Kwani safari hii kaandaa shilingi ngapi ya kuwahonga majaji make ya lwakatare aliandaa kiasi kikubwa.
Mbowe heshimu mamlaka,Mbowe heshimu roho za watu wa Arusha waliopoteza maisha kutokana na mlipuko wa bomu ili waliyofanya wahukumiwe hapa duniani na akhera.Msuguano na polisi hautokupa umaarufu zaidi ya kuonekana mpuuzi mbele ya wenye kujitambua.
Go to hell!Mbowe heshimu mamlaka,Mbowe heshimu roho za watu wa Arusha waliopoteza maisha kutokana na mlipuko wa bomu ili waliyofanya wahukumiwe hapa duniani na akhera.Msuguano na polisi hautokupa umaarufu zaidi ya kuonekana mpuuzi mbele ya wenye kujitambua.
Policcm ni janga la taifa.
Muda mwingine shirikisha kichwa ,kwani mbowe ndo chagonja?aliyeunda tume ndo awakilishe ushahidi na watu wakamatwe waliohusika ,hadi leo hii ushawahi hata kuambiwa wamefikia wapi uchunguzi wao zaidi ya kudanganywa FBI wametinga Arusha wakati Us embassy walikanusha kuwa ni uongo?shame on u
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hivi katika hili nani anatakiwa kwenda Mahakamani, POLISI au MBOWE? Polisi ni taasisi inayofanyia uchunguzi sasa kama mwenye ushahidi asipokuwa na imani na Polisi yeye ndiye anapaswa kwenda mahakamani na siyo vinginevyo. Hakuna serikali yoyote diniani ambayo rais wake hushinikizwa na wanasiasa kuunda tume.
Mbowe heshimu mamlaka,Mbowe heshimu roho za watu wa Arusha waliopoteza maisha kutokana na mlipuko wa bomu ili waliyofanya wahukumiwe hapa duniani na akhera.Msuguano na polisi hautokupa umaarufu zaidi ya kuonekana mpuuzi mbele ya wenye kujitambua.
Mbowe heshimu mamlaka,Mbowe heshimu roho za watu wa Arusha waliopoteza maisha kutokana na mlipuko wa bomu ili waliyofanya wahukumiwe hapa duniani na akhera.Msuguano na polisi hautokupa umaarufu zaidi ya kuonekana mpuuzi mbele ya wenye kujitambua.
Hivi katika hili nani anatakiwa kwenda Mahakamani, POLISI au MBOWE? Polisi ni taasisi inayofanyia uchunguzi sasa kama mwenye ushahidi asipokuwa na imani na Polisi yeye ndiye anapaswa kwenda mahakamani na siyo vinginevyo. Hakuna serikali yoyote diniani ambayo rais wake hushinikizwa na wanasiasa kuunda tume.
Polisi waende mahakamani kufanya nini? hivi mtuhumiwa na mtuhumu nani anakwenda mahakamani? MBOWE mwenyewe anasema Polisi ni watuhumiwa yeye aende mahakani, Polisi wanachokitaka ni ushahidi waufanyie kazi kama wao ndo watuhumiwa basi watasubiri wapelekwe mahakani.
Polisi na MboweMBOWE anaongea asichokijua, Polisi ni watuhumiwa, kwa hiyo nani anatakiwa kwenda mahakamani?