisi wakachunguze! Kiherehere cha nini?
CDM mna plan B? Maana mkulu akichelewa mno, hizi propaganda zitazidi na mwisho watawapakazia eti mmechakachua. Ipo haja ya kwenda mahakama ya watu- Peoples Power!