The problem ya wale mnaoshabikia huu mnyukano hamuoni kwamba hiii sii issue ya CDM Vs serikali peke yake wapo third part wanaoumia na huu msuguano. Luck for you two you have nothing to loose but the victim this shenanigan is painful every step you take.. Tunajua polisi ni waajiriwa wa kudumu wa serikali na wao hata ukweli usipotoka watapata mshahara kama kawaida,, kwa viongozi wa chadema your the victim.. Hiii ni kesi ya jinai, kama hamuwaamini polisi na since sioni hata dalili za kuundwa tume utueni huo mzigo, wekani ushahidi wazi kila mtuu auonee. Kuendelea kulumbana na polisi ni kujenga chukii na wahanga wa mlipuko huu na kutowatendesa haki wale waliopoteza maisha yaoo.. polisi tunawajua, they have nothing to loose... Hili jambo lazima liwe na mwisho.. KWANGU PANDE ZOTEE MBILI MNA-MAKOSA NA SINCE HAMUAMINIANI TUPENI HUO USHAHIDI SISI NA DUNIA NZIMA TUUONE.. FANYENI KAMA ILIVYOKUWA KWA MWANGOSI USHAHIDI UPO KWEUPE NA HAKUNA UBISHI NA PLEASE MSIINGIZE SIASA KWENYE HILIII MAANA.. YEYOTE ANAYECHEZA NA HILI ANATAFUTA CHUKI TUU.. KUMBUKA KUNA WATU WAZIMA AMBAO NI WAZAZI WAMEKUFA NA KUNA WATOTO WAMEPIGWA RISASI. TUAMBIENI MBAYA WETU NI NANI ILI TUCHUKUE HATUA WENYEWE... Mbowe kukalia huo ushahidi ni makosa maana anavunja sheria. Sheria ni taratibu tulizoweka sisi watanganyika ili kuleta haki na usawa. Tukiweka siasa pembeni hebu fikiria ingekuwa binti yake Mbowe AU binti yako kauwawa katika tukio lile angeendelea kukalia huo ushahidi na kusema mpaka rais aunde tume?!! Hii ni kesi ya jinai kaka na tuache siasa kama haimani mahakama avipe ushahidi vyombo huru vya habari, wanaharakati, balozi za njee ili haki itendeke.. Hii ni kesi ya ngedere unang'ang'ania Nyani aanzishe Mahakama kweli kutakuwa na hakii..?!! CHADEMA HII VIDEO KAMA MNAYO SI MALI YENU NA KUENDELEA KUING'ANG'ANIA NI "VIOLATION OF PUBLIC INTEREST".. TUMIENI NJIA YEYOTE HII VIDEO ITOKE MIKONONI MWENU IWE MALI YA UMMA MZIMA; TUIONE NA SI KUENDELEA KUKALIA USHAHIDI AS IF NI MKANDA WA SEND OFF.. HUO SI MKANDA WA SEND OFF.... MNATAFUTA CHUKI TUUU KWA VICTIM NA RAIA TUSIOPENDA KUONA CRIMINAL ACT ZINAGEUZWA NA KUWA SIASA.... TUJIFUNZE KUUITA UHALIFU NI UHALIFU HATA KAMA UMEFANYIKA KWENYE KUMBI ZA SIASA, KUINGIZA USHABIKI WA SIASA KATIKA HILI KUTACHANGIA SANA KESII HII YA JINAI KUGEUZWA NA KUWA POLITICAL GAME NA TUNAJUA IKISHAFIKIA HUKO THEY NEVER TAKE IT SERIOUS, THEY WILL FIND A POLITICAL SOLUTION FOR THE PROBLEM.. JE NDIO TUNACHOKITAFUTA?!!